Je, endapo Jua likimwagiwa Maji nini kitatokea?

Nadhani tutakufa wote... Sababu jua ndio chanzo cha maisha...
 
Hizi ni akili sawa sawa na mtu anaweza kwa nini Tanesco hawakati umeme kwenye magari?
 
Stress za mapenzi hzi
 
Mada zingine ni za ajabu sana.Ila wajanja na wenye akili wanajua what it is all about:distortion from main issues.
 
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi uliyo jitoshereza kwa udogo wake huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…