Mimi nafanya jema au uovu ni kulingana na aina ya utashi na akili aliyonipa Mungu. Ningekuwa nimejiwekea mwenyewe utashi na akili nisingethuhutu kujiwekea utashi na akili itakayonipelekea nichague uovu bali kwavile sitaki kufanya uovu.
Kwanza inaonekana hujui maana ya AKILI, akili yenyewe tu kwa dhati yake ni kizuizi baada ya utambuzi katika jema na baya. Mwanadamu humtenganishi jambo hili.
Ushasema wewe sababu ni mwanadamu hujakamilika, Mola ametupa utashi na akili na kuchagua ili tuwe huru na tuwe na uhuru wa kuchagua.