Je, Hamas wanasaidiwa katika hii vita dhidi ya Israel?

Wakuu naamini muko buheri wa afya, pole kwa ambao wanapitia changamoto ya afya na Mungu awaponye.
Naombeni wanajukwaa munijibu swali langu kuhusu vita kati ya Hamas na jeshi la Serikali ya Israel. Nitashukuru iwapo jibu/majibu yataepuka yale maneno na misamiati ya "Wazee wa Makobazi", "migalatia" na mengine yenye kuashiria kuegemea upande flani ili kuweza kujifunza.

Japo nina imani yangu, lakini nauliza hili nikiwa neutral na dhamira kuu ni kupata maarifa kwa watu wenye utaalamu wa maswala ya kivita pamoja na siasa za kimataifa kwa hiyo naomba pia wenye kujibu wawe neutral.

Niende kwenye mada kama ilivyo kwenye kichwa cha habari hapo juu.
Hamas kwa uchache wao (kwa kuzingatia eneo la Kijiographia) sidhani kama wangekuwa bado wanapambana na jeshi la IDF takribani kwa miezi miwili bila kupata msaada wowote wa kijeshi iwe silaha,milltary personnel au hata upelelezi dhidi ya jeshi linaloaminika kuwa bora na lenye kupata back up kutoka kwa Marekani na washirika wake (kama wapo)

Kama wanasaidiwa, swali linakuja na nani na hiyo misaada inaingiaje kwenye eneo dogo na ambalo kwa kiasi kikubwa limezingirwa na linashambuliwa kwa makombora mazito ya kila siku na jeshi la Israel?

Kwa kuzingatia eneo dogo la ukanda wa Gaza na kuwa Palestina ni nchi (japo haina sovereignty) ambayo almost inazungukwa kila upande na Israel, nadhani siyo rahisi kuingiza silaha kutoka nje hasa kipindi hiki cha vita bila kufahamika na jeshi la IDF(niko tayari kurekebishwa kama nitakuwa nimekosea)
Rejea hapa 👇
"With around 2 million Palestinians on approximately 365 km2 (141 sq mi) of land, Gaza has one of the world's highest population densities. The Strip contains eight refugee camps."(WIKIPEDIA)

Na kama hawana msaada (hususani wa kijeshi ndani ya eneo la kivita) nguvu hii ya kupambana hadi leo wanaitoa wapi na silaha zao mfano wa manati dhidi ya vifaru na ndege vita bora kuwahi kutokea. Au kwamba walidunduliza kwa kipindi kirefu kabla ya vita?

Mwisho kwa ajili ya kujifunza, nini hatma ya vita hii iwapo Israel itafanikiwa kuwaondosha Hamas katika ukanda wa Gaza? Je, eneo hili litakuwa mali halali ya Israel au wataachiwa Wapalestina wenyewe chini ya uangalizi wa Serikali Jerusalem?

Nawasilisha na naomba kujifunza kutoka kwenu.
Wewe Hamas ni Muslim Brotherhood; kwa itikadi yao wana wafadhili ambao wamejipenyeza ktk nchi za Magharibi na upo mkakati wao kabambe wa kutekeleza Agenda yao ulimwenguni kote. Nitakurushia hapa. Ktk agenda hiyo hiyo, wanafadhiliwa na Qatar. Iran ingawa ni Mshia, amekuwa na mapenzi na Hamas kwa vile Hamas hawapatani na Majority Sunni States na vile vile Hamas ktk 1988 charter yao wanataka kulifutilia mbali Taifa la Israel. Hivyo, Iran anamsaidia sana Hamas kwa sababu wote Wana common enemies.
Kuhusu vita kwenda muda mrefu, ngoja nikwambie kitu, kama si kuhofia kuua raia wa kawaida Israel wangeisha maliza zamani vita hiyo. Ona walichoyafanya mataifa ya kiarabu ktk Ile 6 days war!
 
Tatizo ni kujificha nyuma ya watoto na wake zao vinginevyo vita ingekuwa imeisha cku nyingi mbona hilo liko wazi mzee. Hawa Hamas wamepata mafunzo na vifaa kutoka Iran na Hezbollah na walidanganywa walianzishe ili Israel ikiingia Gaza wao Iran na Hezbollah wataingilia halafu vita itakuwa kila mahali. Sasa kilichotokea marekan kaleta meli zake za vita karibu na za nyuklia kuwaonyesha atakaengilia nae anaingia. Iran akaufyata akabaki kubweka tu. Na sababu nyingine Iran ilitaka hii vita iwe sababu ya kuzuia Israel kuanzisha uhusiano na Saudi Arabia lakin jambo moja waislamu wetu hawataki kulisema ni kuwa waarabu wasunni wanaona kama Iran ambao ni washia wanajitanua kwenye maeneo yao kiushawishi so ndio maana mambo mengi wamerudi nyuma kwenye hii vita. So vita ingekuwa Israel anakabiliana na jeshi kwa jeshi siku nyingi ishaisha. Hawa Hamas wanajificha kwenye nyumba za raia na mashule na mahospitalin ndio shida ukisema uue dunia itasimama.
 
