Je, Binadamu tulikuja duniani kimakosa au ni mipango ya Mungu?

Nakushauri lamda hujalibu kupitia vitabu vya mungu kwanza.
 
Duh aiseee...

Haya endeleeni kutumia akili zenu
Ukiangalia Qur'an ni mkusanyiko wa maneno aliyoongea Mungu kupitia kwa mtume Muhammad ...
Biblia nayo ni mkusanyiko wa maneno aliyoongea Mungu kupitia nabii Issa/Yesu....vivyohivyo taurati na Injili na hawa wote waliofikishiwa Ujumbe hawapo tumebaki sisi na maandishi hayo tukakuta kuna sehemu maandishi yanapingana sasa inatubidi kuumiza bongo zetu kupitia hivyo vitabu kujua which's which
 
Hayo ni maoni yako siwezikuyaingilia
 
Kwa mujibu wa quran walikaa peponi kwanza (ndo bustanini huko)
Narudia kwa mujibu wa quran inasema hivyo.
Kwa mujibu wa quran walikaa peponi kwanza (ndo bustanini huko)
Narudia kwa mujibu wa quran inasema hivyo.
sawa Mkuu,ila ukristu na uislamu unanichanganya sana yaani bible unakuta inasema hivi na Quran unakuta inasema vile basi vinapingana kwa kwenda mbele !
 
sawa Mkuu,ila ukristu na uislamu unanichanganya sana yaani bible unakuta inasema hivi na Quran unakuta inasema vile basi vinapingana kwa kwenda mbele !
Ndio muda wa Kuumiza bongo na kupata ukweli
 
Ndio muda wa Kuumiza bongo na kupata ukweli
Kwingine hutopata ukweli nakuhakikishai,zitabaki hisia tu za mtu mmoja mmoja.

Kuna bwana humu alinambia atakuja na madudu yake kuhusu nabii adam nikamwambia alete hivyo vitabu lakini viwe na majibu ya maswali(nilimuliza).

Ila limekimbia moja kwa moja kwa sababu haiwezekani trump awe anaijua vizuri tanzania kuliko magufuli mwenyewe.
 

Ukweli ujisapot wenyewe,lakn uwongo unaitaj utungiwe uwongo mwingne ili ujioneshe kua n ukweli. kama adam alikua nabii dhambi ilianza kwa kpitia nan? kwaiyo shetan alimuingiza kingi nabii wa mungu adam? au m ndo naona ***? na kwa maana yako uliyoitoa hapo juu kila mtu mwenye watoto n nabii / mtume[emoji53] [emoji53]
 
Kutumika vibaya kwa akili ni pale mtu anapotumia akili kuandika ujinga.

Ni dhaahir hajajua vipi atumie akili.

Turudi kwako wewe jamaa.
Swali lako la kwanza kuhusu "kama adam alikuwa nabii dhambi ilianza kupitia kwa nani "

Wacha niulize kwanza kuna uhusiano gani kati ya Nabii na Dhambi ?


2.."kwa maana hiyo shetani alimuingiza kingi nabii adam?"

Lazima tujue kwanza kumuingiza kingi ulikokusudia umemaanisha nini?

Na uliposema "kwa maana yako uloitoa kila mtu mwenye mtoto ni nabii au mtume"

Nakuambia hivi we jamaa..wewe utakuwa sio Nabii bali utakuwa unafanya kazi ya manabii kwa sababu unabii ni cheo.

Leo ukiwa Unasimamia amri ya rais ya kulipa kodi basi jua wewe utakuwa utasimamia agizo la rais,hautoitwa rais eti kwa sababu unafanya ambacho alifanya yeye.
Bali utakuwa unaifanya kazi ya raisi.


Karibu .
 

Mokaze you are right haitowezekana adam kuwa mtu wa kwanza ni ngumu watu kukuelewa hilo jambo
 

Swadakta ya Mbalaka yaan umeuliza maswali ambayo hakuna mtu yoyote atakaweza kukujibu hayo maswali hayo na mm nakuongezea maswali ya kuendelea kumuuliza na kuwakumbusha FADHAKIRR INNAMAA ANTA MUDHAKIRR

Nani alieleta dhambi?

Kwanini mungu aumbe moto kabla ya kuumba mtu?

Alikuwa na maana ipi kuumba moto kabla ya kuumba mtu katika dunia?
 
daaahh ume- spin fact Sana
 
Boonge la swali..... Kwa maana hiyo haya yote yaliyotokea ni mpango wa Mungu km mada inavyouliza
 
الَّذِي خَلَقَ الْمَوْتَ وَالْحَيَاةَ لِيَبْلُوَكُمْ أَيُّكُمْ أَحْسَنُ عَمَلًا ۚ وَهُوَ الْعَزِيزُ الْغَفُورُ

(AL - MULK - 2)
Ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni ni nani miongoni mwenu mwenye vitendo vizuri zaidi. Na Yeye ni Mwenye nguvu na Mwenye msamaha.

Ukishajua kwamba lengo la kuumbwa ni nini basi huwezi shangaa na kuuliza swali kama hilo.

Hujui kama lengo la kuumbwa kwetu ni kujalibiwa ni yupi kati yetu atatenda matendo mazuri ama unataka ulazimishe iwe tumembwa bure bure tu hamna cha zaidi?

Kwa mujibu wa quran hapa tupo katika mtihani na majaribio wala sio katika starehe na kujisahau.

NARUDIA KUSEMA KWA MUJIBU WA QURAN TUNAYOAMINI TUMEUMBWA ILI TUJARIBIWE.

je we unadhani kwa mujibu wa akili yako tumeumbwa ili iweje?

