hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Ayeeeee😂 😂 😂Na ikawaje Adam nae akaanza kula sehemu ya mwili wake mwenyewe?
Story ya adamu na hawa ni conspiracy tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ayeeeee😂 😂 😂Na ikawaje Adam nae akaanza kula sehemu ya mwili wake mwenyewe?
Mola alivyotuumba ametupa na uwezo wa kufanya jambo na kujizuia kufanya jambo fulani.Naomba niambie inawezekana vipi?
Ikiwa Mungu wakati anamuumba mtu x (mfano Safuher) anajua fika kabisa kuwa huyu Safuher kulingana na jinsi nilivyomuumba nikimpeleka duniani atakuwa mzinzi, jambazi na tapeli na akifa ni motoni moja kwa moja.
Naomba nipe uwezekano wa huyu Safuher ni vipi akaja duniani na kisha nafsi yake ichague tofauti na Mungu alivyotaraji. Nikiwa namaana ya kwamba Safuher aje duniani lakini asiwe mzinzi, jambazi nasio tapeli.
Tuthibitishie hili.Ayeeeee😂 😂 😂
Story ya adamu na hawa ni conspiracy tu
Thibitisha wewe kwanza kuwa adamu na hawa waliwahi kuwepo kweli nasio masimulizi ya juma na ulediTuthibitishie hili.
Kijanabona unalimbia kivuli chako mzee ? Twende hatua kwa hatua. Nithibitishie hilo kisha nakuja kuthibitisha hiki.Thibitisha wewe kwanza kuwa adamu na hawa waliwahi kuwepo kweli nasio masimulizi ya juma na uledi
Nathibitisha hilo kwa sababu vitabu vinavyo ongelea hayo masimulizi vyote vinajipinga pinga vyenyewe na kuna baadhi ya maandiko yake yaakosa logic ..ao kitabu Ambacho Chenyewe kia sifa ya kujipinga kinajivua haki ya kukifanya kiaminiweKijanabona unalimbia kivuli chako mzee ? Twende hatua kwa hatua. Nithibitishie hilo kisha nakuja kuthibitisha hiki.
Hujathibitisha bado. Gusia tukio husika usiende nje ya mada na kujadili yasiyo husika, mara vitabu mara ooh, unapo ulizwa jambo maalumu jibu kwa umaalumu wake, usilete habari za samaki mmoja akioza basi wotw wameoza. Uhitaji kutumia akili kubwa kujua kama wewe hukijui unachokikanusha.Nathibitisha hilo kwa sababu vitabu vinavyo ongelea hayo masimulizi vyote vinajipinga pinga vyenyewe na kuna baadhi ya maandiko yake yaakosa logic ..ao kitabu Ambacho Chenyewe kia sifa ya kujipinga kinajivua haki ya kukifanya kiaminiwe
Hivi wewe Uko sawa kweli kichwani ... Nawezaje kuiongelea story ya adamu na hawa bila kumention hivyo vitabu vya dini wakati hiyo story huko ndio inapotoka ? Wewe umenitaka nilete ushahidi then unanipangia mipaka ya kuutoa huo ushahidi wenyewe uko sawa kweli !?? Au kichwa chako kinawaza mabishano tu wakati wote?Hujathibitisha bado. Gusia tukio husika usiende nje ya mada na kujadili yasiyo husika, mara vitabu mara ooh, unapo ulizwa jambo maalumu jibu kwa umaalumu wake, usilete habari za samaki mmoja akioza basi wotw wameoza. Uhitaji kutumia akili kubwa kujua kama wewe hukijui unachokikanusha.
Kama kitabu gani kinajipinga chenyewe ?
Unaposema "logic" una maanisha nini ? Kwamba jambo mpaka akili yako liikubali au likiwiana na uhalisia ndiyo ukweli huo ?
Tuliza akili kijana na usome nilichokiandika. Narudia tena hujathibitisha hilo.Tumia hivyo vitabu kwa tukio hili la Adamu utuonyeshe udhaifu wa hizi habari. Usikimbie swali la msingi.Hivi wewe Uko sawa kweli kichwani ... Nawezaje kuiongelea story ya adamu na hawa bila kumention hivyo vitabu vya dini wakati hiyo story huko ndio inapotoka ? Wewe umenitaka nilete ushahidi then unanipangia mipaka ya kuutoa huo ushahidi wenyewe uko sawa kweli !?? Au kichwa chako kinawaza mabishano tu wakati wote?
Hahaha sasa kama kitabu kinasema kuwa malaika huwa hawana dhambi kwa sababu hawajawahi kumuasi mungu wanacho agizwa wanafuata ...halafu malaika hao hao kitabu kinasema kuwa kabla ya mungu kumuumba binaadamu aliwaagiza wake kuwaangiza majini wote waliopo duniani na malaika wakaja duniani kufanya hivyo wakaua majini wote ila wakambakisha mtoto wa jini mmoja ... Je kama kweli huwa hawafanyi dhambi kitendo cha kumbakisha huyo mtoto wa jini wakati walitumwa waue majini wote wazee vijana mpaka watoto kinaitwaje kama sio kukaidi amri ya mungu... Na kukaidi amri ya mungu sindio kutenda dhambi kwenyewe huko "...inakuwaje kitabu kinasema kuwa malaika hawatendi dhambi hawakaidi amri ya mungu halafu hapo hapo Kinatoa kisa Ambacho Ndani yake kuna uthibitisho kuwa malaika walikaidi amri ya mungu ....Tuliza akili kijana na usome nilichokiandika. Narudia tena hujathibitisha hilo.Tumia hivyo vitabu kwa tukio hili la Adamu utuonyeshe udhaifu wa hizi habari. Usikimbie swali la msingi.
Sasa hili mbona liko wazi. Sasa onyesha wapi kitabu kimejipinga kama si akili yako ni ndogo inashindwa kuelewa maandiko.Hahaha sasa kama kitabu kinasema kuwa malaika huwa hawana dhambi kwa sababu hawajawahi kumuasi mungu wanacho agizwa wanafuata ...halafu malaika hao hao kitabu kinasema kuwa kabla ya mungu kumuumba binaadamu aliwaagiza wake kuwaangiza majini wote waliopo duniani na malaika wakaja duniani kufanya hivyo wakaua majini wote ila wakambakisha mtoto wa jini mmoja
Kitabu gani kimeandika haya...?... Je kama kweli huwa hawafanyi dhambi kitendo cha kumbakisha huyo mtoto wa jini wakati walitumwa waue majini wote wazee vijana mpaka watoto kinaitwaje kama sio kukaidi amri ya mungu...
Kitabu gani hicho kaka, nionyeshe.inakuwaje kitabu kinasema kuwa malaika hawatendi dhambi hawakaidi amri ya mungu halafu hapo hapo Kinatoa kisa Ambacho Ndani yake kuna uthibitisho kuwa malaika walikaidi amri ya mungu ....
Quran nenda kasome suratil baqara inahicho kisa au wajifanya haujui!?Kitabu gani kimeandika haya...?
We we ndio huna akili tena unazidi kudhihirisha kuwa ni hamnazo ..walitumwa kuja kuuwa majini wote ...wakaja kuua majini ila jini 1 mmoja ambaye ni mtoto walimuacha ..swali ni ilikuwaje waache kumuua huyo jini 1,mtoto au yeye hakuwajini ' kitendo cha kutomuua wakati waliagizwa waue majini wote sio kukaidi amri ya mungu!? Kama jibu ni ndio .. So inakuwaje quran inasema kuwa malaika hawatendi dhambi (hawakaidi amri za mungu) ..hauoni kuwa hicho kitabu kinajikosoa kosoa chenyewe ?😂 😂Sasa hili mbona liko wazi. Sasa onyesha wapi kitabu kimejipinga kama si akili yako ni ndogo inashindwa kuelewa maandiko.
Malaika walitii amri ya Mola wao na kuja kuua, sasa hapo kujipinga ni wapi na kosa lao liko wapi. ?
Vijana acheni kuruka ruka.
Najua kisa kipo wapi, nataka unionyeshe wapi kunako pingana.Quran nenda kasome suratil baqara inahicho kisa au wajifanya haujui!?
Kijana huelewi wapi ? Weka andiko linalo onyesha kujipinga.We we ndio huna akili tena unazidi kudhihirisha kuwa ni hamnazo ..walitumwa kuja kuuwa majini wote ...wakaja kuua majini ila jini 1 mmoja ambaye ni mtoto walimuacha ..swali ni ilikuwaje waache kumuua huyo jini 1,mtoto au yeye hakuwajini ' kitendo cha kutomuua wakati waliagizwa waue majini wote sio kukaidi amri ya mungu!? Kama jibu ni ndio .. So inakuwaje quran inasema kuwa malaika hawatendi dhambi (hawakaidi amri za mungu) ..hauoni kuwa hicho kitabu kinajikosoa kosoa chenyewe ?😂 😂
Kwahiyo hizi habari za kuua majini wote tunazipata katika Qur'aan au ? Kama katika Qur'aan zipo katika sura gani ?We we ndio huna akili tena unazidi kudhihirisha kuwa ni hamnazo ..walitumwa kuja kuuwa majini wote ...wakaja kuua majini ila jini 1 mmoja ambaye ni mtoto walimuacha ..swali ni ilikuwaje waache kumuua huyo jini 1,mtoto au yeye hakuwajini ' kitendo cha kutomuua wakati waliagizwa waue majini wote sio kukaidi amri ya mungu!? Kama jibu ni ndio .. So inakuwaje quran inasema kuwa malaika hawatendi dhambi (hawakaidi amri za mungu) ..hauoni kuwa hicho kitabu kinajikosoa kosoa chenyewe ?😂 😂
Mola alivyotuumba ametupa na uwezo wa kufanya jambo na kujizuia kufanya jambo fulani.
Kadhalika kujua kwake Allah hakukuzuii wewe kufanya jambo au kutofanya.
Kadhalika kuna kutubia, ukikosea basi utubie, na Allah ni mwingi wa kusamehe.
Ngoja nikuulize swali rahisi : Weee ni kitu gani kinakufanya ufanye uovu na ufanye wema ? Je unajua wewe ni wa motoni au peponi ? Kama huju, kipi kinachokuzuia wewe usifanye wema ukalipwa pepo ?
Ile kauli ipo sababu mwanadamu hajakamilika na anakosea, na ndiyo maana kuna toba ukikosea unatubia.Kama Mungu amekupa uwezo wa kujizuia basi ile kauli ya kusema binadamu hawajakamilika isiwepo.