Hamas ni "Jeshi la mtu mmoja" kinacho wasaidia ni morale ambayo ndio muhimu zaidi kwenye vita,siku zote at the end mvamizi lazima atimuliwe tu,Zionist occupation wataachia tu ardhi ya wapalestina,it is the matter of time only,zile zama za kupigwa na manati na mawe hazipo tena,

Unapomfungia mtu ndio unampa akili ya kuwaza njia mbadala,

#FREE PALESTINE.
 
KWA KIFUPI WAARABU NI MATAAHIRA HIZI HADITHI ZA WAARABU NA WAYAHUDI NIMEANZA KUZISIKIA TOKA SIJAZALIWA....
MNAPOTEZA MDA KUWAJADILI MATAAHIRA WANAOAMINI WAKRSTO NA WAYAHUDI WANASITAHILI KUA WATUMWA NA VIJAKAZI.
QURAN 9:30
 
Wewe Hamas ni Muslim Brotherhood; kwa itikadi yao wana wafadhili ambao wamejipenyeza ktk nchi za Magharibi na upo mkakati wao kabambe wa kutekeleza Agenda yao ulimwenguni kote. Nitakurushia hapa. Ktk agenda hiyo hiyo, wanafadhiliwa na Qatar. Iran ingawa ni Mshia, amekuwa na mapenzi na Hamas kwa vile Hamas hawapatani na Majority Sunni States na vile vile Hamas ktk 1988 charter yao wanataka kulifutilia mbali Taifa la Israel. Hivyo, Iran anamsaidia sana Hamas kwa sababu wote Wana common enemies.
Kuhusu vita kwenda muda mrefu, ngoja nikwambie kitu, kama si kuhofia kuua raia wa kawaida Israel wangeisha maliza zamani vita hiyo. Ona walichoyafanya mataifa ya kiarabu ktk Ile 6 days war!
Ile [emoji642] days war kama mnavyotudanganya ilikua ni story tu yakutunga
Israhell haijawahi kuogopa kuua raia imeripua kambi za wakimbizi ikaja ikaripua shule tena zilizochini ya UN ikaja ikaripua shule tena zilizochini ya UN pia haikutosheka ikaja ikaripua makanisa ikaja ikaripua misikiti
Israhell imezuia magari ya vyakula kuingia ghaza hawa wanaogopa kuua raia gani mnao wasema nyie
Israhell nikwamba haiwezi kutoboa kwa kuipoteza hamas hata kama itapewa miaka mia nane
 
  • Thanks
Reactions: ITR
KWA KIFUPI WAARABU NI MATAAHIRA HIZI HADITHI ZA WAARABU NA WAYAHUDI NIMEANZA KUZISIKIA TOKA SIJAZALIWA....
MNAPOTEZA MDA KUWAJADILI MATAAHIRA WANAOAMINI WAKRSTO NA WAYAHUDI WANASITAHILI KUA WATUMWA NA VIJAKAZI.
QURAN 9:30
Ulichopost kinaonyesha ww ni tahira grade A
 
Warabu wote wana msaidia Israel isipo kuwa Yemen, Oman, Algeria, Syria peke ndio Hawamsaidi Israel.

Hamasi hasaidiwi na mtu wanajitegemea, Wenyewe hata Iran anamsaidia sababu Iran anawasaidia Jihad Al Islam ndio Hamasi nayeye anachukua hapo baadhi ya silaha.

Ukweli 85% silaha za Hamasi wao wanatengeneza na zingine wanzitoa Israel, wanawapa bangi wanajeshi wa Israel na unga afu wanapewa silaha 😄
vita yeyote inayopiganwa kati ya israel na hamas au hezbolah ni kwamba israel ansaidiwa na wazungu, hamas na hezbola anasaidiwa na waarabu na iran, sema sababu waarabu ni waoga wanaogopa kichapo cha myahudi, wanatoa msaada chini kwa chini, ndo maana tunel za hamas zinaanzia gaza lakini zingine zinatokea hadi egypt na zingine zinatokea hadi syriaa huko na lebanon na ndo zinapopitia silaha.
sasa hivi hakuna vita unayopigana peke yako acha ujuha
 
Wakuu naamini muko buheri wa afya, pole kwa ambao wanapitia changamoto ya afya na Mungu awaponye.
Naombeni wanajukwaa munijibu swali langu kuhusu vita kati ya Hamas na jeshi la Serikali ya Israel. Nitashukuru iwapo jibu/majibu yataepuka yale maneno na misamiati ya "Wazee wa Makobazi", "migalatia" na mengine yenye kuashiria kuegemea upande flani ili kuweza kujifunza.

