Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

Kwani ni Mungu gani aliyesema kuwa amemuumba binadamu akiwa kamili,bila udhaifu wala mapungufu yeyote ?
.
Hapa ni kama Mungu anawaumba watu ili wakosee makusudi na kisha awachome moto. Alishindwa nini kuwaaumba binadamu waliokamilika ili wazingatie maagizo yake?
Yaani umuumbe mtu pasipo ridhaa yake na kisha na bado unamuumba akiwa na kasoro halafu eti akikosea unamchoma moto wakati yeye mwenyewe Mungu ndio kafanya makusudi kukuumba hivyo
 
Hivyo alikuwa na uwezo wa kutuumba sote kwa pamoja alafu akawachpma moto wengine akawatia peponi kwa kule kujua kwake kuwa huyu atakuwa muovu na mwema.

Lakini kwa uwezo wake,hekima zake na nguvu zake akatuacha kila mmoja aingie field ajionee matendo yake ambayo anayafanya bila kutenzwa nguvu.
.
Hapa inaonesha kabisa tatizo linapoanzia. Tatizo linaanzia kwenye uumbaji, nikwamba wakati Mungu anamuumba mtu anajua kabisa huyu atatenda matendo yakumpeleka motoni na huyu mwingine atatenda matenda ya kumpeleka peponi. Huyu wa motoni inamaana Mungu alishaona kabisa kuna mambo hayajakaa sawa upande wake lakini Mungu amemuacha hivyo hivyo ili aende field akajionee.
 
Yes hilo lipo wazi na ndio maana akatupa uhuru wa kuchagua kwa nafsi zetu lipi tunataka liwe na lipi tunataka lisiwe ama tusilifanye.

Elewa hii ni game tunacheza ili kuzinusuru nafsi zetu,Mungu hafaidiki wala hapati hasara na hii game,kila mmoja anacheza kwa faida yake mwemyewe na sio kwa faida ya Mungu.

Kwa hiyo Mungu anajua wewe utaenda motoni ama peponi kwa sababu ni mjuzi wa yaliyopita na yatakayokuja.

Pili mungu amekupa uhuru wa wewe kuchagua kile unachokitaka kufanya na ndio maana kukawa na pepo na moto.

Sasa ukijua jambo hili shida huwezi kupata kwa sababu utajua kwamba maisha ni game hii ya mema na mazuri,maisha ni majaribio kwa ajili yetu wenyewe.
 
Hii fulsa ya nafsi kuchagua hua mtu anapewa wakati anaumbwa kabla ya kupelekwa duniani?
 
Hapa ni kama Mungu anawaumba watu ili wakosee makusudi na kisha awachome moto.
Wapo pia watakaoingia peponi usisahau,na kumbuka hii ni game,huu ni mtihani.

Kwenye mtihani unaulizwa maswali ambayo muulizaji majibu anayo tayari anajua lakini anakupima wewe mwemyewe ujione kuwa upo kundi gani.

Kupewa nafsi yenye kuamua lolote ni sawa sawa na kupewa mtihani wenye multiple choice,unachagua utakalo.

Hivyo bado sio hoja hiyooo
nikwamba wakati Mungu anamuumba mtu anajua kabisa huyu atatenda matendo yakumpeleka motoni na huyu mwingine atatenda matenda ya kumpeleka peponi.
Naam haswa kwa sababu ana elimu ya wewe utakalo fanya mbele na litakalo tokea kwa watu.

Ndio maana kuna aya nyingi katika Qurani zinaelezea siku ya kiama itakavyokua,haijatokea lakini ametupa dondoo mbili tatu namna itakavyokuwa kwa sababu anajua yatakayojiri.
Alishindwa nini kuwaaumba binadamu waliokamilika ili wazingatie maagizo yake?
Hakutaka hivyo lakini alikuwa na uwezo huo,kwa sababu angeliwaumba watu waliokamilika wawe kama maroboti basi kusingekuwa na haja ya kutujaribu sisi wakati tayari tupo katika systematic may kabisa.

Yaaani game isingekuwa na maaana yeyote wakati Mungu katukamilisha tunafata amri zake kwa nini yawepo majaribu ?

