Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu natafuta video yake hii?😁
Samia anaongoza vizuri kuliko jiwe na hana mihemko ya ajabu ajabuSSH aliandaliwa. Hadi anateuliwa kuwa VP mara mbili zote(first of that kind) tulipofika Uchaguzi Mkuu, maanake ni aliandaliwa. Mama SSH kuwepo kwenye CC ya CCM toka 2002, maanake ni nini kama sio kuandaliwa kushika madaraka makubwa?
Na, Je toka ashike madaraka, kuna lolote kubwa lililomshinda? Kuna jambo baya la kuhaini alilolifanya? Kuna ubaguzi wowote alioufanya kwa kutumia madaraka yake? Kuna mtikisiko wowote ulioukumba nchi? Kama upo je, uliachwa ukasambaa bila kuthibitiwa?
Maneno ya kina Polepole, Nape na Bulembo ni maneno ya kawaida ya vita ya makundi ndani ya CCM. Ni vita ya peripherals kutafuta namna ya kukaa kimkakati na kujiattach kwenye centre. Centre ni SSH na Viongozi wengine Wakuu kama Jaji Mkuu, Speaker, Waziri Mkuu na Makamu wa Rais.
Ukiwa hivyo, ujue ni mabadiliko ya jumla ya kimfumo. Ni kama ambavyo tukibadilika kisera baada ya kung'atuka kwa Mwalimu madarakani. Kwa misimamo yake kuna mtu angeamini Mwalimu angepigia chapuo vyama vingi? Pamoja na maoni ya wananchi kupitia tume ya Jaji Nyalali kuonyesha kinyume chake? Maamuzi ya serikali ni dhamana. Viongozi wakuu hasa wanaosikia ushauri, hukubali kuchukua dhamana hata kama hawaungi mkono jambo. Kama ndani ya serikali na vyombo vyake yaani KIJ, TISS, BMW na Chama tawala(kisisahaulike) wamekubaliana jambo, basi kiongozi mkuu hubeba dhamana hiyo.JPM alisema chanjo haifai ila SSH kasema ni muhimu tuchanjwe afu kuna wana CCM wanashangaa hizi U turn!! Je kivp wanaduwaa wakati CCM ndio ilimuandaa kuwa Rais?? Au mnakiri kuwa hakuandaliwa kma mnavyojisifiaga!!
ngoja niingie maktabaMkuu natafuta video yake hii?[emoji16]
Lakini mkuu unafahamu kukosekana consistency ya kisera ndio kunaua uchumi wetu?Ukiwa hivyo, ujue ni mabadiliko ya jumla ya kimfumo. Ni kama ambavyo tukibadilika kisera baada ya kung'atuka kwa Mwalimu madarakani. Kwa misimamo yake kuna mtu angeamini Mwalimu angepigia chapuo vyama vingi? Pamoja na maoni ya wananchi kupitia tume ya Jaji Nyalali kuonyesha kinyume chake? Maamuzi ya serikali ni dhamana. Viongozi wakuu hasa wanaosikia ushauri, hukubali kuchukua dhamana hata kama hawaungi mkono jambo. Kama ndani ya serikali na vyombo vyake yaani KIJ, TISS, BMW na Chama tawala(kisisahaulike) wamekubaliana jambo, basi kiongozi mkuu hubeba dhamana hiyo.
Lakini TISS au CCM makini lazima iwe na uwezo wa ku anticipate mabadiliko ya kisera au trend za dunia/local politics hivyo kujiandaa in advance!! Sio kusubiri mpaka mabadiliko yawe imminent ndio tuwe reactive mwisho wasiku tunakurupuka then tunafanya mistake za strategy.Na uhai wa Serikali, Chama cha siasa na Taifa kwa ujumla, pamoja na mambo mengi mengine, lkn hutegemea pia uwezo wa vyombo vyake ku undergo "mutation" kutegemeana na taarifa iliopo wakati huo, kubadilika kwa taarifa za awali na utafiti. Namaanisha uwezo wake wa kuwa flexible na kubadilisha misimamo bila aibu.
