FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #41
Ewaaaaa, hapo sas aumekuja uwanjani.Ndiyo inalazimishwa ndio maana kweneye kuachana kuna vuta nikuvute.
Kuna utaratibu wa binadamu, mfano wewee mfanyakazi ili una bima ina cover mkeo pia, ili tuthibitishe tunahitaji cheti kujua kama kweli mkeo.
Umekufa wanakuja wanawake wengi kila mmoja anadai ni mkeo, njia rahisi kachet katatueleza nani mke halali.
Na mengineyo ...
- je, ni kwanini mtu afunge ndoa na mtu ili kupata haki zisizo za kindoa?
Mfano;
1.) kama ni bima, kwani siwezi kuchagua beneficiaries ninao wataka mimi, in whichcase unahitaji kitambulisho tu cha kukudhibitisha. Uwe mke , usiwe mke, so as long as nimekutaja kama beneficiary, si inatosha? Si unahitaji ID tu?
2.) Kama ni mirathi, kwani siwezi kuchagua beneficiaries wangu,uwe mke , usiwe mke, uwe kaka au usiwe kaka, na inthat case kama nimekutaja si unahitaji ID tu..?
Kwanini benefits zisizo za kindoa ziwe attached na ndoa? Why?