Je, Hamas wanasaidiwa katika hii vita dhidi ya Israel?

Asante kwa uchambuzi mzuri!
 
Hamas wanatumia silaha hatar ambayo ni kujificha miongon ili ukiwaua waseme umea raia wema na dunia inaanza kukuzonga
 
Ngoja ningojee wajuvi waje watie maneno zao hem
Ila kwa hapa kwa hamas kama wataondolewa nadhani hilo eneo litakua mali ya israel sidhanii kama itakua kinyume ya hv
Hii mada imesimama sana mzee kongole ila kuna watu watakuja kuiharibu
Wanajificha miongon mwa raia na inabidi usubir wakushambulie ili uwajue
 
Halafu unaambiwa hapo hakuna hamas hata mmoja aliyeuliwa na mashoga ya Israel.Hamas kundi teule
 
Jamas wana msaada na wanasaidiwa sana kupita yeyote yule.

Wanasaidiwa na Allah.
 
Israel unayoisoma na story unazosikia ni za uongo..... tokea vitabu vya dini vitungwe na kulipa mataifa ya middle east umuhimu basi Kila Chao tunaona Cha umuhimu...

utasikia marekani inategemea Israel, mara sijui ni Wana akili saana, mara sijui taifa teule ....

ujinga tu.. kikundi kinawahangaisha... vita ni timing Haina mwenyewe
 
Kwamba na Samia ahamie dubai akawe ansimamia biashara zetu ? Hii dini ina watu wapumbav sana , hii dini wana akili za ccmu tupu
 
We mpuuz hamas hajavuja sheria za vita ? Au sheria ni kwa israel tu ?
 
Wa-Palestina hawasaidiwi na watu wowote ila yupo anaye wasaidia naye ni Mungu peke yake ndio anaye wasaidia Wa-Palestina mpaka sasa .
 
Israel kupigana kistaarabu ndani ya miezi miwili ameuwa raia elfu 18000? Wewe ukapimwe akili hauko sawa kichwani.
Akifanya kama janjaweed pale darfur 2006 atabakia mpalestina kwel ? Je kwa waasi zaid ya laki moja , hao elf 18 ni sehem gan yake ?
 
Unapenda uongo
 
Unaezaj mchuja hamas miongon mwa raia ?
Sawa,
Unamaana kuwa hakuna physical battle field kati ya pande hizi mbili?

Au Hamas wanashambulia jeshi la Israel wakiwa kwenye kundi la raia?

Hawa Hamas wanashambulia kwa kuvizia jeshi la Israel then wanarudi mafichoni?.Na kama jibu ni ndio,IDF wanakuwa usingizini hadi kukosa kumuona adui akiwa anashambulia na hatimae kurudi mafichoni bila kudhuriwa?

Naomba unitoe tongotongo mkuu.
 
Kwa hii hali tunayoinona kama Israeli ni professionals basi inabidi tukapimws akili idf ikiona hata ambulance [emoji603] nayo inapigwa boma maana wanahisi ni hamasi hii hajawahi kutokea dunia kupigana hivyo hovyo hivyo
 
Huyu jamaa zamani alikuwa ni mtu mwenye fact lakini siku hizi sijui ana tatizo gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…