Ndio maana viumbe ambao amewaumba WAMEKAMILIKA WANAFANATA AMRI ZAKE wapo.

Viumbe hai ni malaaika,na hawa malaika hawakuumbwa ili kujaribiwa,waliumbwa ili watii maamrisho ya Mungu tu.

Kwa sasa hawa malaika hawakuumbwa kujaribiwa ndio maana wao ni wanaabudu na hawafanyi dhambi yeyote ile.

Aya..

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا قُوا أَنفُسَكُمْ وَأَهْلِيكُمْ نَارًا وَقُودُهَا النَّاسُ وَالْحِجَارَةُ عَلَيْهَا مَلَائِكَةٌ غِلَاظٌ شِدَادٌ لَّا يَعْصُونَ اللَّهَ مَا أَمَرَهُمْ وَيَفْعَلُونَ مَا يُؤْمَرُونَ

[ ATTAH'RIIM - 6 ]
Enyi mlio amini! Jilindeni nafsi zenu na ahali zenu na Moto ambao kuni zake ni watu na mawe. Wanausimamia Malaika wakali, wenye nguvu, HAWAMUASI Mwenyezi Mungu kwa anayo waamrisha, na wanatenda wanayo amrishwa.

sasa kwa mujibubwa aya hii malaika hawamuasi Mungu na wao ni watu wa kufuata maamrisho tu.

Kama kaweza kuwaumba malaika katika hali hiyo basi bila shaka pia angeweza kuwaumba binadamu hivyo.

Kwa hiyo viumbe wa aina hiyo wapo kabisa ila HAKUTAKA TU BINADAMU TUWE HIVYO KWA SABABU ALITAKA TUWE KWENYE MTIHANI na mtihani maana yake upewe hiyari ya kujibu unaloweza.

Yaani umuumbe mtu pasipo ridhaa yake na kisha na bado unamuumba akiwa na kasoro halafu eti akikosea unamchoma moto wakati yeye mwenyewe Mungu ndio kafanya makusudi kukuumba hivyo
Sasa kama Mungu ndo kakuumba,yeye Mungu ndo kataka uwe na kasoro fulani na yeye ndo ametaka uwe hivyo ulivyo

Na pia haukumuomba wewe uumbwee kwa maana hapa una ishara unaonesha kuwa mimi sikuja wala sikujileta,sikuandika maombi ya kuja hapa.

Hivyo tunakubaliana kwamba kila mmoja kajishtukia tu hapa kaja duniani,wala hakutaka yeye aje bali kuna waliotaka yeye aje.

Sasa kama unakubali kuwa hukuandika maombi,hukujua kama utakuwa mtu maana yake unakubali kuwa kuna alietuleta hapa.

Sasa huyo aliyetuleta ndio ambaye kaweka hizo taratibu uzifuate kwa sababu yeye ndo bosi wako mkubwa hivyo huna hiyari ya kufuata.

Kuanzia leo sasa anza kuwa Mchamungu uanze kuishi kwa mujibu wa anavyotaka yule aliyekuleta na sio kwa unavyotaka wewe.

Sisi tunatakiwa tufate maamrisho ya aliyetuleta na ndio bosi wetu Mungu.
 
Yes hilo lipo wazi na ndio maana akatupa uhuru wa kuchagua kwa nafsi zetu lipi tunataka liwe na lipi tunataka lisiwe ama tusilifanye.

Elewa hii ni game tunacheza ili kuzinusuru nafsi zetu,Mungu hafaidiki wala hapati hasara na hii game,kila mmoja anacheza kwa faida yake mwemyewe na sio kwa faida ya Mungu.

Kwa hiyo Mungu anajua wewe utaenda motoni ama peponi kwa sababu ni mjuzi wa yaliyopita na yatakayokuja.

Pili mungu amekupa uhuru wa wewe kuchagua kile unachokitaka kufanya na ndio maana kukawa na pepo na moto.

Sasa ukijua jambo hili shida huwezi kupata kwa sababu utajua kwamba maisha ni game hii ya mema na mazuri,maisha ni majaribio kwa ajili yetu wenyewe.
Nimeuliza "Hii fulsa ya nafsi kuchagua hua mtu anapewa wakati anaumbwa kabla ya kupelekwa duniani?
 
