Swali zuri sana. Matangazo yote yanayoenda kwenye umma husajiliwa na kupewa kibali kupitia mwongozo kwa mujibu wa Sheria. Pia branding zote siyo hiyo yake tu. Sasa kamuulize kama amesajili tafadhali.Nimesoma lkn sijaelewa. Aje hapa atueleze matangazo ya Anko T yamevunja kosa gani kisheria. Dkt. Gwajima D
Kwahiyo kosa hakusajili tangazo na sio yeye kutuhumiwa ushoga?Swali zuri sana. Matangazo yote yanayoenda kwenye umma husajiliwa na kupewa kibali kupitia mwongozo kwa mujibu wa Sheria. Pia branding zote siyo hiyo yake tu. Sasa kamuulize kama amesajili tafadhali.
Kila kosa linajengwa kwa msingi wake. Tuhuma inabidi uchambue moja baada ya ingine na katika uchambuzi huo unakuta linaibuka kingine lenye kuchangia tuhuma hivyo inabidi ulibebe Hilo ulimalize uje hatua ingine complicated zaidi. Maana kwa Sheria ya kuthibitisha fulani shoga, Kuna kipande cha ushahidi kinahitajika (kasome), ila kuthibitisha kuwa shughuli za huyu zinachangia hili, huenda ni rahisi zaidi. Hivyo, twende na moja moja vitani huwa hakuna haraka Bali Kuna target sahihi. AhsanteKwahiyo kosa hakusajili tangazo na sio yeye kutuhumiwa ushoga?
Kama akisajili ataondolewa tuhuma za ushoga na kuendelea na biashara zake?
Ahsante sana. Mimi naenda kwa tahadhari kubwa katika kukabiliana na hoja mbalimbali ambazo jamii mnaibua. Ndiyo maana nikaamua niongozwe na Kamati maalumu kuhusu hoja Gani hatua Gani ifanyike. Kuthibitisha tuhuma za ushoga ni suala complicated kiushahidi ila penye kesi, upelelezi pia huwa ni utafiti, inaweza kuwezekana tu. Aidha, kuthibitisha kuwa huyu anachofanya ni kibiashara ni kinyume na Sheria kwani inachangia hivi huenda ni rahisi sana. Ikumbukwe, hata kama unafanya biashara na Kodi unalipa, iwapo huna vibali stahiki, lazima utajikuta unasababisha majanga ambayo, haijalishi umaarufu wako lazima uulizwe na uwajibike. Mniwie RADHI nilikuwa Safarini nikachelewa kuona huu mjadala mzuri kwa wakati. ๐๐ฝNampongeza sana Waziri Dr Dorothy Gwajima ( wazara yake siijui vyema)
Kwa kuthubutu kupinga uchafu wa ushoga ambao ni kinyume cha maadili ya Mtanzania na mtu mweusi Kwa ujumla
Ushoga na usagaji ni kinyume cha nature yaani maumbile
Vita dhidi ya agenda ya ushoga ni ngumu mno
Nadhani hapa Gwajima acheze smart mno hii inaweza mpoteza Kisiasa au akaupa meno ushoga bila kujua
1. Sina uhakika kama ana meno kisheria kutuhumu ushoga
2. Sina uhakika kama anaweza kuthibitisha bila shaka kama huyo mhuni Anko T ni shoga
3. Sina uhakika kama sheria yetu inatambua mavazi ya kike na ya kiume
Na kuwa kama ni kosa kuwa mwanaume hapaswi kuvaa mavazi ya kike na mwanamke hapaswi kuvaa mavazi ya kiume.
