NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Ngoja niache kazi.Mbinguni wataenda watu 177 elfu tu, kwenda kuhudumu.
Wengine watabaki paradiso hapa hapa duniani.
So technically hapa tunaishi paradiso, ila ukitaka kuuona utamu wa paradiso enjoy mwenyewe usisubiri time.
Ishara inayojulisha kuwa umechaguliwa na Mungu nikufanya matendo mema lakini kama ni kinyume chake ujue hujachaguliwa.mfano ambao hawajachaguliwa na mungu ni wanasiasa wanaosema uongo mbele ya umma.Niki Rejea katika mstari wa biblia.
Unasema waliopewa mwaliko ni wengi lakini waliochaguliwa ni wachache(matayo)
Hata kuna msanii aliyeimba wimbo wa sisi ni wale tuliochaguliwa na mungu
Swali langu ni hili
Utajuaje kama wewe ni kati ya wale waliochaguliwa na Mungu?
ishara zake ni zipi?
Tufunguane macho
Hapo tutaangalia ni kipengele gani hakikuzingatiwa na hiko kipengele kinatoa muongozo ipi endapo kikiwa hakijazingatiwaπππ.Kwa mfano labda visipo zingatiwa kwa bahati mbaya itakuwa je π€£π€£π
Sasa mawazo ya kunyonyana umeyaleta wewe, mimi nikikunukuu tu yanakuwa mawazo yangu tayari?πππππunaona mawazo yako ulivyoyapeleka mbali ndicho ulichokuwa ukikilenga kwenye zile tafsiri zako
Unaninukuu tofauti kwa lengo lakoSasa mawazo ya kunyonyana umeyaleta wewe, mimi nikikunukuu tu yanakuwa mawazo yangu tayari?
Yani umefikiria kunyonyana kabisa? Wewee!
Aliyekwambia ufunge macho naniTufunguane macho
Kama hakuna madhara katika hiyo miongozo jibu ni ndioHapo tutaangalia ni kipengele gani hakikuzingatiwa na hiko kipengele kinatoa muongozo ipi endapo kikiwa hakijazingatiwaπππ.
Hii inamaanisha kwamba before course haijaanza utaratibu utatangulia(ndio vigezo na masharti yenyewe sasa hayo ya kwenye Kila kipengele).
So, you wanna be a meditator, hah.
Haya subiri miongozo sasaπKa
Kama hakuna madhara katika hiyo miongozo jibu ni ndio
Basi mngoje huyohuyo ndiye atakayekufungua machoMuumba wa mbingu na nchi
Kunyonyana nguvu za kiume, za kike au zote? πππUnaninukuu tofauti kwa lengo lako
Nimesema kunyonyana nguvu
Ila kwa kiranga chako ukaamua kufipisha ili upate pakuongelea
Unataka nikioneshe tukikutana?Ficha hicho unachojaribu kukionyesha hapa
Back to serious matters.Unawezaje kukionesha kwa mtu ambaye huwez kukutana nae baki nacho huko huko