"No permanent situation". Only Change is permanent. Hakuna hali idumuyo, mabadiliko ndio hudumu kwa sababu huwepo daima kuendana na wakati.
Line yako ya kwanza ni fallacy. Kwani uchumi wetu umekufa? Tunaweza kusema kuna mabadiliko yoyote yanayoua uchumi? Uchumi wetu unaua, wakati ulikua(grows) kwa positive about 4% wakati wa Covid-19 ya mwaka 2020 ambapo wengi wakiopokea kichwa kichwa habari za Covid na lockdown waliishia recession(negative growth).Lakini mkuu unafahamu kukosekana consistency ya kisera ndio kunaua uchumi wetu?
Mfano tulikubaliana gesi ndio solution ya umeme, ghafla tunaambiwa Stieglers ndio suluhu ya umeme. Same to JK alitaka katiba mpya ghalfa JPM anakuja kusema sio kipaumbele chake ilihali pesa zaidi ya Billion 20 ilitumika kwenye mchakato wa katiba!!! Mpka unajiuliza je CCM ni ile ile au viongozi hawaandaliwi kufuata sera na mrengo wa chama ili wawe na fikra moja tofauti ni strategy tu!!
Trust me 2025 kama atapita Rais Mwingine say Majaliwa utasikia chanjo NO, mara Stieglers gorge isubiri, mara tutumie umeme wa upepo n.k so unakuta nchi inakosa shabaha.
Ndio hapo hoja yangu inakuja je kweli CCM na TISS inaandaa viongozi? Kwanini wakinzane? Chama hakina mfumo wa kujua like-minded candidates to ease transition between phases?
Cc Gerald Magembe
Mbona strategic plan ya wizara ya nishati ilitaka Tz iwe uchumi wa Gesi!! Yaani nchi iendeshwe kwa fedha za gesi kuanzia 2015 ambapo tuliahidiwa extraction na exportation ingeanza je hyo ndio reality??Miradi ya gesi haikuachwa wakati wa JPM
Yeah msemaji wa serikali Gerson Msigwa na Rais SSH walisema biashara na uwekezaji uliporomoka in 5 years je una facts nyingi kuliko hao wawili?? Au kusema biashara kufa haina impact kwa uchumi hasa wa multiplier effect?Tunaweza kusema kuna mabadiliko yoyote yanayoua uchumi?
Ha ha ha I love this👌Only survivor can hear the sound of bullet..
Kwa hiyo maamuzi aliyokuwa anafanya jiwe hivyo vyombo vilikuwa vinakubaliana?Ukiwa hivyo, ujue ni mabadiliko ya jumla ya kimfumo. Ni kama ambavyo tukibadilika kisera baada ya kung'atuka kwa Mwalimu madarakani. Kwa misimamo yake kuna mtu angeamini Mwalimu angepigia chapuo vyama vingi? Pamoja na maoni ya wananchi kupitia tume ya Jaji Nyalali kuonyesha kinyume chake? Maamuzi ya serikali ni dhamana. Viongozi wakuu hasa wanaosikia ushauri, hukubali kuchukua dhamana hata kama hawaungi mkono jambo. Kama ndani ya serikali na vyombo vyake yaani KIJ, TISS, BMW na Chama tawala(kisisahaulike) wamekubaliana jambo, basi kiongozi mkuu hubeba dhamana hiyo.
Master Plan na ccm wapi na wapi wewe?Wakivimbiwa na kura za michongo ndiyo huongea hivyo.Ukimsikia mcc anasema ukweli ni pale anaponyang'anywa tonge vinginevyo ni mapambio-unaamini pole pole alipona utapiamlo soon alipokuwa ndani chumbani pale Lumumba?Kumekuwepo na propaganda ya miaka mingi kuwa CCM inajua kuandaa na kulea viongozi sio tu ndani ya nchi mpaka nchi jirani (Enzi za Mwalimu) nakumbuka hta Mhe.Polepole alisema wana master plan ya kuongoza nchi mpaka 2075!!
Kinachonishangaza toka Mama SSH aingie madarakani ni kama vile CCM haikumuandaa wala haikumtarajia kuwa Rais. Ilifika mahali wanaona bora katiba ingebadilishwa turudi kwa uchaguzi. Watu kama kina Polepole nao wamegeuka na kudai chama kimeshikwa na wahuni.
