Je, Bongozozo ana nia iliyojificha?

Huyu hapa juzi alinunia kiketi 100 kwa ajiri ya madem waingie bure anasema bila wanawake hakuna ushabiki ni sawa na disco bila wanawake
Wekeni picha tumuone huyo bongozozo
 
asante mkuu, nashukuru umelijua hilo, watu wanahemka tu bila kuumiza kichwa kufikirisha akili zao
 
Ahsante kwa kuliona hilo mkuu, japo nimepolomoshewa zihaka sana, hahahahah
 
Imenishangaza kusikia jamaa yule demu wanaishi nae nyumba moja wamezaa watoto wawili ila wametengana kwa miaka nane hawalali chumba kimoja na hawafanyi kitu naungana na mtoa mada
miaka yote hiyo mwana hajagusa mwili wa mkewe, watu wanakwambia inawezekana
 
nisaidie naww kumuelewesha huyo Mbulula
 
Wengi hawatokuelewa katika hili,maana mambo haya huwa yanahitaji hisia zisizo za kawaida,hisia ambazo hutatuliwa na kiungoz kingine cha hisia ambacho ndichjo kinachoendesha hisia zote,jambo hili hawa watoto hawatokuelewa hata uwachape vipi.
nimebaki nawatazama tu
 
Hoja yako sio ya kupuuzwa japo watu wanakupinga.. Unaweza kuta hata ni undercover agent wa CIA
Labda na wewe useme si mpenzi wa mpira. ila kama ni mpenzi wa mpira utakuwa shabiki kindaki ndaki wa Man U, Arsenal, Chelsea, au Real Madrid au Barca je una ajenda gani na team za wenzio.

Tuje world cup utakuta mtu anakwambia mimi ni Brazil, Mimi France, Mimi ni sijui Ivory Coast. Una agenda gani na team za wenzio. Ndivyo alivyo Bongo zozo mwenye mke wa Kimarangu. Akitoka kwenye mpira anakwenda kunywa mbege uko ukweni.

Wewe Shabiki wa Arsenal kuna nini mpaka uwe na mapenzi
 
mayowela,
Sijui unasemaje kuhusu yule mdada mzungu aliyeolewa na mmasai! Na yule Mmama mzungu aliyekuwa Ikulu katibu muhtasi wa Mwalimu Nyerere! Achana na maisha ya ubaguzi wa rangi.
 
Richard s Mabala, Ricardo Maria nk ni mfano wa watu design ya Bongozozo ni binaadamu tusiwafikirie vibaya.

Bongozozo ni mzazi mwezie na dada yetu Mtanzania, hatujui katuwakilishaje huko kunako 6×6 mpaka shemeji kajikuta anapenda taifa zima.

leo hii kasimama nafasi ya mzalendo mhamasishaji, tusizubae zaidi ya kumuunga mkono,anaweza kutusaidia sana kujitangaza na hulka yake hiyo ya fujo zisizoumiza[emoji16][emoji16].wazee wenzangu wananipata hapa yaani awe double agent, yaani ametumwa halafu anatumika pia.

Hii ni nzuri sababu haitakuwa na hasara sana.
 
@Freelancer,That's according to your point of view mkuu i know this guy he loves attention toka zamani baada ya instagram ndo watu wengi wamemjua ila Iringa wengi wanamjua
 
Hivi kama akiukana uraia wake na akachukua wetu akagombea ubunge mtamnyima?
Kama ni ushushushu wamejaa kwenye balozi na sio kama huyo
Wenzetu wanapokea wakimbizi na watu wanabukua mpaka wanaingia kwenye siasa na mpaka jeshini na mahospitali lakini huoni wakiwashuku
Umaskini mbaya sana na huwa unaambatana na roho mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…