Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

Huyo jamaa akili hana ni type ya wale watu ambao huwa waabishana tu vijiweni ili muda uende hana fact hawezi hata kutetea hoja zake ilimradi tu anabishana
Kuna kitu nimekiona kwanza kwa uliye mquote (Naweka akiba ya maneno).

Sababu wewe ni mmoja, swali langu usilikwepe, umedai agizo lipo kwenye kitabu na kukaidi kwa Malaika, sasa leo siku ya pili, hujatuwekea hilo agizo na kutuonyesha walivyo kaidi. Sasa utaona kati yangu mimi na wewe nani hayawani nani bazazi nani kichwa mchunga.

Kisha nakupa kazi unionyeshe wapi sijatetea hoja yangu, ukiweza naacha kutumia hii ID.
 
Kabla ya swali lako, je una uhakika kulikuwa na kanisa au msikiti wakati huo?

Kama huna uhakika kama vilikuwepo kwanini unauliza hilo swali?

Jibu kinagaubaga.
Nauliza ili nijue walifungia ndoa wapi
 
Ndoa iliwahusu Adam na Hawa pekee au binadamu wote mpaka leo?
Kwa mantiki hiyo binadamu wote hadi leo hii tumefungishwa ndoa na kauli hiyo, sasa kwanini tunafunga ndoa wakati tumeshafungishwa ndoa kwa kauli iliyotolewa na Mungu toka awali?
 
Kwa mantiki hiyo binadamu wote hadi leo hii tumefungishwa ndoa na kauli hiyo, sasa kwanini tunafunga ndoa wakati tumeshafungishwa ndoa kwa kauli iliyotolewa na Mungu toka awali?
Mwendelezo ndio jibu lako. Kwanza jiulize ndoa inafungwa wakati gani? Hapo ndipo penye jibu sahihi. Ngoja nikusaidie, ndoa inafungwa wakati wa TENDO LA NDOA. Sio kwenye hizo sherehe zilizozoeleka, wakati wa kuingiliana hiyo ni ndoa kamili. Hayo mengine ni uthibitisho tu.
 
Kuuliza ni sawa na kusema? Anayeuliza jambo ili apate kujua ni sawa na anayesema jambo analolijua? Mbona unaleta vihoja sasa
Kwa sababu hujibu seriously. Tos majibu kama mtu anayetaka mjadala, tutaongea.
 
Unahoji vipi sasa wakati mambo ya dini yamo lwenye vitabu? Kasome kwanza usipoona imeandikwa ndipo uje kuhoji
Yote unayoyafahamu katika dunia hii umeyasoma kwenye kitabu? Mtu haruhusiwi kujua jambo lolote kwa namna ingine yeyote ile isipokuwa kwa vitabu, ina maana binadamu kabla ya kugunduliwa vitabu walikuwa mambumbumbu kabisa wa maarifa? Mbona unaleta vioja?
 
Mwendelezo ndio jibu lako. Kwanza jiulize ndoa inafungwa wakati gani? Hapo ndipo penye jibu sahihi. Ngoja nikusaidie, ndoa inafungwa wakati wa TENDO LA NDOA. Sio kwenye hizo sherehe zilizozoeleka, wakati wa kuingiliana hiyo ni ndoa kamili. Hayo mengine ni uthibitisho tu.
Kwahiyo nikienda kununua malaya wawili na nikalala nao nakuwa nimefunga nao ndoa? Kwa mantiki hiyo unataka kusema wale malaya wa Sinza wameshafunga ndoa ngapi hadi leo hii? Na je zinaa definition yake ni ipi? Maana kila utakaezini nae automatically unafunga nae ndoa, hahah, we jamaa umechanganyikiwa?!
 
Mkuu hapakuwa na msikiti Wala kanisa pale Eden nadhani misikiti na makanisa hayahusiani na ndoa
Hiyo ilikuwa suggestion ya possible replies, ila bado unaweza kujibu, ndoa yao ilifungwa wapi?
 
Hiyo ilikuwa suggestion ya possible replies, ila bado unaweza kujibu, ndoa yao ilifungwa wapi?
Ila mkuu kitabu hakijasema walifunga ndoa hakijatuambia Hawa alivaa shela na Adamu suti tuliambiwa akawabariki akawaambia zaeni mkaongezeke muijaze Dunia
 
Je, walifungia ndoa kanisani au msikitini?
Waafrika bado tumelala usingizi fofofo! Hadi leo hatujajua kuwa hizi hadithi ,a kwenye vitabu vya dini ni simulizi za kutunga tu kwa ajili ya kufundishia?? Hizi ni ngano na visasili sawa na vile vya Nani atamfunga paka kengele, Jogoo aliyesema, Kisa cha mbuzi kiwa na mkia mfupi, n.k. Sema waliotuletea sisi walitwambia ni vya kweli tukazama mazima.

