Je, CDF na IGP wakifikisha miaka 60 wanaweza kuongezewa muda au lazima wastaafu?

Sasa hivi jwtz mwisho ni miaka 28,ukizidi hapo ndo basi tena.
na ugumu wa kozi unazingatiwa aisee.

huwezi himili ile kozi na miaka 40,inategemea mtu na mtu[emoji38].
 
Kazi yao rahisi kuliko JWTZ

We mtu kazi yako kupambana na majambazi ambao technically ni raia alieshika bunduki kwenda kupora ulinganishe na luteni ambae anaenda front kupambana na adui mpiganaji kweli kweli mwenye silaha aina zote
hapana sidhani kama waliopanga wamezingatia hilo swala.

maana ingekuwa hivyo basi jeshi lingekuwa miongoni mwa kazi zinazolipa vizuri sana,ikifuatiwa na hiyo polisi.

but sio hivyo hawapo kwenye orodha zinazolipwa vizuri,ila wako kwenye zenye afadhali.
 
TRA hata wafike kwenye mishahara ya kukaa miaka mingi kazini bado sana kuwalinganisha na maafisa JWTZ waliisomea sheria na udaktari

Na nchi hii sifahamu sehemu yenye mishahara mikubwa zaidi ya TRA nje ya JWTZ ,mishahara ya TISS siijui sababu mi sio TISS
 
hoja yangu ni kwamba mishahara haikupangwa kwa kuzingatia ugumu wa kazi.

kuna watu wana kazi za kawaida tu,ila wanalipwa kweli kweli TPA,TRA,TANAPA,TANESCO

angalia kazi zote hapo dactari hayupo,pamoja na msoto wote kuanzia shuleni mpaka kazini.
 
Mmoja wao kishastaafu tokea Mwaka juzi
Kaongezewa Muda
 
Hakuna kitu kinaitwa Katiba ya Jeshi wewe Nanga.
Uteuzi wa CDF upo kwa Mujibu wa Katiba ya Nchi.
Afisa yeyote aliyefikia rank Brigedier, Major au Liutenant General anaweza kuwa CDF.
Na kwa Taarifa yako enzi za Mkwere kulikuwa na Liutenant General kama 8.
Kwa sasa wako wa tatu, CoS, Mkuu wa TMA na Mkuu wa NDC
 
Rais anaweza muongeze CDF kukaa madarakani.. Kumbuka Mwamunyange alikua keshastafu lakini aliongezewa mwaka mmoja au miwili na Jonh Pombe

Pia suala la IGP anaweza muongezea,ili watoke wote pamoja! Ngoma hua nzito kwa Mkuu wa TISS..
Ki Katiba Rais, halazimishwi kuchagua Mkuu wa TISS kutoka TISS,anaweza hata kumtoa Jalalani.
 
Pengine mazoea tu na tabia za watu

Ila afisa JWTZ maslahi manono sana hamna wa kuwalinganisha serikalini
Hamna kitu,Jeshini bila kwenda UN mission unakufa Masikini,labda uwe National Service kwenye Projects za Ki Siasa na Kusafiri Safiri
 
Hamna kitu,Jeshini bila kwenda UN mission unakufa Masikini,labda uwe National Service kwenye Projects za Ki Siasa na Kusafiri Safiri
Mkuu maafisa waandamizi (sio majenerali) wapo hadi kwenye mishahara ya zaidi ya milioni kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…