Confession
JF-Expert Member
- Mar 30, 2019
- 817
- 2,628
Global agenda = global population controlJaribu kufunguka vizuri mkuu, hapo kwenye Global agenda ungepaelezea vizuri poor countries zifanyeje zijitegemee la sivyo zinaendelea kufanyajwe?
Watambananisha humo humo mradi wawafurahishe watu fulani fulani ambao wanataka kuona anapewa adhabuKuvaa mavazi ya kike yanahitaji kibali? Hebu nifungueni macho tafadhali...
Ni kosa kisheria mwanaume kuvaa gauni hadharani au kujinadibisha na mwanamke na hivo hivo kinyume chake Kwa mwanamke.Kuvaa mavazi ya kike yanahitaji kibali? Hebu nifungueni macho tafadhali...
Basi ulipofafanua hapo tu nimeshakuelewa mkuu.Global agenda = global population control
And sometimes I think inahusiana na New World Order kwa sababu thinking deeply there is no clear explanation over why western countries invest a lot in homosex agenda
Nchi maskini Of course zinabanwa kwa mikataba ya human rights protection
The right question is kwa nini situation inatokea?Good question kwa hio hapo wa kulaumiwa ni yupi?
Bahati mbaya jamii inawaadhibu walawitiwa while in most instances wanaolawiti ni wabaya zaidi yet wapo safe sideHapa nakubaliana na wewe, wa kudili nao ni mabasha.. hawa kwa namna moja ama nyingine ndio washawishi wakubwa wa ushoga.
Na wao ndio sababu kubwa ya kuwaingiza vijana kwenye ushoga.
Kijana anaweza kuwa ashawishiki na vitendo vya ushoga. Ila mabasha ndio washawishi wakubwa
😁😁😁😁Najua ni jambo la aibu kwenye familia yangu, kazi yangu ni kumlea kijana wangu kwenye maadili mema, na mimi kama mzazi ni moja wa role model wake. Je nitamzuia vipi asiwe shoga kama kaamua kufata njia hio?
Cha msingi tu nikijua ameanza ushoga. Mimi na yeye undugu ndio umeishia hapo. Na sitanii namaanisha. Akaolewe kabisaa
Mtoto wako kama ni shoga atakuwa shoga tu bila hata kumuona huyo ankoT,Ushoga ni ngumu kuthibitisha mahakamani
Ila anachofanya yule jamaa ni hatari Kwa watoto
Mtoto anakuwa anaona ni sawa mtu kuwa shoga
Kamjibu vipi !?Hapo chacha
Another thing
Why Anko T amemjibu waziri indirectly like a nobody tena very fast
When James delicious aliwekwa behind bars na kutishia kutaja the guys anadate nao. Why aliachiwa very fast
Tatizo most of you guys think wanaowala these gays with spotlight ni chokambaya heheee only God knows
Cha kushangaza kuna wengine wameanza ushoga ukubwani. Unasikia mtu ana mke na watoto. Ghafla kawa shogaMtoto wako kama ni shoga atakuwa shoga tu bila hata kumuona huyo ankoT,
Kwani huyo ankoT na mashoga wengine wao ealikuwa wakimuona nani shoga ndio ikawafanya nao kuwa mashoga??
Hakuna vita yoyote, ni nyie tu mko obsessed na ushoga kwa sababu ya dini zenu, media na kushindwa kufuatilia mambo muhimu zaidi kuliko jinsi gani watu wazima wenye akili zao wanavyofanya ngono.Hii vita ni kali sana.. Na kusema apbane yeye sio kweli. Kwanza waziri hana chakupoteza kwa watoto wenu. Hii vita irejeshwe kwenye familia na serikali iwe inatoa muongozo tu.
Mtoto hapati uangalizi na watu wanaochangua kuharibu hawa watoto, jamii inakaa nao na kuwafumbia macho, unafikiri waziri ataweza?
Inawezekana vipi jamii iache hii hali iendelee huku utotoni, halafu waziri aje apambanie ukubwani?
Kila mzazi achunge mwanae. Halafu hawa waharibifu wapigwe pini.