Q
Hii fulsa ya nafsi kuchagua hua mtu anapewa wakati anaumbwa kabla ya kupelekwa duniani?
Akishatambua baya na zuri katika dini hapo ndipo fursa ya kuchagua inapoanza.

Kinyume na hapa hata afanye nini maadamu hajui kuwa hili ni baya na hili ni zuri basi haadhibiwi kwa dhambi.
 
Bahati kwenye uzi umeandika NDOA na Sio HARUSI kama ulivyoandika heading.

Kuhusu ndo sina jibu,
Pengine yale maneno
"Na mkawe mwili mmoja" yalitosha.
Labda kufunga ndoa anadhani kuna kamba mnafungwa kwa pamoja
 
Q

Akishatambua baya na zuri katika dini hapo ndipo fursa ya kuchagua inapoanza.

Kinyume na hapa hata afanye nini maadamu hajui kuwa hili ni baya na hili ni zuri basi haadhibiwi kwa dhambi.
Naomba niambie inawezekana vipi?

Ikiwa Mungu wakati anamuumba mtu x (mfano Safuher) anajua fika kabisa kuwa huyu Safuher kulingana na jinsi nilivyomuumba nikimpeleka duniani atakuwa mzinzi, jambazi na tapeli na akifa ni motoni moja kwa moja.

Naomba nipe uwezekano wa huyu Safuher ni vipi akaja duniani na kisha nafsi yake ichague tofauti na Mungu alivyotaraji. Nikiwa namaana ya kwamba Safuher aje duniani lakini asiwe mzinzi, jambazi nasio tapeli.
 
Ikiwa Mungu wakati anamuumba mtu x (mfano Safuher) anajua fika kabisa kuwa huyu Safuher kulingana na jinsi nilivyomuumba nikimpeleka duniani atakuwa mzinzi, jambazi na tapeli na akifa ni motoni moja kwa moja.
Hakuna ambae anaumbwa na element za uzinzi wala wizi waka unyang'anyi.

Mungu watu wote anawaumba sawasawa kabisa.hakuna ambae anawekewa vitu vyovyote kwamba

Kinachopelekea ubaya wa mtu sasa ni mazingira ambayo yeye ana uhuru wa kuchagua lipi baya na lipi zuri.

Mungu anawaumba watu wote kwa sawa wala huyu hamuumbi na element fulani za kuwa muovu na yule mwema.hilo kwanza tukubaliane hapo.

Kila mtu akitiwa roho hutiwa roho ile ile anayotiwa mwingine sio kwamba mtu fulani hutiwa roho yenye element za uovu.hapana.

Naomba nipe uwezekano wa huyu Safuher ni vipi akaja duniani na kisha nafsi yake ichague tofauti na Mungu alivyotaraji
Kinachotakiwa kifahamike ni hivi.
Mungu ni mjuzi na muweza wa mambo yote.

Kuna matakwa ya Mungu(anayoyataka Mungu) na Kuna elimu ya Mungu(anayoyajua Mungu).mambo haya ni tofauti.

Mungu ana elimu ambayo inajua kila kitu chetu cha kabla na baada.

Lakini elimu hiyo hakuifungamanisha na matakwa(kutaka lazima kitokee kitu fulani),hakuifungamanisha na kukulazimisha wewe kufanya kile anachokijua kuhusu wewe hapo baadae.

Mungu atabaki ANAJUA kile ambacho wewe utakifanya baadae,lakini hakufungamanisha kujua kwake huko na matakwa yake kwako(kukulazimisha wewe)

Kwa hiyo unayafanya yale ambayo Mungu aliyajua pasi na Mungu huyo kukulazimisha ama kuingiza matakwa yake juu ya hayo ambayo utayafanya.

Mungu alijua kuwa wewe utatoa hoja hizi,lakini kujua kwake huko hakukufungamanisha na ulazima kwako wewe kufanya hivyo ati kwa kuwa Mungu anajua.

Mungu ataendelea kuwa anajua utayoyafanya bila kukulazimisha wewe kuyafanya hayo.

