Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Kwanza ahsante kwa kunitia moyo.

Pili, Jamani, Serikali Iko serious wewe huoni mimi pia ni Waziri napambana kwenye eneo langu? Au unadhani napambana kama Dorothy Gwajima?

Kuhusu Sheria, nimeshasema tutaboresha siyo kuandika tu bali, kuelimisha jamii pia maana naona zipo kibao zimeandikwa ila watu hawajui na wakikosea ukasema uchukue hatua wanaanza ohhhh msameheni hakuwa anajua. Sasa wakati tunaenda kuboreshwa, Mimi natangulia na Elimu kuboresha fikra za jamii wazijue hizi zilizopo. Hatupambani tu na ushoga Bali na tabia zetu zinazochochea ushoga. Hivi unaanzaje kufanya mambo ambayo Wala siyo Sanaa kwamba tunaelimisha jamii ila unajifanyia fanyia tu kisa biashara hata leseni ya matangazo hayo huna halafu unajivisha uhusika (impersonation) hata kwenye maisha yako halisi. Wewe hapo unaonaje?
 
Suala la elimu ni muhimu
Ushoga unakuwa kansa Kwa Sasa.
Me Bado nasema serikali haijawa na dhamira ya dhati kudhibiti huu uchafu.
Hivi anko t angekuwa anamtukana Rais hadharani au anagusa maslahi ya madaraka ya viongozi hadi Leo angekuwa mtaani,?

laZima hao wahuni wakomeshwe
Wapo mitandaoni, ndo washereheshaji huko uswazi, kwenye mabaya n. K
 
Mimi naamini tumeanza vema, tutazame mbele, kwa mjadala huu hata wao wanasoma wanajua kabisa wamekosea mahali, huenda kuthibitisha kuwa wao ni mashoga ushahidi ukawa mtihani kwa mujibu wa Sheria zetu, hii inatufunza kuwa tukaziboreshe zizingatie siyo kitendo tu cha kufanya hayo mapenzi ya jinsia moja bali na viashiria husika mbalimbali....... Viandikwe.

Ila kuthibitisha kuwa, wanakosea Sheria zingine kwa kufanya mambo yanayochochea tabia mbaya, hili liko wazi kabisaa. Unataka biashara sajili, unataka kuigiza kajisajili, unataka branding ya kazi yako kwa matangazo kajisajili. Ukijisajili kihalali, hutafanya yanayolalamikiwa kuchangia tabia mbaya Bali, utafanya vema tu kazi yako. Shida wengine wanakwepa kusajili ili wajifanyie fanyie LABDA wapenyeze na Yao. Nasema HAPANA.
 
Uko sahihi mkuu
 
Yaani hakuna usajili unaoruhusu hizo staili zake. Siyo kwamba angekuwa amesajili Bali, angekuwa amesajili staili ya matangazo ingekidhi vigezo. Narudia, ana biashara nzuri inayotangazwa kinyume na Sheria ya matangazo
Hapo sawa ,huyo anahitaji kuwekwa sawa ,kuwekwa ndani kwa kukiuka maadili...Serikali ichukue hatua kali kwa watu kama hawa wanatuharibia jamii ,hao wazungu ambao wanatupa misaada ili tusupport ushoga tuachane nao ,fedha gani hasa wanazotupa ambazo hatuwezi kuzipata hapa nchini kwa kukusanya kodi? Yaani turuhusu ushoga kwa ajili ya kujengewa Vyoo kwa Msaada wa Marekani? Hapan tuichuke hatua kuwaadabisha hao Kina Anko T ,Kisura wa Mbeya , Delicious na wanaofanana na hao maana wapo wengi sana kwasasa.
 
Askari wanalalamikiwa kulawiti maabusu kimya,joti kimya, delicious kimya arijaribu makonda akashindwa Tena waziri akatangazia Dunia sio msimamo wa serikali sawa huyu atakuwa anajifurahisha tu.
 
Askari wanalalamikiwa kulawiti maabusu kimya,joti kimya, delicious kimya arijaribu makonda akashindwa Tena waziri akatangazia Dunia sio msimamo wa serikali sawa huyu atakuwa anajifurahisha tu.
Ndiyo maana namwambia Mh Dkt. Gwajima D kwamba tusiendekeze fedha za wazungu huku tukiendelea kuharibu jamiii ,fedha zenyewe za watu wa marekani miradi ya kujenga vyoo sisi wenyewe tunaweza.
 
Hao ndiyo role model wa vijana/watoto zenu huko

Ova
 
Ndiyo maana namwambia Mh Dkt. Gwajima D kwamba tusiendekeze fedha za wazungu huku tukiendelea kuharibu jamiii ,fedha zenyewe za watu wa marekani miradi ya kujenga vyoo sisi wenyewe tunaweza.
Tunawasingizia tu wazungu mkuu .... hii life style sana sana hawa wasani,wanawake ndiyo wako nao karibu
Kumbuka kuna yule jamaa anachamba dem anasubiri alafu ukimuangalia ndivyo sivyo na alipewa heshima ya kwenda mpk mjengoni dom kama mgeni rasmi πŸ˜„
Media pia zimewapa airtime ya kutosha

Ova
 
Nenda zanzibar kwa wafuga majini wenzako ukaone walivyolegea kama uji wa mtoto
 
Bora useme wewe uduguu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uduguu mie sitaki ujue, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maliza wewee nyanyaa, mie kitunguu natoa machozi.
Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uduguu mwenyewee, kanda ya juu kusini hatokagi falla hata siku 1.
πŸ”₯πŸ”₯
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ akijibu nitag.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…