Japo nina imani yangu, lakini nauliza hili nikiwa neutral na dhamira kuu ni kupata maarifa kwa watu wenye utaalamu wa maswala ya kivita pamoja na siasa za kimataifa kwa hiyo naomba pia wenye kujibu wawe neutral.

Niende kwenye mada kama ilivyo kwenye kichwa cha habari hapo juu.
Hamas kwa uchache wao (kwa kuzingatia eneo la Kijiographia) sidhani kama wangekuwa bado wanapambana na jeshi la IDF takribani kwa miezi miwili bila kupata msaada wowote wa kijeshi iwe silaha,milltary personnel au hata upelelezi dhidi ya jeshi linaloaminika kuwa bora na lenye kupata back up kutoka kwa Marekani na washirika wake (kama wapo)

Kama wanasaidiwa, swali linakuja na nani na hiyo misaada inaingiaje kwenye eneo dogo na ambalo kwa kiasi kikubwa limezingirwa na linashambuliwa kwa makombora mazito ya kila siku na jeshi la Israel?

Kwa kuzingatia eneo dogo la ukanda wa Gaza na kuwa Palestina ni nchi (japo haina sovereignty) ambayo almost inazungukwa kila upande na Israel, nadhani siyo rahisi kuingiza silaha kutoka nje hasa kipindi hiki cha vita bila kufahamika na jeshi la IDF(niko tayari kurekebishwa kama nitakuwa nimekosea)
Rejea hapa 👇
"With around 2 million Palestinians on approximately 365 km2 (141 sq mi) of land, Gaza has one of the world's highest population densities. The Strip contains eight refugee camps."(WIKIPEDIA)

Na kama hawana msaada (hususani wa kijeshi ndani ya eneo la kivita) nguvu hii ya kupambana hadi leo wanaitoa wapi na silaha zao mfano wa manati dhidi ya vifaru na ndege vita bora kuwahi kutokea. Au kwamba walidunduliza kwa kipindi kirefu kabla ya vita?

Mwisho kwa ajili ya kujifunza, nini hatma ya vita hii iwapo Israel itafanikiwa kuwaondosha Hamas katika ukanda wa Gaza? Je, eneo hili litakuwa mali halali ya Israel au wataachiwa Wapalestina wenyewe chini ya uangalizi wa Serikali Jerusalem?

Nawasilisha na naomba kujifunza kutoka kwenu.
Ila kwa kufuatilia jua kwamba,mbali na udogo wa eneo walisha jizatiti enzi zote za unyanyasaji wa wazayuni,na wamejiongeza kwa kutengeneza miundombinu ya chini ya ardhi,mzayuni anahaha ,hathubutu kuzama kwenye miundombinu hiyo,ila anawaza kumwaga maji ya bahari ndani yake,ili alone kama mahasimu wake wataibuka kutoka kwenye miundombinu yao.
 
vita yeyote inayopiganwa kati ya israel na hamas au hezbolah ni kwamba israel ansaidiwa na wazungu, hamas na hezbola anasaidiwa na waarabu na iran, sema sababu waarabu ni waoga wanaogopa kichapo cha myahudi, wanatoa msaada chini kwa chini, ndo maana tunel za hamas zinaanzia gaza lakini zingine zinatokea hadi egypt na zingine zinatokea hadi syriaa huko na lebanon na ndo zinapopitia silaha.
sasa hivi hakuna vita unayopigana peke yako acha ujuha
😄 Kichaa akikosa mawe anarusha mtama 😄

Poleni sana Warabu wangewacha mipaka yao wazi Hamasi anataka siku mbili tu kuisafisha Tel Aviv
 
Ile [emoji642] days war kama mnavyotudanganya ilikua ni story tu yakutunga
Israhell haijawahi kuogopa kuua raia imeripua kambi za wakimbizi ikaja ikaripua shule tena zilizochini ya UN ikaja ikaripua shule tena zilizochini ya UN pia haikutosheka ikaja ikaripua makanisa ikaja ikaripua misikiti
Israhell imezuia magari ya vyakula kuingia ghaza hawa wanaogopa kuua raia gani mnao wasema nyie
Israhell nikwamba haiwezi kutoboa kwa kuipoteza hamas hata kama itapewa miaka mia nane
Mbona mnalialia kule UN kuomba vita isitishwa. Mtachezea kichapo nyie mpaka msemo poo
 
😄 Kichaa akikosa mawe anarusha mtama 😄

Poleni sana Warabu wangewacha mipaka yao wazi Hamasi anataka siku mbili tu kuisafisha Tel Aviv
ivi we unafikiri kuna kitu ambacho mwarabu anakitamani kama kuisafisha tel aviv? shida sasa ni je ataisafishaje? au we unafikiri atatumia fagio?
 