Unayafanya hayo kwa ridhaa ya nafsi yako kabisa bila kulazimishwa na yeyote yule,kila mmoja mimi na wewe tunashuhudia kuwa nafsi zetu hazilazimishwi na yeyote yule kufanya mambo.

Nikiwa namaana ya kwamba Safuher aje duniani lakini asiwe mzinzi, jambazi nasio tapeli.
Naam kama nilivyokuandikia hapo juu mkuu ni kuwa elimu ya Mungu juu ya yale tutakayoyafanya baadae hakuifungamanisha na kutulazimisha kuyafanya mambo haya.

Ndio maana tunasema kuwa Mungu ni mjuzi na hakuna linaloshindikana kwake yeye.

Hata hili la kuwa anajua utakachokifanya na hakulazimishi kuyafanya hayo basi hili pia limewezekana na ndo linafanyika.

Laiti kama kujua kwake huko angekufungamanisha na kukulazimisha wewe kuyafanya yale ambayo anayajua basi bila shaka kusingekuwa na maana yeyote ya pepo na moto kwa sababu ya kuwa kila tutakalolifanya tumetenzwa nguvu.

Mambo yako hivyo.
 
Hakuna ambae anaumbwa na element za uzinzi wala wizi waka unyang'anyi.

Mungu watu wote anawaumba sawasawa kabisa.hakuna ambae anawekewa vitu vyovyote kwamba

Kinachopelekea ubaya wa mtu sasa ni mazingira ambayo yeye ana uhuru wa kuchagua lipi baya na lipi zuri.

Mungu anawaumba watu wote kwa sawa wala huyu hamuumbi na element fulani za kuwa muovu na yule mwema.hilo kwanza tukubaliane hapo.
unajua maana ya neno sawasawa? Kama binadamu wote wangekuwa wameumbwa sawasawa basi wote wangefanya chaguzi ya aina moja tu kusingekuwa na kutofautiana kwa watu kiakili, utashi, maumbile, na saizi zao.
 
Inategemea neno "sawa sawa " umeitafsiri vipi wewe mwenyewe.kama umetafsiri sawa sawa kuwa kila binadamu ana mwilia basi bila shaka binadamu wote wako sawa sawa kwa sababu wote wana miili.

Mimi sawasawa niliyoitafsiri ni kuwa binadamu wote wanaoishi ni kuwa wametiwa roho ambazo zina uhuru wa kuchagua.

Hakuna binadamu ambaye ametiwa roho ya roboni amabyo iko programed tayari kufanya mambo fulani.

Roho zote zimeumbwa zikiwa huru haziko programmed.

Huku kuwa roho zote ziliumbwa ama tulipuliziwa zikiwa huru haziko programmed basi huku kuwa hivi ndiyo maana yangu ya sawasawa nimeikusudia.

Sasa kama wewe umetafsiri kinamna yako basi hilo ni tatizo la kwako sio mimi,wewe unatakiwa utizame maana yangu niliyoikusudia mimi na sio uchukue tafsiri zako.

Kwa hiyo tumeumbwa sawasawa kwa maana ya kuwa wote roho zetu hazikuwa programed kwamba lazima ufanye hiki na kile.
 
Tatizo sio Mungu kuwa kigeugeu,tatizo ni sisi kuhisi hivyo na tunao uhuru wa kuwaza vyovyote kwa uwezo aliotupatia huyo Mungu mwenyewe.

Wewe unaweza kuwaza kuwa Mungu kigeugeu,lakini ndio kanuni ya Mungu mwenyewe hata nje na hapo utaona kuwa mambo mengi yana mabadiliko sio utaratibu wa Mungu tu.

Jua linabadilika badilika,asubuhi jekundu mashariki,mchana jeupe katikati,jioni jekundu magharibi.

Hapa sijui kama tutasema jua kigeugeu.

Usiku giza,mchana mwanga.
Sijui tutasema siku ni kigeugeu ama vipi.

Unaanza kuwa mtoto mdomo hauna meno,unakuwa kijana unota meno,unakuwa mtu mzima mwishoni unakuwa mzee kabisa na mvi.
Sidhani kama tutasema kuwa mwili ni kigeugeu hauelewei hauna msimamo.

