Je, Cheti cha ndoa kimetajwa popote kwenye biblia au Quran?

Je, Cheti cha ndoa kimetajwa popote kwenye biblia au Quran?

Sawa, hebu close hiyo end hapa tuone.., maana ukisearch google kwa kiswahili mara nyingi naletwa JF, kwahiyo nimefanya shortcut kuja huku
chatgpt ni rahisi, inaelewa hadi kiswahili....
1702143280593.png
 
Umdhibitishie nani? Na kwa ajili gani?, kwani ndoa inalazimishwa?
Ndiyo inalazimishwa ndio maana kweneye kuachana kuna vuta nikuvute.
Kuna utaratibu wa binadamu, mfano wewee mfanyakazi ili una bima ina cover mkeo pia, ili tuthibitishe tunahitaji cheti kujua kama kweli mkeo.
Umekufa wanakuja wanawake wengi kila mmoja anadai ni mkeo, njia rahisi kachet katatueleza nani mke halali.
Na mengineyo ...
 
Kama talaka zilikuwepo inamaanisha kulikuwa na makubaliano ya ndoa ambayo siku hizi mnaita cheti cha ndoa
 
Serikali ikiamuru makanisa na misikiti yaweke sanamu la shetani kwenye nyumba za ibada, watatii?
Hili siwezi kulisemea, linategemeana. Kwenye biblia, katika kitabu cha Daniel, ziliwahi kuwekwa sheria ambazo zilikuwa zinakinzana na matakwa ya Mungu. Wapo waliotii na wengine kukataa kutii wakiongozwa na Daniel, Shadrack, meshack na Abednego. So hili siwezi kulisemea. Labda uniulize mimi personally.
 
Ukifunga kanisani ndoa ni lazima upewe cheti. There's no way hutapewa, maana gharama zake unazitoa mapema kabisa kabla siku ya ndoa.

Halafu kuhusu uhalali wa ndoa, sijui unaongelea uhalali upi? Uhalalali mbele za Mungu au uhalali kisheria?
Endapo umefunga ndoa kanisani au msikitini bila cheti, KIDINI hiyo ndoa ni halali?
 
cheti cha ndoa ni uthibitisho wa kiserikali ili ikitokea tatizo kati ya wanandoa muwe mnatambulika.
ila katika dini siyo lazima bila hata cheti ndoa bado ni halali kama vigezo vya ndoa vimetimia (kiislam)
 
Endapo umefunga ndoa kanisani au msikitini bila cheti, KIDINI hiyo ndoa ni halali?
Huwezi ukafunga ndoa kanisani bila cheti. Utoaji wa cheti ni moja ya taratibu za kufunga ndoa.

Cheti ni uthibktisho kuwa umefunga ndoa, so there's no way hutakichukua wakati ushalipia gharama zake
 
Umuhimu wa cheti cha ndoa ni pale mke/mume unamtaka na anakukana sio mumewe/mkewe.,

Na huna uthibitisho wowote kwamba mna ndoa.

Jasho litakutoka.
 
Chet cha ndoa ni cha serikali sio kanisa
 
Naomba muongozo

Pete au cheti hakuna mahali vimetajwa kwenye bible...

Isipokuwa ni takwa la kisheria kuwa na cheti kama uthibitisho wa uwepo wa mkataba unaoonesha kuwa mtu mume na mtu mke wameafikiana kuishi pamoja...
 
Sasa hiyo ni google? Anyway, Ndio nikauliza, ukifunga ndoa kanisani au msikitini bila cheti, hiyo ndoa KIDINI ni halali?
Ili ufunge ndoa kanisani kuna fedha unailipa mapema kama maandalizi, fedha hizo ni sehemu ya malipo ya cheti cha ndoa. Bila fedha hizo kanisa halitajishughulisha na mpango wa ndoa yako
 
Back
Top Bottom