Na mavazi ya kiume na ya kike ni yapi hasa kisheria
4. Kuhusu Anko T kuvaa mawigi.
Je ni kosa kisheria
5. Nadhani sheria yetu haikujiandaa vyema ili ku deal ni hatari ya ushoga na usagaji
Nadhani Gwajima apeleke muswada bungeni ili apate mamlaka kisheria ili tuanze kuzuia hili janga
View attachment 3560593
Kwa maelezo yako mnatafuta target ya kumkamata lakini mnaanzia kwenye vibali vya tangazo lake..!! OkayKila kosa linajengwa kwa msingi wake. Tuhuma inabidi uchambue moja baada ya ingine na katika uchambuzi huo unakuta linaibuka kingine lenye kuchangia tuhuma hivyo inabidi ulibebe Hilo ulimalize uje hatua ingine complicated zaidi. Maana kwa Sheria ya kuthibitisha fulani shoga, Kuna kipande cha ushahidi kinahitajika (kasome), ila kuthibitisha kuwa shughuli za huyu zinachangia hili, huenda ni rahisi zaidi. Hivyo, twende na moja moja vitani huwa hakuna haraka Bali Kuna target sahihi. Ahsante
Ahsante sana, Mimi nimeanzisha safari, huenda nisifike mwisho akaja kufika mwingine maana, safari ni ndefu ila, nitakuwa nimetoa mchango wangu kwa wakati wangu. Ikumbukwe, safari si yangu peke yangu ni ya jamii na taifa kwa ujumla. Uamuzi ni wetu kama tusafiri au tupakue mizigo tushushe breki tulale maisha yasonge. Ni sisi tu kwa pamoja na umojaMama anajitahidi sana, hataka kama hatowamaliza lakini watakuwa na adabu kidogo! Wameitawala mitandao na hawaogopi kujiachia hadharani, waendelee tu kujificha tuheshimiane kidogo!https://www.jamiiforums.com/forums/-/create-thread
Pamoja na Sheria kuhitaji marekebisho bado jamii yetu inazo nguvu kubwa za kudhibiti hii shida kwa kutowapa ushirikiano bila hata kuvunja Sheria hata moja ( Social sanctions are reactions from societyโranging from praise to punishmentโthat enforce conformity to social norms, values, and rules. They act as mechanisms of social control, encouraging desired behavior (positive sanctions) or discouraging deviant behavior (negative sanctions) through formal penalties (fines) or informal reactions (ridicule).Sheria zetu Bado ni butu kwakweli kwenye kupambana na ushoga
Hizi ndiyo ajenda mdogo mdogo zinapendwa Sasa na jamii yetu mara mrembo, mzee, mara kapendaza, kachukiza... Nk unadhani yanatija. TUBADILIKEMbona kazee hako, usichanganywe na filter sura imeanza kuleta kona kabisa
Hakika, ndiyo maana pamoja na umuhimu wa kuboreshwa Sheria iwe na vipengele vya tafsiri ya shoga ni nani na ana matendo Gani, bado tunahitaji kufanya triangulation ya equation ili kuwatia hatiani mapromota wa ushoga ambao kimsingi, huwa wanavunja Sheria zingine mbalimbali ili kufanya hizo intelligence strategic promotions. Hapo tutakuwa tumewapunguza nguvu ya kusambaza uovu huo wakati Sheria zikifanyiwa kazi au ushahidi mwingine ukiviziwa. Endeleeni kutoa maoni yenu kwani, yanatujenga pia kifikra kwenye ulingo wa mapambano ya kimkakati na kiharakati pia. Silaha zote zitumikeKuthibitisha kama mtu fulani ni shoga mahakamani ndo kazi ngumu
Wewe inaweza kutoka uchi kwenda kutangaza watu wavae nguzo? Kwa Sheria ipi iliyosajili Hilo tangazo lako? Ieleweke chochote unachoenda kulisha umma huwa kinasheria, kama unadhani umeizingatia, Fanya ila kama huku zingatia, tuna wewe.Dah yawezekana ana tangaza tu biashara zake ๐ค ili kupata attention akaona ajiweke hivyo
Huyu atatupatia vibali vys matangazo yake. Biashara yake ya urembo nzuri sana, naamini kasajili na pia kasajili hiyo brand promotion yake. Kama ni hivyo basi Hana hoja ya kujibu, kama Hana, nadhani ana hoja ya kujibu.Huyo Anko T anasapotiwa na Taasisi za Mashoga wala hatangazi biashara yake wala nini ,kama alikuwa anataka kutangaza angetumia Warembo/Wanawake kumtangazia ,sasa yeye anavyofanya anavyoavaa ni wazi anapromote ushoga ,watoto wataona ushoga unalipa hivyo atakuwa kama role model wao ,huyo Anko T kama anataka Ushoga aende kwa Trump au UK akakae huko ila kwa TZ maadili hayaruhusu ,wapite naye kama UPEPO au Aende Kupigwa MITI huko USA au UK.