Embe inaanza maua,inaanza kuwachanga,mwishowe inaiva,baadae inaoza.
Sidhani kama tutasema embe ni kigeugeu.

Kwa hiyo sio kwamba Mungu kigeugeu kwa kugeuza sheria,bali huo ndo utaratibu wake wa mambo mengi katika dunia alivyoyaweka.

Kusema kigeugeu unaweza kusema lakini ukitumia akili ya kawaida juu ya mambo mengine ya asili na ukaangalia utaona kuwa hakuna tatizo kufanya mabadiliko kutokana na zama ambazo yeye mwenyewe anazijua.

Bila shaka >ngekuwa anabahatisha basi hao ambao hawabahatishi wangekuja na utaratibu wao ambao upo costant haubadiliki.

Yani wangekuja na binadamu ambao akizaliwa mpaka anakufa ananyonya,hakui yani yuko vile vile habadiliki.

Wangekuja na utaratibu wao wa jua kuwa likichomoza linabaki pale pale tu haliendi kokote mpaka leo.

Bila shaka maisha kwa ujumla ni mabadiliko na wenyewe tunashuhudia hili.
Mabadiliko katika maisha huwezi kuyanasibisha na kutokuwa na uhakika juu ya kile mtu anachofanya.

Kwa hiyo nikijibu swala lako ni kuwa mungu habahatishi na anajua afanyalo kwa sababu hiyo ndio system yake.
Mkuu napenda sana kufatilia mtiririko wako wa jinsi unavyoweza ku-debate na oppose wako ubarikiwe sana.....Sikufahamu ila ninahisi ni mtu mwenye hekima na busara ya hali ya juu...Mungu atukubari.
 
Hakuna binadamu ambaye ametiwa roho ya roboni amabyo iko programed tayari kufanya mambo fulani.
kama hivyo ndivyo ilivyo, basi Mungu wakati anamuumba mtu hajui nini ataenda kuyatenda huyo mtu akipelekwa duniani.
Kwasababu kitendo cha kujua kwake nisawasawa nakumprogram mtu aweje aweje pindi akienda duniani. Kumbuka anayetanda mema na maovu wote wameumbwa na Mungu mmoja je kipi wamezidiana hawa wawili hadi mmoja akapelekea kuchagua uovu badala ya jema? Kama hajazidiana kitu katika utashi wao ni wazi wote wangefanya chaguzi moja tu. Wasingetofautiana
 
Hapa ni kama Mungu anawaumba watu ili wakosee makusudi na kisha awachome moto. Alishindwa nini kuwaaumba binadamu waliokamilika ili wazingatie maagizo yake?
Yaani umuumbe mtu pasipo ridhaa yake na kisha na bado unamuumba akiwa na kasoro halafu eti akikosea unamchoma moto wakati yeye mwenyewe Mungu ndio kafanya makusudi kukuumba hivyo
[emoji2][emoji2] aisee
 
Ndoa ni mbwembwe tu za kibinadamu unadhani hata Mungu ana habari nazo basi . Mungu kasema tu PENDANENI baasi hayo ya kufungana milele mnaishi mnatazamana ni mambo yetu tu mapya mapya 😂😂😂😂😂
 
Mimi sawasawa niliyoitafsiri ni kuwa binadamu wote wanaoishi ni kuwa wametiwa roho ambazo zina uhuru wa kuchagua.
.
Kama wote wameumbwa kwa roho ambazo zina uhuru wa kuchagua sawasawa, je nini kinapelekea mtu A nafsi itende lililojema na mtu B achague lililoovu?

Kutokana na binadamu kuumbwa na mapungufu, huoni kwamba hawa watu wanatofautiana kiasilimia za mapungufu hivyo kupelekea kuzidiana kwa utashi?

Unasema mtu kapewa uhuru wa kuchagua, ingelikuwa mtu kapewa uhuru asingesurutishwa kuwa asipotenda mambo fulani anaadhibiwa, angeachwa aamue aliyokipenda pasipo kupewa mipaka. Ukimpa mtu mipaka hapo hakuna uhuru.
 
Kama wote wameumbwa kwa roho ambazo zina uhuru wa kuchagua sawasawa
Nisome vizuri mkuu.

