Je, endapo Jua likimwagiwa Maji nini kitatokea?

NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI[emoji782]

Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;

Kitakachotokea ni kwamba jua [emoji3508] halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.

Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.

Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.
Ile tuu kulikaribia mnaungua wote na kuwa mkaa.
Wee fikiria liko mbali huko lakini watu tunaungua hadi vipara vinavuka moshi na udongo unanukia kuungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Litapunguza makali na kulia chaaaaaaà! na mvuke kidogo baada ya hapo utaisoma namba.
 
NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI[emoji782]

Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;

Kitakachotokea ni kwamba jua [emoji3508] halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.

Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.

Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.
Jua halipimiki wa kusogeleka .

Huwezi kuthubutu utayeyuka kabla ya kulifikia
 
Back
Top Bottom