Sasa nachojiuliza kama CCM ni mabingwa wa siasa inakuaje hawakujiandaa na mbadala wa JPM (maana ugonjwa wake ulifahamika) kiasi walalamike as if SSH ni zao la CUF au TLP?
Kingine kama SSH anaonekana ni unfit kuwa Rais, ilikuaje akapitishwa kuwa makamu wa Rais on the first place? Ina maana unaweza kuwa makamu wa Rais bila kuandaliwa kuwa Rais ikitokea emergency??
Back to polepole, kama aliandaa master plan ya CCM mpaka 2075 inakuaje alalamike sasa ilihali Rais wa sasa ni zao la chama kile kile? Au plan haikujiandaa na mabadiliko ya Rais? Na kama haikujiandaa je ile propaganda kuwa CCM ni mabingwa wa succession na strategy politics ni uongo??
Cc The Boss MALCOM LUMUMBA Salary Slip
Ukiona watu waamua tu (kwa utashi wao) kumfungulia kesi mtu maarufu na kiongozi (public Figure) bila kupima madhara ya huko mbele basi hapo utambue kuna walakini katika hizo sehemu mbili ulozitaja.Kumekuwepo na propaganda ya miaka mingi kuwa CCM inajua kuandaa na kulea viongozi sio tu ndani ya nchi mpaka nchi jirani (Enzi za Mwalimu) nakumbuka hta Mhe.Polepole alisema wana master plan ya kuongoza nchi mpaka 2075!!
Kinachonishangaza toka Mama SSH aingie madarakani ni kama vile CCM haikumuandaa wala haikumtarajia kuwa Rais. Ilifika mahali wanaona bora katiba ingebadilishwa turudi kwa uchaguzi. Watu kama kina Polepole nao wamegeuka na kudai chama kimeshikwa na wahuni.
Sasa nachojiuliza kama CCM ni mabingwa wa siasa inakuaje hawakujiandaa na mbadala wa JPM (maana ugonjwa wake ulifahamika) kiasi walalamike as if SSH ni zao la CUF au TLP?
Kingine kama SSH anaonekana ni unfit kuwa Rais, ilikuaje akapitishwa kuwa makamu wa Rais on the first place? Ina maana unaweza kuwa makamu wa Rais bila kuandaliwa kuwa Rais ikitokea emergency??
Back to polepole, kama aliandaa master plan ya CCM mpaka 2075 inakuaje alalamike sasa ilihali Rais wa sasa ni zao la chama kile kile? Au plan haikujiandaa na mabadiliko ya Rais? Na kama haikujiandaa je ile propaganda kuwa CCM ni mabingwa wa succession na strategy politics ni uongo??
Cc The Boss MALCOM LUMUMBA Salary Slip
Are you sure? Kujitoa kwenye open governance initiative iliyotaka uwazi hasa mikataba kupelekwa bungeni ilikua mabadiliko chanya?Na mabadiliko mengi tunayoyana yanakuwa na lengo ya kuboresha na sio kuharibu
How?? Yaani TISS inamuweka Rais anayepinga uwepo wa Covid na chanjo then baada ya yote TISS inamleta anayesema chanjo ni sahihi na Covid 19 ipo?? Je hizo instant change in policies hauoni inaathiri sekta kadha wa kadha especially kwenye long term planning?"carefully planned"
TISS haimweki mtu yaridhia tu baada ya kamati kuu ya chama husika kuidhinisha jina.How?? Yaani TISS inamuweka Rais anayepinga uwepo wa Covid na chanjo then baada ya yote TISS inamleta anayesema chanjo ni sahihi na Covid 19 ipo?? Je hizo instant change in policies hauoni inaathiri sekta kadha wa kadha especially kwenye long term planning?
Mfano tafiti za ndani zitafifishwa sababu focus itakua kuagiza chanjo n.k je TISS makini inakubali vp nchi kuwa volatile kiasi hiko? Mbona Israel kila Rais anayeingia ana msimamo ule ule dhidi ya Palestina? Kwanini sisi huku hatuandai succession kulingana na consistency na longevity ya utekelezaji wa sera
Safi sana mkuu, umemaliza kila kituTISS haimweki mtu yaridhia tu baada ya kamati kuu ya chama husika kuidhinisha jina.