Uko sahihi, tushirikianeVita dhidi ya mashoga inataka kujitoa muhanga kwaajili ya vizaz vijavyo kama sio hivyo!!! Tutashuhudia mengi yaliyojificha
Tutapata profile ya usajili wa brand yake maana, atatuletea vielelezo kwenye Kamati. Binafsi nimeuliza mamlaka husika nikakosa. Ila kwa maslahi ya umma, tunaenda mdogo mdogo ili sindano ya elimu iwafikie wengi, maana nchi hii ukienda haraka na jambo jema wengi wasielewe, wanakugeuzia kibao. Mara hii wote tutaimba wimbo mmoja.Basi utakiwa humjui vzr!
Na hata kama kutangaza biashara ndio uwe wa kike? Shughuli anazoenda na mastar yupo Kike kike, ana mabifu mazito na wenzie kina gigy wanatukananaga kwneye live ana mdomo sana hata hilo neno sasampa yeye ndiye kalianzisha na maneno mengi tu ya ajabu ajabu!
Ni kweli ๐คWewe inaweza kutoka uchi kwenda kutangaza watu wavae nguzo? Kwa Sheria ipi iliyosajili Hilo tangazo lako? Ieleweke chochote unachoenda kulisha umma huwa kinasheria, kama unadhani umeizingatia, Fanya ila kama huku zingatia, tuna wewe.
Mh Gwajima hata kama amesajili hiyo Biashara yake au Brand Yake ni lazima afuate maadili ya kitanzania ,pigo anazopiga huyo Anko T ni wazi "Soda imeisha gesi" na wala hafanyi kwa kutangaza biashara/brand yake bali ni kupigia promo "UNGAPULILA" ....Huyo ni wa KUPITA NAYE KAMA UPEPO....Mpelekni SEGADANSI/LUPANGO akajifunze kuishi kwa maadili maana gerezani ni correctional facilities.(Chuo cha mafunzo).Huyu atatupatia vibali vys matangazo yake. Biashara yake ya urembo nzuri sana, naamini kasajili na pia kasajili hiyo brand promotion yake. Kama ni hivyo basi Hana hoja ya kujibu, kama Hana, nadhani ana hoja ya kujibu.
Yaani hakuna usajili unaoruhusu hizo staili zake. Siyo kwamba angekuwa amesajili Bali, angekuwa amesajili staili ya matangazo ingekidhi vigezo. Narudia, ana biashara nzuri inayotangazwa kinyume na Sheria ya matangazoMh Gwajima hata kama amesajili hiyo Biashara yake au Brand Yake ni lazima afuate maadili ya kitanzania ,pigo anazopiga huyo Anko T ni wazi "Soda imeisha gesi" na wala hafanyi kwa kutangaza biashara/brand yake bali ni kupigia promo "UNGAPULILA" ....Huyo ni wa KUPITA NAYE KAMA UPEPO....Mpelekni SEGADANSI/LUPANGO akajifunze kuishi kwa maadili maana gerezani ni correctional facilities.(Chuo cha mafunzo).
Binafsi nakupongeza na kukutia moyo kuwa pambana tulinde maadili yetu Kwa ajili ya vizazi vyetuAhsante sana. Mimi naenda kwa tahadhari kubwa katika kukabiliana na hoja mbalimbali ambazo jamii mnaibua. Ndiyo maana nikaamua niongozwe na Kamati maalumu kuhusu hoja Gani hatua Gani ifanyike. Kuthibitisha tuhuma za ushoga ni suala complicated kiushahidi ila penye kesi, upelelezi pia huwa ni utafiti, inaweza kuwezekana tu. Aidha, kuthibitisha kuwa huyu anachofanya ni kibiashara ni kinyume na Sheria kwani inachangia hivi huenda ni rahisi sana. Ikumbukwe, hata kama unafanya biashara na Kodi unalipa, iwapo huna vibali stahiki, lazima utajikuta unasababisha majanga ambayo, haijalishi umaarufu wako lazima uulizwe na uwajibike. Mniwie RADHI nilikuwa Safarini nikachelewa kuona huu mjadala mzuri kwa wakati. ๐๐ฝ