Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

Kafiri siyo tusi mzee. Ukipewa haki yako ichukue kwani ulichokiandika hakibadilishi ukweli wa kuwa wewe ni KAFIRI.

Kafiri kilugha ni mficha ukweli na kudhihirisha uovu na uongo.

Jifunze kuwa mvumilivu na uwe na moyo wa kiume.
Na ndio maana na mimi nikasema, kafiri baake, kwani shida iko wapi? Na pia nime take the Liberty ya kumuita yeye mbwa kama yeye alivyotake Liberty ya kutuita kafiri, kwani unateseka? Tumejadiliana hapa tokea mwanzo hadi sasa, tumetukanana kwani? Vipi iweje kwa yeye?
 
Tuliza akili na usitoe mfano mahala si pake.

Nani amesema ya kuwa hizi ni hadithi za kutungwa ? Ina maana huyi aliyesema hivyo ameoteshwa au anajua ya kuwa kweli zimetungwa ?

Sasa ni wajibu wake atuambie amejuaje kama zimetungwa na atupe ushahidi. Usilete mfani mfu, weka mfano ambai hapa ni mahala pake.
 
Ingekuwa ni vyema kama ungeweza kuthibitisha hadithi ni za kweli na sio za kutunga. Chochote kinawezekana..
Elimu ya mjadala hailei ujinga, anaye kanusha ndiye anawajibika kuthibitisha na si mimi ambaye nina kiri, sababu anaye kanusha tunamdhania ya kuwa ni mjuzi zaidi ya hili jambo.Kwahiyo ningekuona upo makini endapo ungemuuliza na umtake ushahidi yule aliyesema ya kuwa hizi ni hadithi za kutungwa.

Lakini, usipate shida bibie, hili hawaliwezi na hawakuwahi kuliweza ndiyo maana wanaruka ruka.

Hivi, kati ya wawili hawa nani anaye paswa kuthibitisha kwanza.

Jurjani : Qur'aan ni maneno ya Mola muumba.
Wewe au Wao : Hapana Qur'aan si maneno ya Mola, ni hadithi za kutunga.

Nani anaye paswa kuthibitisha kwanza, anaye kiri au anaye kanusha ? Hapa lazima utuambie umejuaje kama ni maneno ya kutungwa kabla ya mimi sijakuonyesha hilo. Sasa ongeza umakini.
 
Tuthibitishie ya kuwa baba ake ni kafiri, ila mimi naweza kuthibitisha ya kuwa wewe ni Kafiri. Sasa msiandike mambi ilimradi mmeandika,bali andikeni ya kweli.

Shida siyo yeye au wewe, shida ni je ulivyo mwambia unaweza kuthibitisha ?

Ulivyo rejesha jambo ni kama umetukanwa hivi.
 
Ningekuwa najua ningeuliza?
Sasa kama huna uhakika ulipaswa kwanza uulize

''je Adam na Hawa walifungishwa ndoa'' sio unauliza as if una uhakika kuwa walifungishwa ndoa, that's a poor way of asking a question
 
Je, walifungia ndoa kanisani au msikitini?
Hujitambui aisee, sasa natambua ulileta hoja kufurahisha genge lakini umepotea. Hilo swali lako ulilielekeza wapi? Kuwa makini unapozungumzia jambo, acha kujizongazonga
 
Pole kwa kicheko kitupu. Ila ushauri wa bure kwako, unapouliza swali usiwe na majibu upate kujifunza. Rekebisha hiyo kasoro.

1 Wakorintho 6 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁵ Je! Hamjui ya kuwa miili yenu ni viungo vya Kristo? Basi nivitwae viungo vya Kristo na kuvifanya viungo vya kahaba? Hasha!
¹⁶ Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
 
Ni wajibu wako wewe unayesisitiza hadithi zako ni za kweli kutuaminisha la sivyo tutaendelea kuamini ni za kusadikika
 
Hujitambui aisee, sasa natambua ulileta hoja kufurahisha genge lakini umepotea. Hilo swali lako ulilielekeza wapi? Kuwa makini unapozungumzia jambo, acha kujizongazonga
Ndio umeandika nn sasa
 
Nani kabisha? Sasa jibu hilo swali.Kwahiyo nikienda kununua malaya wawili na nikalala nao nakuwa nimefunga nao ndoa? Kwa mantiki hiyo unataka kusema wale malaya wa Sinza wameshafunga ndoa ngapi hadi leo hii? Na je zinaa definition yake ni ipi? Maana kila utakaezini nae automatically unafunga nae ndoa, hahah, we jamaa umechanganyikiwa?!
 
Tufanye hivi, nakupa hadithi hii fupi “Kichwani kwako kuna kinyesi cha paka na huwezi kukuona wala kukigusa”. Hadithi yangu imeisha. Nani anapaswa kudhibitisha kwamba uwepo wa hicho kinyesi sio uongo, ni ikweli, mimi ninaehadithia au wewe unaesikiliza?
 
Kwanza nimecheka sana. Haya mambo yanahitaji elimu, shida yenu ni ujuaji mwingi.

Naanzia hapa, kuna nukta mbili, utatakiwa wewe uthibitishe endapo mimi msikilizaji au unayenizungumzisha (Nafsi ya pili) niki kuhoji, na nitatakiwa mimi unaye zungumzisha nithibitishe endapi ni kikanusha hiki unachokisema, mathalani nikakwambia hivi "Hapana kwenye kichwani mwangu hakuna kinyesi ca paka",kisha na kuthibitishia.

Pili,ulichokiandika si Hadithi kwa maana ya ile hadithi tunayoijua na iliyo nukuliwa. Kwahiyo sahihisha jambo lako la kusema hicho ulichokiandika ni Hadithi.
 
Mimi ukinithibitishia ya kuwa hizi ni hadithi za kutunga, naacha kutumia hii ID rasmi, na wewe utakuwa shahidi.

Acheni kuandika mambo kwa lengo la kufurahisha nafsi zenu, hali ya kuwa mnajua kabisa hamna ithibati juu ya haya mnayo yaandika.
We nae unachuja sasa! Tushakuzoea na hako ka kauli kako ka kutaka wanaokataa kuthibitisha.

Sijui ni shule gani hiyo uliyosoma inayomtaka mtu anayesema kitu hakipo athibitishe. Wewe unayesema yalikuwepo kweli na yalitokea ndo unatakiwa kuthibitisha. Alafu kama hauna cha kuthibitisha naomba uwe unakaa kimya uache kabisa kuzoea kuni quote. Mfia dini usiyejielewa[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Haka kajitu ni kapuuzi tu. Kanaera sana kiasi kwamba kameanza kujulikana na katakuwa kanapuuzwa tu
 
Kwa hiyo akikwambia ameoteshwa ivyo utaamini. Yaani nyie watu wa dizaini hii sijui tuwatupe wapi!!? Na ndio mnaoamini walioawaandikia hadithi za kutungwa kuwa walioteshwa na mnatupa kazi sisi ya kuwathibitishia kuwa hawakuota.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…