Akili yako ikikupa majibu tofauti na quran basi hayo ni maamuzi yako na hiyari yako...

Unauliza kwa nini Mungu kaumba moto?

Jawabu ni kuwa moto umeumbwa kwa watenda maovu na watakaokufuru.

au ulidhani wale wanaotudhulumu na kutufanyia maovu na kuuwa wenzao wataachwa tu mkuu?
Sasa hao ndo wameumbiwa moto.

MUNGU ALIUMBA PEPO NA MOTO KISHA NDO AKAUMBWA MTU.

MBONA WAISEMA MOTO TU NA PEPO HUSEMI

AU UNATAKA KUSEMA HAKUUMBA NA PEPO?
 
Boonge la swali..... Kwa maana hiyo haya yote yaliyotokea ni mpango wa Mungu km mada inavyouliza
Yaliyotokea yepi?

Kama unakusudia pepo ama moto hayo ni mipango ya mungu.

Ila kama unakusudia majanga ya asili kama volcano,tsunami n.k pia ni mipango ya mungu.

Ama kama unakusudia matrndo yaliyo katika uwezo wa binadamu ambayo Mungu kampaa hiari binadamu achague kama vile kuanzisha biashara,kuoaa,kuja jamii forum na kutukana ama kuelimisha,kuamua kusomea kazi fulani na kuangalia wapi pana maslahi,kuchaji simu,kuingia msikitini au kanisani,kula mchana na usiku,kutongoza na kuzini,kuiba,kula rushwa n.k haya yanatokana na mipango yako wala Mola hakutenzi nguvu katika hayo.

Wewe wakusudia yepi katika hayo?
 
Mungu aliumba Moto kabla ya binaadamu kwa maana hiyo alijua atakuja kumuumba binaadamu ambaye hatofuata maamrisho yake na kumtia humo motoni kwa hiyo tunaona kwamba haya yote Mungu alishayapanga ni mipango yake km nilivyouliza kwenye mada
 
Mungu aliumba Moto kabla ya binaadamu kwa maana hiyo alijua atakuja kumuumba binaadamu ambaye hatofuata maamrisho yake na kumtia humo motoni kwa hiyo tunaona kwamba haya yote Mungu alishayapanga ni mipango yake km nilivyouliza kwenye mada
Moto uliumbwa na pepo iliumbwa.
Lengo la hivyo vyote ni wewe tu ikiwa utafata maamrisho basi utaenda kunakostahiki na ikiwa utaacha basi utaenda kunakostahiki.

Ukiujua maingi wa kuumbwa kwamba tupo katika mitihani huwezi ukahoji mambo kama haya ambayo ni katika maswali yaliyokosa adabu.

Sasa sijajua unaposema yote alipanga unakusudia nini???
 
Sipingi ulichokisema ila naona majibu unayo kabisa kuhusu binadamu na early apes kuwa na uwezekano wa kushare some features of same common ancestor
Nimegundua kuwa unachanganya sana kati ya human au existing races na Ancestors...

Uwepo wa utofauti wa race tayari ninkigezo kikubwa cha kukuweka kwenye grup jingine la ancestor mkuu..

Kuwepo kwa Rhesu factor kwa kila baadhi ya races haikufanyi uamini kuwa unatoka kwenye the same ancestor..no no no no big noooooo..

NI hivi,kwanza unatakiwa ujue kwanza kwanini viumbe wana Rhesus protein katika RBC surface glycoprotein zao na kisha ufahamu juu ya matumizi( faunction) ya hizo protein kwenye surface RBC badae ujue uhumimi wa kutokuwepo kwa Rhesus protein( Rhesus negative) katika surface membrane..
ujue utofauti wa mnyama mwenye protein ile( Rh +) na ambaye hana( Rh -) ..
Nini utofauti wao katika kuishi...??

Je mwenye RHESU +ve inamanisha kaoriginate toka ancestor nyingine au laaaah..??

Ukishalijua hilo unatakiwa kujua kuwa mambo ya Uwepo wa Rhesus kwenye mwilli wa kiumbe wowote hasa mamals ni kitu muhimu kwa kiwango gani...

unapaswa pia ujiulize kuwa kama GOLLILA sijui monkey wana Rhesus antigen haimanishi kuwa Rhesus antigen comfiguration ya monkey ipo sawa na yako wewe.. hapana...big no..tena big noo..Rhesu antigen ya monkey ni tofauti kabsaa na Rhesus antigeni ya binadamu .fahamu hilo ndo mana huwezi ongezewa damu ya mnyama unapokuwa umelazwa..umewahi sikia kama damu ya golila tunampa binadamu kwa point yako ya kuwa na the same Rhesus antigen( kwa ufahamu wako)..??

yani wew unafikilia kitu kidogo sana tena factor ya Rhesus protein ndo mana unasema tumetoka kwenye same ancestor..

kama ni hivyo basi hupishani na mtu aliyesema kuwa wew una masikio,mbwa nae ana masikio ,tembo ane ana masikio ,kwa hoyo wote ni familia moja ya ancestors..

hapana..

understand things at molecular level utajua mengi snaa...achana na shule ya form 4 uongo mwingi kule hakuna kitu kabsaaa...

Ukibishana na mtu aliyekata mambo haya atakuachia comment zako tu anatembea wew unajua amekuelewa ila kaamua kuachana na wew kwa sababu ya shule yako ambayo ipo katika surface level wakati yeye kajua membo in molecular level..

Be frexible utajua mengi mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…