mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
na ugumu wa kozi unazingatiwa aisee.Sasa hivi jwtz mwisho ni miaka 28,ukizidi hapo ndo basi tena.
huwezi himili ile kozi na miaka 40,inategemea mtu na mtu[emoji38].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na ugumu wa kozi unazingatiwa aisee.Sasa hivi jwtz mwisho ni miaka 28,ukizidi hapo ndo basi tena.
hapana sidhani kama waliopanga wamezingatia hilo swala.Kazi yao rahisi kuliko JWTZ
We mtu kazi yako kupambana na majambazi ambao technically ni raia alieshika bunduki kwenda kupora ulinganishe na luteni ambae anaenda front kupambana na adui mpiganaji kweli kweli mwenye silaha aina zote
TRA hata wafike kwenye mishahara ya kukaa miaka mingi kazini bado sana kuwalinganisha na maafisa JWTZ waliisomea sheria na udaktarihapana sidhani kama waliopanga wamezingatia hilo swala.
maana ingekuwa hivyo basi jeshi lingekuwa miongoni mwa kazi zinazolipa vizuri sana,ikifuatiwa na hiyo polisi.
but sio hivyo hawapo kwenye orodha zinazolipwa vizuri,ila wako kwenye zenye afadhali.
hoja yangu ni kwamba mishahara haikupangwa kwa kuzingatia ugumu wa kazi.TRA hata wafike kwenye mishahara ya kukaa miaka mingi kazini bado sana kuwalinganisha na maafisa JWTZ waliisomea sheria na udaktari
Na nchi hii sifahamu sehemu yenye mishahara mikubwa zaidi ya TRA nje ya JWTZ ,mishahara ya TISS siijui sababu mi sio TISS
Mmoja wao kishastaafu tokea Mwaka juziKwa mujibu wa katiba na Sheria za nchi yetu viongozi waandamizi wa polisi, Jeshi la Wananchi na wengineo wakistaafu wanaruhusiwa kuomba kuongezewa muda au mteule wao anaweza waongezea muda?
Kama wataongezewa muda, ukomo wakuwaongezea muda ni miaka mingapi?
Je, ipo mifano ya viongozi wa vyombo hivi ambao wamewahi kuongezewa muda wakiutumishi baada yakuvuka umri wa kustaafu?
Hakuna kitu kinaitwa Katiba ya Jeshi wewe Nanga.Nimekwambia huo ni utaratibu wa kijeshi kutokana na Katiba ya TPDF. Kuvunja Katiba kwa kiongozi wa nchi sio kuhalalisha kitendo kuwa utaratibu. Kama tunasema ni mvunja katiba wadhani alianzia wapi? Au mangapi ambayo ameenda nje ya utaratibu wa Katiba? So usishangae mkuu
Kama ni Askari wa TPDF basi utakuwa NangaKwa maelezo niliyotoa jibu unalo.
Ki Katiba Rais, halazimishwi kuchagua Mkuu wa TISS kutoka TISS,anaweza hata kumtoa Jalalani.Rais anaweza muongeze CDF kukaa madarakani.. Kumbuka Mwamunyange alikua keshastafu lakini aliongezewa mwaka mmoja au miwili na Jonh Pombe
Pia suala la IGP anaweza muongezea,ili watoke wote pamoja! Ngoma hua nzito kwa Mkuu wa TISS..
Mbona sasa wanakopa mpaka sukari kilo moja kwa mangi?Zaidi ya milioni mbili na nusu
MmmhMbona sasa wanakopa mpaka sukari kilo moja kwa mangi?
Naonaga mpaka makapten wenye nyota tatu.Mmmh
Makapera au wenye nyota ?
Pengine mazoea tu na tabia za watuNaonaga mpaka makapten wenye nyota tatu.
Mara paap kumbe CO wako.Kama ni Askari wa TPDF basi utakuwa Nanga
Hahaha, CO NangaMara paap kumbe CO wako.
Hamna kitu,Jeshini bila kwenda UN mission unakufa Masikini,labda uwe National Service kwenye Projects za Ki Siasa na Kusafiri SafiriPengine mazoea tu na tabia za watu
Ila afisa JWTZ maslahi manono sana hamna wa kuwalinganisha serikalini
Mkuu maafisa waandamizi (sio majenerali) wapo hadi kwenye mishahara ya zaidi ya milioni kumiHamna kitu,Jeshini bila kwenda UN mission unakufa Masikini,labda uwe National Service kwenye Projects za Ki Siasa na Kusafiri Safiri
HahahahaMkuu maafisa waandamizi (sio majenerali) wapo hadi kwenye mishahara ya zaidi ya milioni kumi
Hiyo kweli hata Polisi maana mshahara wa SACP ni 2.3m...sasa imagine PC ni how muchHamna kitu,Jeshini bila kwenda UN mission unakufa Masikini,labda uwe National Service kwenye Projects za Ki Siasa na Kusafiri Safiri
Na ndio.Maana hao wazee wakistaafu wanakuwa choka mbaya sana kama hawajafikia privillaged ranks...Hiyo kweli hata Polisi maana mshahara wa SACP ni 2.3m...sasa imagine PC ni how much
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
PC wanachezea 4.2 laki basicHiyo kweli hata Polisi maana mshahara wa SACP ni 2.3m...sasa imagine PC ni how much
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app