Mwana Mwema
Senior Member
- Nov 15, 2012
- 143
- 133
hahahahahhaha wanahakikisha upo salama na...? hahaharikiboy,
Tatizo unajadilli vitu kwa hisia za kisiasa. Huwazi watu wanaohakikisha upo salama na pumbu zako. Unadhani mambo yanatokea by default. Hivi unadhani hao Rwanda, Burundi, Congo DRC, Somalia, Kenya-Alshababu walikosa nini ambacho sisi tunacho?
hahahahah akae kandoMuanzisha thread anazo instincts za kijasusi kama wengi wanaomtlia shaka Bongozozo. Tunaita sense ya sita-- uwezo wa kuconnect dots pale ambapo wengi hawaoni hizo dots.
Kwa kusema hivyo ni ngumu sana akakuelezea ukamuelewa kama huna hiyo karama. Wenye hiyo karama tumeshamuelewa. Ndiyo maana ujasusi ni taaluma inayohitaji akili nyingi.
Uzipokuwa na hizo akili za kuunganisha matukio kwa haraka huwezi kuwa jasusi mzuri. The fact kwamba wewe bado hujaona picha kubwa hufai kuambiwa details.
Waachie mada majasusi.😀😀😀😀😀
fala ni yupi, mbona unapaniki, na uzwazwa wako wa kufikiri bado ni mdogo sanaSalama gani sijui anaongeala huyo zuzu... watu wanatekwa na kuuliwa kila siku na waafrika wenzao leo fala mmoja anapiga kelele kuhusu bongozozo ana hatarisha usalama wetu kama sio Kukosa akili ni nini??
Jamani naona JF inakuwa fb skuiz. Kuchangia hoja sio lazma jamani na kila topic na wakati wake hapa hatuongelei kutekana.Salama gani sijui anaongeala huyo zuzu... watu wanatekwa na kuuliwa kila siku na waafrika wenzao leo fala mmoja anapiga kelele kuhusu bongozozo ana hatarisha usalama wetu kama sio Kukosa akili ni nini??
Upelelezi hauishii kwenye siasa tuu,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa tanzani kuipeleleza ndo unakuja kuishia uwanja wa taifaa...!! Au anapeleleza mashabiki wa mpiraa...
U spy ni Data huandikwa au hukusanywa ,hata kwenye makanisa na dini umo,michezo ndo kwao,na kwenye biashara na uchumi,kilimo,na kila nyanja inayoweza kuzisaidia nchi kumanage mwenendo kwa maslahi fulani kwa wakati fulani,ilimradi hata Ushawishi wa mtu unahitajika umaarufu na kukubalika ili baadae alete malengo makubwa au kutowa taarifa tuu katika secta ile,Maktaba nitakuta kitabu kimeandikwa Kuhusu Bongozozoo?? Acha ujinga wewe hakuna mzungu atapotezaa muda kuwazuga wabongo kuwa anawaspy kwa kwenda uwanjani na kupiga kelele insta... Nchi yenyewe hii ya kiboyaa data gani wazungu waitake wasipate mpaka waanzs kupoteza mudaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hoja yako sio ya kupuuzwa japo watu wanakupinga.. Unaweza kuta hata ni undercover agent wa CIA
nashukuru sana kwa majibu yako, umejibu kistaarabu bila matusi wala mihemko, nimekuelewa sana mkuu, nilichokuwa nahitaji ni ufafanuzi kama huu na wala sikumhukumu moja kwa moja kama ni spie kama wengi walivokuja na majibuNasikitika sana kuona hoja zinajibwa kwa kejeli.
Mara ooh mtu ameshiba ugali Wa shemeji mbona hivi wakuu. Huku sio Facebook.
Naomba nikusaidie kaka mkubwa mleta Uzi.
Suala la Bongo Zozo unaweza kulizungumzia kwenye milengo miwili tofauti.
1. Mlengo unaosimamia kuwa ni uzalendo Wa Jamaa kuipenda timu yetu kwani imekuwa ni ngumu sana kuona ngozi nyeupe ikitoa support kwenye team za taifa achilia mbali South Africa. Hoi wengi tunaona Kama ni kitu cha upekee kwa Jamaa kujumuika nasi kuishabikia timu yetu.
2. Mlengo mwingine ni ule Wa kuweka Spies ndani ya nchi. Kila taifa lina kitengo cha kufanya upelelezi ndani ya nchi zingine. Hizi CIA pamoja na MI-13 pamoja na Mosaic hawaangalii tu ishu za kiuongozi tu masuala yanayohusu taifa kwa ujumla. Kufanya imposing ya vitu vingi mfano ideas pamoja na influences.
Hivyo naweza kusema kuwa Bongo Zozo anaweza kuwa ni rafiki Wa dhati kwetu na kutoa moyo wake kuipa moto timu ya taifa au akawa ndo shushushu mzuri tu aka undercover Wa nchini kwao wenye mission yake secret.
Sitoweza kutoa Maelezo zaidi ya hayo maana kuna msemo "Whenever you are they are watching you"
Nipo