Mbona mnalialia kule UN kuomba vita isitishwa. Mtachezea kichapo nyie mpaka msemo poo
Analia lia nani
Lini umeona hamas huko UN kaenda akalia lia
Hamas kasema wazi haitasimamisha vita wala kuwaacha magaidi wa kizayuni wanaowashikilia mpaka magaidi ya israhell yaondoke ghaza
Sasa sijui anaelia lia nani kati yako wewe na hamas
Hamas kundi teule
 
Tatizo lako uchambuzi wako siku hizi ulisha kaa kipropaganda zaidi.

Hoja yako ya Israel kuepusha mauaji ya raia ni mufisirisi kabisa kwa sababu Israel amesha vuka mipaka yote ya sheria za kimataifa hivyo hicho kisingizio hakina uzito.
Israel ingekuwa inazingatia maisha ya watu na sheria za kimataifa isinge kuwa inashambulia shule, hospital,kambi za wakimbizi magari ya wagonjwa ambazo anajua kabisa kuna maelfu ya watu wamejihifadhi kwa ajili ya kutafuta usalama.Ni leo tu waziri wa Ulinzi wa Marekani mdhamini mkuu wa Israel ameitadharisha Israel kuwa haifanyi vya kutosha kuepusha mauaji ya raia.
Jana Ujerumani ameimbia Israel kuwa ni razima ijitathimi kwa sababu mauaji ya raia hayaendani na uhalisia wa vita bali kinacho onekana ni mauaji ya kiholela.
Wiki chache zilizo pita raisi wa Ufaransa aliikosoa Israel na kuiambia kuwa inatakiwa ifuate kilicho wapeleka Gaza na sio kuuwa watoto na wanawake, leo tena rais wa kamisheni ya umoja wa Ulaya amesema uharibifu huko gaza ni zaidi ya ule uliotokea Ujerumani kwenye vita ya dunia maana yake ni kuwa uharibifu wa Israel huko gaza umevuka mipaka. Kwahiyo inataka kuniambia kuwa ww una uwelewa wa kijeshi kuliko viongozi hao.

Nimeamua nikuwekee nikuu za viongozi ambao mataifa yao ni waungaji mkono wa Israel maana ninge kuwekea za rais wa Iran au Uturuki ungesema kuwa wanafanya propaganda kwa sababu Israel ni mshindani wao.
Ina maana mpaka washirika wake wanashangazwa na mauaji na uharibifu wa kiholela unao fanywa na huyo mshirika wao walio amini kuwa ana weledi

Ww kama una hoja nyingine uiweke ila hiyo haiuziki kabisa.

Kuhusu waasi nchini Syria sehemu ambayo mpaka sasa haidhibitiwi na serikali ni jimbo la Idrib ambapo lina dhibitiwa na waasi wanao ungwa mkono na Uturuki na pia kule kuna wanajeshi wa Uturuki na Urusi ndo iliyo izuia serikali ya Syria kulishambulia eneo hilo kutokana na makubaliano na Uturuki, eneo lingine ni jombo la Raqaa ambalo linadhibitiwa na wakrudi wanao ungwa mkono na Marekani na pia kuna wanajeshi wa Marekani hivyo Syria haiwezi kulishambulia kwa kujizuia kuingia moja kwa moja kwenye mzozo na Marekani na pia wapiganaji wa kikurdi hawana uhasama wowote na Asad na wala hawajawahi kushiriki vita ya kumtoa Asad Madarakani.
Wazee wa spana. Jamaa kaludi mjini majaluba yamejaa maji sana mpaka maji yapungue huko mtimbila mgeta Kwa hivi
 
Nashkuru kwakumuekea hizo nukuu nilitaka kumjibu pia ila umeniwahi
Israhell kaishakiuka sheria zote zakimataifa hapo
Yaani dunia nzima wanaona kama israhell anakiuka sheria za zinazoitwa umoja wa mataifa ila bwana huyu yeye anasema israhell inajizuia
Kama ntakua sawa israhell imemnyima viza yakuingia kwao mpaka Michelle basheler kamishna wa haki za binaadam wa umoja wamataifa kisa tu aliwaambia kwamba israhell wanakiuka sheria za vita za UN
Wazee wa spana muacheni acheni kidogo peasant wa mpunga asikimbie mapema.
 
Back
Top Bottom