Nimesema sote tuna roho zenye uhuru wa kuchagua,sikusema sawasawa.ukisema sawasawa maana yake Mungu kaweka limitations kwa watu wote.

Neno usawa sawa usiliweke kwa sababu sikulisema.
je nini kinapelekea mtu A nafsi itende lililojema na mtu B achague lililoovu?
Ni kwa sababu ya uhuru waliopewa wa nafsi zao kuchagua mambo ndio inapelekea mtu fulani kutenda mema na mwingine kutenda uovu.

Kama ambavyo sote tuna mikono lakini kuna watu wanatumia mikono kufanya uovu wa kuiba,wengine wanatumia mikono kufanya uovu wa kuua,wengine hutumia mikono kufanya wema wa kufagia,wengine hutumia mikono kufanya wema wa kusaidia maskini n.k

Huyu anaesaidia maskini anao uwezo wa kuiba ila hajataka kwa sababu nafsi yake hajaiamrisha ifanye hivyo,na huyu anaeiba anaweza kufanya wema ila hajataka nafsi yake iwe hivyo.

Kwa hiyo kama ambavyo tumepewa mikono inayofanana tunafanya mambo tofauti kwa utashii wanafsi zetu.

Basii na roho tumepewa zinazofanana lakini tunafanya mambo tofauti kwa utashi wetu na uhuru tuliopewa na Mungu.

Na kufanana hapo ni kule kuwa yote ni mikono,ama kuwa zote ni roho ama kuwa vyote ni vichwa lakini bila shaka tuna vichwa tofauti,mikono tofauti japokuwa sote tunavyo.
Kutokana na binadamu kuumbwa na mapungufu, huoni kwamba hawa watu wanatofautiana kiasilimia za mapungufu hivyo kupelekea kuzidiana kwa utashi?
Ndio mapungufu kama vile kuna watu Mungu huwaumba machizi,utashi wa chizi na mzima ni tofauti.

Inategemea wewe utatafsiri vipi neno upungufu.

Unasema mtu kapewa uhuru wa kuchagua,
Uhuru ni ile hali ya nafsi kuweza kutenda baya ama zuri,yaani kuweza kutenda yote huu uwezo wa kutenda yote ndio uhuru wenyewe kwanza.
ingelikuwa mtu kapewa uhuru asingesurutishwa kuwa asipotenda mambo fulani anaadhibiwa
Sasa ndio maana nikakuambia hapa tupo kwenye game duniani,umepewa uhuru (uwezo)wa kufanya mema na mazuri

Alafu ili Nafsi yako ijaribiwe unaambiwa usifanye hili ambalo uwezo wa kulifanya unao,usizini na uwezo unao.

Kwa hiyo tumekatazwa kuyafanya hayo kwa sababu uwezo tunao wa kuyafanya.

Ndio maana hatukukatazwa kuumba ulimwengu kwa sababu uwezo hatuna,tunayokatazwa ni yale ambayo tunayaweza ili sasa ile mantiki ya kuwa tupo katika mtihani ipatikane.

Na kule kuadhibiwa kwa kutotenda mambo fulani maana yake ni ishara kuwa ulikuwa unaweza kuyatenda lakini ukayaacha kwa jeuri.

Hivyo maswali unayoiza yanaenda sambamba na thana hii ya kuwa hapa duniani tupo katika kujaribiwa nafsi zetu wenyewe.
angeachwa aamue aliyokipenda pasipo kupewa mipaka. Ukimpa mtu mipaka hapo hakuna uhuru.
Unachanganya hapo kuhusu uhuru.uhuru niliougusia mwanzo ni ule wa nafsi kuamua lipi afanye na lipi asifanye kwa kujiuliza na kwa uwezo wake mwenyewe.

Kitendo chakuwekwa adhabu kwa watakaofanya mabaya maana yake hayo mabaya walikuwa wanaweza kuyatenda ndio maana wataadhibiwa.

Sasa hapa ni kwamba uwezo wa nafsi kuamua kufanya mambo wayatakayo ndiyo uhuru ambao niliuzungumzia.

