AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Subiri kwanza, unaposema soko lenu unamaanisha nini? Sikuelewi unajua halafu unaponi-attack angalia unavyokuja maana nikija km unavyokuja hapatatosha hapa utatafuta kwa kukimbiliaHuyo anko t ana miaka wewe unaongelelea October ya juzi, kwanini mkiguswa soko lenu mnakuwa wakali hivi? Mnapata faida gani?
Yote tunapambana nayoKuna mambo hayana msingi kabisa.
Mnataka kupambana na mambo ya gizani?
Nani anaweza kumzuia asfrwe? Mknd si wake? Sasa shida iko wapi?
Tungeanza kutokomeza Rushwa, katiba mpya, bima ya afya huduma bora kabisa za kiafya, maji salama, umeme, miundo mbinu, kilimo.
Wanawake ni watamu mno mpaka watu wanabaka halafu jitu limeamua kufirwa mnataka kupambana nalo.
Acheni upuuzi. Acha afrweee
Kwa hio wewe unawapa support kabisa na ungekua na uwezo ungewapa na vitendea kazi si ndio? Ilimradi tu wewe siasa zako zikunyookee saafi kabisaKuna mambo hayana msingi kabisa.
Mnataka kupambana na mambo ya gizani?
Nani anaweza kumzuia asfrwe? Mknd si wake? Sasa shida iko wapi?
Tungeanza kutokomeza Rushwa, katiba mpya, bima ya afya huduma bora kabisa za kiafya, maji salama, umeme, miundo mbinu, kilimo.
Wanawake ni watamu mno mpaka watu wanabaka halafu jitu limeamua kufirwa mnataka kupambana nalo.
Acheni upuuzi. Acha afrweee
Anauza mawigiAnko T ametenda kosa gani kisheria? Labda tuanzia hapo...la sivyo Gwajima anapoteza muda wake
Ni ngumu kuthibitisha mahakamaniAnko T ametenda kosa gani kisheria? Labda tuanzia hapo...la sivyo Gwajima anapoteza muda wake
Hata mimi nauza mawigi njooni mnikamateAnauza mawigi
Wewe sasa si Ke sio Me, au na wewe ndio vile ladies & gentlemen?Hata mimi nauza mawigi njooni mnikamate
Wewe unaweza kuzuia mambo ya gizani? Wako wengine hawana mionekano ya kishoga na wanafrwa.Kwa hio wewe unawapa support kabisa na ungekua na uwezo ungewapa na vitendea kazi si ndio? Ilimradi tu wewe siasa zako zikunyookee saafi kabisa
Mtu mpaka anaamua kujianika kuwa analiwa Tope Kuna confidence nzito zaidi ya hiyo !? 😁😁😁Ila hao majamaa , kama umechunguza huwa wanajiamini sana
Kmmk 🤣Huyu ni mfuga majini mwenzako.
Anaitwa TWALIB
Sheria ya kumpima mtu ipoje? Yaani unaamua tu kumkamata mtu na kumpima au inakuaje?Ni ngumu kuthibitisha mahakamani
Maana kama hujamfir. wewe utasemaje ni shoga?
Hapa sheria iwape nguvu mamlaka kupima na kuhakika kama anajihusisha na mapenzi ya jinsia 1
Nimesoma comment nimecheka kuna id ya shoga hapa nayo inakemea ushoga nyie mi sitaki..!! 😹😹
Ila member wa JF hawaishiwi vibweka, siku ids zikiwekwa kweupe kuna watu sijui watajificha wapi?
JF kweli kichaka 🤣😹😹😹
Sawa njoo nakusubiri! Au ngoja nipike kabisa nikishiba tuanze leagueSubiri kwanza, unaposema soko lenu unamaanisha nini? Sikuelewi unajua halafu unaponi-attack angalia unavyokuja maana nikija km unavyokuja hapatatosha hapa utatafuta kwa kukimbilia
Walipaswa kuwa wana washughulikia kimya kimya mtu anaitwa anafinywa vizuri sana then ghafla mnashangaa hapost ujinga Ujinga wakeSheria ya kumpima mtu ipoje? Yaani unaamua tu kumkamata mtu na kumpima au inakuaje?
Kumbuka kuna kipindi flani nyuma kidogo kuna watu walipelekwa muhimbili.kupimwa. lakini majibu hayakutoka..mwingine kule zenji video zilivuja anapakuliwa kesi ikaenda mahakamani...akapimwa akakutwa ni kweli tobo lipo wazi. Lakini mwisho.wa siku kesi ilifutwa na sasa yupo mtaani.
Haya mambo ya ushoga kama serikali imeshindwa kutokomeza ipasavyo ni bora waachane nayo. Hawajawahi kuonyesha mfano kwamba wanaweza. Ni porojo tu miaka yote.
Tangu lini mwanaume.kuuza mawigi ikawa kosa? Maduka mengi wauza mawigi ni wanaume.Wewe sasa si Ke sio Me, au na wewe ndio vile ladies & gentlemen?
Unaona nimeongea siasa???Kwa hio wewe unawapa support kabisa na ungekua na uwezo ungewapa na vitendea kazi si ndio? Ilimradi tu wewe siasa zako zikunyookee saafi kabisa
😁Nachompendea anko T ni mwanachama kindaki ndaki wa UTU NA KAZI chama kinanuka damu na mavi 🤣🤣Sijui watafyatuana vip....