Ukilewalala
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 542
- 1,111
Yani mpira umeisha nimeganda kwenye kiti nashindwa hata kuinuka, kweli nlijua tutapigwa ila sio goli nyingi namna ileUmuonee Huruma Barcelona ilihali UMEMFUMANIA chumbani kwako?!!weeee...ukimuacha,mwakani atakuja kukunanihii mbele ya Watoto wakoπππ
Masikini Pole San Pal....Yani mpira umeisha nimeganda kwenye kiti nashindwa hata kuinuka, kweli nlijua tutapigwa ila sio goli nyingi namna ile
Hakuna namna bro kipigo kilikua hakiepukiki lile lilikua gharika... Adui anapiga hachagui eneo kudadekiMasikini Pole San Pal....
Jipe Moyo Mkuu Wangu....Mmetutesa Sana Ninyi...Sasa zamu yenu Mkuu,lakini samahn KWA kusema hayoπππππ
Maisha na mpira....?!!DaahHakuna namna bro kipigo kilikua hakiepukiki lile lilikua gharika... Adui anapiga hachagui eneo kudadeki
Hata los BlancosBayern wana kikosi imara sana. Mi ni shabiki Sana wa barcelona ila hakukua na namna yoyote tungeweza kushinda dhidi ya bayern, kwa maoni yangu nadhani timu ambayo ingeweza kuleta upinzani kwa bayern ni liverpooll
Yawezekana ukawa upo sahihi maana Madrid wanapofika hatua kama hii huwa ni hatari Sana unaeza kuwaona wabovu ila wanashinda katika namna ambayo u nashindwa kuielezeaHata los Blancos
Chelsea ipi unayozungumzia broBarcelona ni mbovu kuliko hata Chelsea
Wale jamaa wana roho ngumu aisee si uliona muller alivyokua anacheka yani kama yupo mazoeziniHii team tunaizungumzia saa ngap wadau... maana walichomfanya barcelona ni hatari...
Yaan wanashinda lakin kocha wao bado anapga kelele wakaze dah...
πππ Hapo kwenye yanga Sina cha kusema ila itoshe tu kusema barca wanapaswa wajipange sana ukizingatia pia wachezaji wao wengi wanaelekea ama wamefika mwisho wa uwezo waoMaisha na mpira....?!!Daah
Barca hiihii ya Wababe kufanywa Asusa?!!!
Iko Siku Yanga Yangu Itachukua kombe la klabu bingwa DUNIA....hata km nitakua nishakufa,nitazisikia stori kutoka kwa wachunga mbuzi MAKABURINI!!!
Chelsea ipi unayozungumzia bro
Namaanisha kikosi cha Sasa ama vilivyopita, maana kwa kikosi cha Sasa Bado naiona Chelsea Ina udhaifu mkubwa zaidi ya barca Kuanzia kiufundi hadi mbinu za mchezaji mmojammojaHiyo hiyo unayoijua
πππ Sure,mabadiliko Ni Lazima......Jana Wazee Wa Estadio De Mestalla,Valencia wameamua kuwauza wachezaii wao wote,wanadai Ni Ukata TU.....πππ Hapo kwenye yanga Sina cha kusema ila itoshe tu kusema barca wanapaswa wajipange sana ukizingatia pia wachezaji wao wengi wanaelekea ama wamefika mwisho wa uwezo wao
.....sure,and beyond ELASTIC LIMIT IS...breaking....German ni German tuuu...
Ukutane na timu ya taifa,
Ukutane na Club,
Hawanaga zama.
Tukumbuke haya yote yanatokea
Ribbery na Robben a.k.a Robbery hawapo hata bench.
Hakuna Team Duniani hata iwe kwenye Peak kiasi gani Ina amani inapokutana na
German NT au
B.Munich FC,
Iwe ni Home, iwe ni Away, iwe ni Mars..
Wanajiita Die Roten.
Barca kama ni their Time of Extension, basi wamefikia kwenye Elastick limit.
Kiukweli barca wamefika tamati japokuwa hatuwezi kujua wamejipanga vipi siku za mbeleni, LA masia sioni kama Bado Ina impact Tena kwenye soka Lao maana ndio iliwafanya watambe kwa kiasi fulani kwenye misimu iliyopita lakini pia hata usajili wanaofanya kwa Sasa hauleti positive impact kwenye timu zaidi ya misifa tu isiyokuwa na faidaGerman ni German tuuu...
Ukutane na timu ya taifa,
Ukutane na Club,
Hawanaga zama.
Tukumbuke haya yote yanatokea
Ribbery na Robben a.k.a Robbery hawapo hata bench.
Hakuna Team Duniani hata iwe kwenye Peak kiasi gani Ina amani inapokutana na
German NT au
B.Munich FC,
Iwe ni Home, iwe ni Away, iwe ni Mars..
Wanajiita Die Roten.
Barca kama ni their Time of Extension, basi wamefikia kwenye Elastick limit.
Muda mwingine inabidi ufanye maamuzi ya kibabe tu maana timu nyingine zikigundua udhaifu wako inakua ni vipigo vya aibu kila kukichaπππ Sure,mabadiliko Ni Lazima......Jana Wazee Wa Estadio De Mestalla,Valencia wameamua kuwauza wachezaii wao wote,wanadai Ni Ukata TU.....
Swadakt!Muda mwingine inabidi ufanye maamuzi ya kibabe tu maana timu nyingine zikigundua udhaifu wako inakua ni vipigo vya aibu kila kukicha
Anko kila nikiutafuta usingizi namwona muller, Lewandowski, alaba, coutinho ndo anakuja kwa fujo Karibu na Macho yangu... Sijawahi fadhaika kama hivi tangu nianze kucheki football ππSwadakt!