Uhuru huo wa kuchagua tuliopewa katika nafsi zetu sasa,tukaletewa Muongozo kuwa sasa kutokana na uhuru wa nafsi mliopewa mnatakiwa mfuate taratibu hizi na zile na zile atakayekeuka ataadhibiwa adhabu fulani.

Sasa hapa maana yake ni kuwa unatumia uhuru wako kufuata maamrisho,na unatumia uhuru wako wa nafsi kuacha yale makatazo ya dini.

Na pia ukizingatia vizuri utaona kuwa kuwepo kwa sheria maana yake ni kuwa wapo ambao watazifuata maana yake hizo sheria zimeletwa kwa sababu tunauwezo wa kuzifuata ama kuzikeuka.

Huu uwezo wa kuzifuata ama kuzikeuka ndio uhuru wa nafsi,na Mungu kajua kuwa ametupa uhuru wa nafsi kwa kuchagua jema na baya ndio maana akaweka adhabu kwa watakaowacha kufuata.

Kwa hiyo haya mambo mawili usiyachanganye.
 
kama hivyo ndivyo ilivyo, basi Mungu wakati anamuumba mtu hajui nini ataenda kuyatenda huyo mtu akipelekwa duniani.
Anajua kwa sababu ana ujuzi juu ya mambo yetu ya baadae.

Na ujuzi huo hajaufungamanisha na kuziprogram nafsi zetu,yeye atabaki anajua tu bila kututenza Nguvu tuyapitie yale anayoyajua,atabaki anajua,kuhusu kutenda sisi tuna hiyari yetu.

Kumbuka tunasema kuwa Mungu anao uwezo wa kila kitu,kwa hiyo hili la kutenganisha ujuzi wake na ulazimisho juu ya nafsi zetu hili lipo wazi kuweza kwake na ndivyo ilivyo.

Kwa maana ya kuwa tunakubiana kuwa hakuna kitu kinatulazimisha mpaka hii leo kufanya mambo pasi na ufahamu na ridhaa ya nafsi zetu.
Kwasababu kitendo cha kujua kwake nisawasawa nakumprogram mtu aweje aweje pindi akienda duniani
Ndo mana nilikuambia kuwa elimu yake ya kutujua sisi hakuifungamanisha na kutulazimisha sisi tufanye yale anayoyajua juu yetu,hakututenza nguvu katika hilo.

Sasa unapokataa hili bila shaka unataka kulazimisha fikra zako ziwsze kimtizamo wa kibinadamu binadamu.

Na hili kweli kimtizamo wa kibidamau binadamu ni gumu lakini kwa Mungu ndivyo utaratibu wake.

umbuka anayetanda mema na maovu wote wameumbwa na Mungu mmoja je kipi wamezidiana hawa wawili hadi mmoja akapelekea kuchagua uovu badala ya jema? Kama hajazidiana kitu katika utashi wao ni wazi wote wangefanya chaguzi moja tu. Wasingetofautiana
Walichozidiana ni matumizi yao ya nafsi.
Mungu katuumba na nafsi zisizo na ukomo katika kuyaendea mambo.

Kwa hiyo juhudi zako ndio zitazidisha utashi wa nafsi yako.sote ametuumba na nafsi zenye uwezo wa kufanya mambo pale tutakapofanya juhudi na kuyaendea wenyewe.

Hivyo mwenye kisu kikali ndo atakula nyama.

Labda nikupe mfano hivi

Nafsi zetu ni kama kapu ambalo halina kitu,kule kutokuwa na kitu ndo kila mmoja aliumbwa hivyo.

Kwa maana kila mmoja nafsi yake iliumbwa na nafasi(uwezo)wa kutia kitu fulani katika ile nafasi ya kapu(nafsi)

Na venye kukusaidia kutia vitu katika kapu hilo kakupa,macho,ubongo,miguu,mikono na vinginevyo.

Sasa hapa kutofautiana ni namna mtu anatumia vitu hivi kutia vitu akapuni.tofauti ni matumizi tu.
 
[QUONNani alikwambia waliziniTE="FRANCIS DA DON, post: 36741693, member: 168549"]
Kwahiyo nani aliwapa ruhusa ya kuzini?
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom