Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Hatujasema tunataka kulimwagia maji mkuu ila hizo ni nadharia za nini kitatokea endapo tukilimwagia maji.Tujifunze kwa kina kwanza asili ya jua ni nini kabla ya kulimwagia maji. Unaweza ukaharibu solar system na kusababisha maafa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu tunapokuwa hatuna hela tunawaza vitu vya ajabu!eti mtu unawaza,hivi ndio siku imetokea umekaa ndani mara paa gunia la hela limedondoka mbele yangu😀...Hio bangi uliyovuta leoooo.. sio mchezo. Hongera 😂😂😂
Ile tuu kulikaribia mnaungua wote na kuwa mkaa.NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI[emoji782]
Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;
Kitakachotokea ni kwamba jua [emoji3508] halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.
Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.
Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.
Kuna HT live Kv 30 inakatiza hapa jirani ninapoishi.Hebu tulikamilishe kwanza hili la nauli aisee. Tiketi tunakatia wapi?
tupo wengiSijawahi Kutana na Platinum member mwenye kuipenda CCM.
Je, kuna nini hapa kati? Huenda kuna somo pana.
Daaah [emoji23]Inawezekana zamani jua halikuwa kubwa kiasi hiki pengine liliongezeka ukubwa kwa hii michezo ya kulimwagia maji
Ile tuu kulikaribia mnaungua wote na kuwa mkaa.
Wee fikiria liko mbali huko lakini watu tunaungua hadi vipara vinavuka moshi na udongo unanukia kuungua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jua halipimiki wa kusogeleka .NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI[emoji782]
Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;
Kitakachotokea ni kwamba jua [emoji3508] halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.
Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.
Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Hio bangi uliyovuta leoooo.. sio mchezo. Hongera [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Natamani ulisome jua kwanza
Ukishalifahamu ndipo sasa ujue maji huchemka katika digrii ngapi.
Ukimaliza, njoo uchukue nauli ukalimwagie jua hayo maji
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimependa hapo kwenye ndoo au Diaba 🤣🤣🤣🤣🤣jamaniiHio bangi uliyovuta leoooo.. sio mchezo. Hongera 😂😂😂