Sema hii vita ngumu sana
There are some casesMtoto wako kama ni shoga atakuwa shoga tu bila hata kumuona huyo ankoT,
Kwani huyo ankoT na mashoga wengine wao ealikuwa wakimuona nani shoga ndio ikawafanya nao kuwa mashoga??
Hii sio vita ya mtu mmoja,na pia inataka mkakati maalumu uliopangwa vizuri,sio kelele za kijingaNampongeza sana Waziri Dr Dorothy Gwajima ( wazara yake siijui vyema)
Kwa kuthubutu kupinga uchafu wa ushoga ambao ni kinyume cha maadili ya Mtanzania na mtu mweusi Kwa ujumla
Ushoga na usagaji ni kinyume cha nature yaani maumbile
Vita dhidi ya agenda ya ushoga ni ngumu mno
Nadhani hapa Gwajima acheze smart mno hii inaweza mpoteza Kisiasa au akaupa meno ushoga bila kujua
1. Sina uhakika kama ana meno kisheria kutuhumu ushoga
2. Sina uhakika kama anaweza kuthibitisha bila shaka kama huyo mhuni Anko T ni shoga
3. Sina uhakika kama sheria yetu inatambua mavazi ya kike na ya kiume
Na kuwa kama ni kosa kuwa mwanaume hapaswi kuvaa mavazi ya kike na mwanamke hapaswi kuvaa mavazi ya kiume.
Na mavazi ya kiume na ya kike ni yapi hasa kisheria
4. Kuhusu Anko T kuvaa mawigi.
Je ni kosa kisheria
5. Nadhani sheria yetu haikujiandaa vyema ili ku deal ni hatari ya ushoga na usagaji
Nadhani Gwajima apeleke muswada bungeni ili apate mamlaka kisheria ili tuanze kuzuia hili janga
View attachment 3560593
Anaepaswa kuchukuliwa hatua si wote km wakibainika kufanya hivyo, unakumbuka ile kesi ya kule Mtwara kulikua na Mwalimu wa kiume alikua anamlazimisha Mwanafunzi wake wa kiume amuingilie kwa hio inamaana hapo huyo Mwanafunzi ana makosa kwa kulazimishwa kufanya hicho kitendo? Maana aliekutwa na hatia na kufungwa ni huyo Mwalimu ila Mwanafunzi hadi leo yupo uraiani na Mwalimu alikiri kweli alitaka Mwanafunzi amuingilie kwa hio Mwalimu anatumikia kifungoBahati mbaya jamii inawaadhibu walawitiwa while in most instances wanaolawiti ni wabaya zaidi yet wapo safe side
Gwajima is literaly doing the same, dealing with the impact and not the source. Nataka nione itaishia wapi
Anaepaswa kuchukuliwa hatua si wote km wakibainika kufanya hivyo, unakumbuka ile kesi ya kule Mtwara kulikua na Mwalimu wa kiume alikua anamlazimisha Mwanafunzi wake wa kiume amuingilie kwa hio inamaana hapo huyo Mwanafunzi ana makosa kwa kulazimishwa kufanya hicho kitendo? Maana aliekutwa na hatia na kufungwa ni huyo Mwalimu ila Mwanafunzi hadi leo yupo uraiani na Mwalimu alikiri kweli alitaka Mwanafunzi amuingilie kwa hio Mwalimu anatumikia kifungo
I'm sorry to dissapoint youCha kushangaza kuna wengine wameanza ushoga ukubwani. Unasikia mtu ana mke na watoto. Ghafla kawa shoga
Hawezi shindana na waziri aache ufalaNenda insta
Though kiufupi "hatoacha " Hahaaa
Hakuna huo ushahidi wa kulawitiwa kunamgeuza mtu kuwa shoga, ni story za wajinga tu mtaani. Waulizeni hao mnaowajua na mnaowesama ni mashoga kama walilawitiwa, au walitoka boarding schools au ni kwa sababu ya pesa.There are some cases
Young boys wanalawitiwa kinguvu then wanakubali such life to adulthood
Same sex boarding schools
Tamaa ya good life without working or getting some opportunities including jobs "yes jobs"
Porn
Na wengi pia ni hormones tu like from the moment they were born. They look and behave like girls na wengine wakikua wanapata feminine features