Huwezi kusema mgombea hapitii vetting hiyo huwa ni "initial stage".
Instant change of policy ni kutegemea na mashinikizo ya external forces ambazo ukiwa vulnerable unakuwa kama ilivyotokea kwetu kwenye suala la chanjo, kifo cha mhusika mkuu na the way foward kwa mhusika aliopo.
You have to be stable, leo Putin amewaambia USA mwezi ujao (january) tukae tuzungumze na tukubaliane bila ninyi (NATO na USA) kunipa mashati ila hawezi kuwaruhusu kujenga defence systems pembeni ya uzio wa nyumba yake (Ukraine).
Kwenye chanjo toka mwanzo mkakati watakiwa uwe sisi tuna fedha twataka chanjo za gharama kadhaa kwa watu idadi kadhaa. Kama tulivyonunua ndege kwa cash basi twaenda kunakouzwa dawa za chanjo ndege yaenda yapakia shehena, yarudi na watu wanotakiwa kudungwa sindano hizo wafanyiwa hivyo lakini inakuwa ni sera ya taifa.
Umegusia suala la Israel ambalo ni gumu kwani Israel wao eneo hilo wanaamini ni lao na huo ndo msimamo wa wahafidhina akina Benjamini Netanyahu.
Kifo vya Yitzhak Rabin mwaka 1995 kilitokana na yeye kutaka kubadili msimamo wa Israel kuhusu Palestina na khasa ule mkataba wa Oslo wa mwaka 1993 kwa kutaka maridhiano. Lakini jamaa wa Shabak (majasusi wa ndani ya Israel) walinusa harufu ya hasira kutoka kwa wahafidhina na walimtahadharisha mara kwa mara bwana Rabin juu ya kuvaa "bullet proof".
Rabin hakusikia na kifo kikamtokea pale alipouawa na muisraeli mwenye msimamo mkali.
Shabak pia walimwonya Netanyahu kwa hotuba zake zenye msimamo mkali kuhusu hatua alozichukua Rabin kutaka kukubaliana na Yaser Arafat kule Oslo.
Hivyo utaona kwamba vyombo vya usalama hukaa na kusoma masuala nyeti na hatari kwa taifa ( kwa kumuonya Rabin) na pia kuzungumza na kumuonya Netanyahu ambae alikuwa ni kiongozi wa upinzani bungeni.
Kwahio yalotokea hadi tukapata kiongozi aliepita na kiongozi tulie nae sasa yaonyesha kuwa hakuna succession plan na pia hakuna consistency ya sera za kimkakati kama bwawa la Mwalimu Nyerere, serikali kuhamia Dodoma na miradi mingine kama SGR.
Na huko ndiko kuyumba niloelezea.
Yaani Mtu akitoboa kwa juhudi zake mnakimbilia kusema eti aliandaliwa.SSH aliandaliwa. Hadi anateuliwa kuwa VP mara mbili zote(first of that kind) tulipofika Uchaguzi Mkuu, maanake ni aliandaliwa. Mama SSH kuwepo kwenye CC ya CCM toka 2002, maanake ni nini kama sio kuandaliwa kushika madaraka makubwa?
Na, Je toka ashike madaraka, kuna lolote kubwa lililomshinda? Kuna jambo baya la kuhaini alilolifanya? Kuna ubaguzi wowote alioufanya kwa kutumia madaraka yake? Kuna mtikisiko wowote ulioukumba nchi? Kama upo je, uliachwa ukasambaa bila kuthibitiwa?
Maneno ya kina Polepole, Nape na Bulembo ni maneno ya kawaida ya vita ya makundi ndani ya CCM. Ni vita ya peripherals kutafuta namna ya kukaa kimkakati na kujiattach kwenye centre. Centre ni SSH na Viongozi wengine Wakuu kama Jaji Mkuu, Speaker, Waziri Mkuu na Makamu wa Rais.