Je, Baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea Ubunge?

Sio Askofu tu kwa sababu anateuliwa na papa bali hata padre wa kanisa katoliki hawezi gombea ubunge, tofauti na hizi SACCOS hinazojiita makanisa kama ya Gwaji, Kakobe kutaja kwa uchache! Sababu kubwa ni hii!

Askofu au padre wa kanisa katoliki kama vile asivyowezafanya biashara au kitu chochote binafsi kinachomwingizia kipato vivyohivyo hawezigombea ubunge kwa manufaa binafsi.
Maisha ya Padre/ Askofu yote yanafungamana na kanisa/waumini ndio wenye wajibu wa kukidhi mahitaji yake yote tofauti na makanisa VICOBA wao mbali na kutafuna sadaka wanaweza kuwa na miradi yao ya kuwaingizia kipato kama ubunge.
 
Sijakuelewa,Kwa hiyo uliomba ushahidi wa biblia ili na wewe uje na mstari wa kupinga au nia yako ni ipi? Maana umeuliza sehemu Petro aliyopewa mamlaka,Nami nimekuonyesha.Hayo mengine yanabaki kuwa mengineyo.Hata Papa anabatiza na kusistiza waumini wa Kristo wabatizwe na anamtangaza roho mtakatifu kama roho wa kweli aliyetoka kwa Bwana.Karibu Katoliki ndugu yangu upate mafunzo thabiti kuhusu imani yako,Achana na imani za msimu!
 
Magufuli alicho fanikiwa ni kutuharibia fikra zetu kama taifa sasa hivi tunafikiri kwa kubashiri bashiri kama mtoa mada.
 
Mbona hamubatizi kwa maji mengi kama ambavyo petro alifanya?
 
VP KUHUSU MCHUNGAJI PETER MSIGWA?
 
Anaweza akitaka lakini akiamua kuingia kwenye siasa atavuliwa upadre na uaskofu isipokuwa Kama Kuna mazingira ambayo Vatican (papa) ataona aruhusu.
Labda kama kuna kanuni/sheria mpya za kanisa Katoliki, Nakumbuka marehemu Padri Severino Supa wa kanisa la Katoliki jimbo la Dodoma, alikuwa mbunge machachari wa TANU mwaka 1975 - 1980, lakini dhahama ilimkuta katika uchaguzi wa mwaka 1980 ambapo aliangushwa na Mchungaji Simon Chiwanga wa kanisa la Anglican, lakini alipambana vilivyo mahakamani akitetewa na wakili marehemu Chambakali, na mwaka 1982 Hukumu ya Judge Marehemu Rukagikingira ikamvua ubunge Chiwanga aliyekuwa akitetewa na wakili Marehemu Mbezi, na uchaguzi uliporudiwa mwaka 1983, Padre Severino Supa akarejea kwenye ubunge wake. Kumbukumbu zangu zinaonyesha kipindi chote Padre Supa alikuwa akiendelea na upadre.
 
Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge.

Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala?

Maendeleo hayana vyama!

Askofu ni mtumishi wa Mungu, na ana mwakilisha au anawakilisha serikali ya mbinguni hapa duniani.
Kugombea ubunge ni kujisha hadhi. Ukiona askofu anayegombea ubunge basi yapasa ujue huyo ni askofu aliye jitakia kuwa askofu na si mungu kamweka.
 
Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge.

Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala?

Maendeleo hayana vyama!
Kanisa Katoliki ni taasisi kubwa na ndiko waliko maaskofu. Daraja la uaskofu ndani ya kanisa hilo ni kubwa mno. Si rahisi kwa askofu wa kikatoliki kuhangaika na Ubunge hata kama amestaafu. Na zaidi haiwezekani kwa askofu aliyeko madarakani kugombea ubunge kwanza atapata wapi muda? Viongozi hawa huwa na ratiba tite mno ya majukumu ya kikanisa. Hawa wengine wa kuamka na kujitanga mwenyewe kuwa ni askofu hawana tofauti na rais aliyeingia madarakani kijeshi maana naye hujitangaza mwenyewe!!!
 
Askofu mcheza video za ngono kama Gwajima anaweza kugombea cheo chochote. Hata kuwa director wa film za ngono anaweza.
 
Katoliki hakuna huo ujinga, katoliki ukiwa kasisi unamilikiwa na kanisa.
Unamaanisha kanisa lisimamishe Mbunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…