Kama papa mwenyewe anasema kisa cha Adam na Eva pale Eden kilikosewa kinapaswa kufanyiwa marekehisho, wewe ni nani unataka kushupaa??
 
nadhani unashindwa kuelewa point yangu ni ipi.
Usijali mijadala kama hii kuelewana ni ngumu sana ndio maana na mimi naendelea kujadiliana na wewe kwa sababu naamini point yangu hujaifahamu pia.
Haya ngoja twende unavyotaka wewe.
Sawa na mimi baadae nitaenda unavyotaka wewe ili tunogeshe mazungumzo yetu.
Unaweza kuniambia kwanini iwe lazima mtu ayatende makosa hayo
Sasa hivi nitajibu kwa kifupi ili iwe rahisi kwako kusoma na kuelewa point ya moja kwa moja.


Unaweza kuniambia kwanini iwe lazima mtu ayatende makosa hayo Kama sio ndio asili aliyoumba mwenyewe Mungu?
Ndio Mungu kamuumba binadamu katika asili ya kutokuwa mkamilifu.

Na hapa maana ya ukamilifu ninayoikusudia ni ; kutokukosea kabisa ama kutokutenda dhambi yeyote iwe hafifu ama kubwa.
Hii ndio maana ya ukamilifu.

Sasa Mungu hajawahi kusema kuwa kamuumba binadamu aliyekamilika kwamba hakosei wala hatendi dhambi,yeye mwenyewe anasema kuwa binadamu wote tunakosea na tunatenda dhambi.

Ndio maana

Kuna toba : ili aliyetenda dhambi ajirudi kwa amungu.

Kuna pepo : aliyeacha madhambi aingie huko

Kuna motoni : mfanyaji wa madhambi aende huko.

Laiti kama Mungu angekuwa kwa hakika ameumba mtu mkamilifu asiyekosea basi bila shaka asingesamehe kwa sababu wewe kwa nini ukosee na ni mkamilifu ?

Na kama ingekuwa kamuumba mtu mkamilifu hakosei basi kusingekuwa na haja ya kuwepo kwa moto na pepo kwa sababu watu wote wamekamilika hawakosei,jee motoni angeingia nani wakati watu wote ni wasafi....


Unaweza kuniambia kwanini iwe lazima mtu ayatende makosa hayo Kama sio ndio asili aliyoumba mwenyewe Mungu
Kwa maana hiyo Mungu tokea asili na asili alimuumba binadamu ambaye sio mkamilifu,sio msafi kabisa.


ili Mungu awe hajakusudia kumuumba mtu asiyekamilika kuwa hajafanya kusudi basi niambie kuwa Mungu hana uwezo wa kumuumba mtu aliyekamilika
Mungu alikusudia kumuumba mtu ambaye hajakamilika yaani hakosei kwa sababu huko kukusudia kumuumba mtu ambae hajakamilika ndio maana akampa nafsi ambayo inaweza kufanya baya na kuacha,inaweza kufanya mema na kuacha.

Kwa hiyo tafsiri ya Mungu kumuumba mtu ambaye hajakamilika ni kule Mungu kumpa mtu nafsi ambayo inaweza kufanya mema kwa kuamua,na kufanya mabaya kwa kuamua kwa maana nafsi imeumbwa na uhuru wa kufanya ilitakalo.

Na tunaposrma uhuru,kufanya jambo bila kulazimishwa tunapima ama tunajua kwa kuangalia tu matendo yetu ya kila siku.

Ukitaka kufanya jambo huoni kama kuna nguvu yeyote inayokukataza.

Yaani mfano ukitaka kula huoni kama kuna nguvu inazuia mkono wako usile,kutokuwepo kwa nguvu hiyo maana yake ndio uhuru wa kufanya unalotaka.


Kwa maana kwamba kumuumba mtu aliyekamilika ilikuwa nje ya uwezo wake.
Kukamika kwa maana ya kutokumpa nafsi yenye maamuzi ya kuchagua mema na mabaya uwezo huu alikuwa nao,

Lakini kumbuka kuwa ili iwe mtihani lazima kuwe na jaribio na ili iwe jaribio kwetu basi tuwe na uhuru wa nafsi,tuwe na nafsi ambayo haijakamilika.
Kama uwezo wa kuumba mtu aliyekamilika anao lakini yeye Mungu kwa MAPENZI yake kaamua kuumba mtu mwenye sifa ya kutokamilika
Mungu anaweza kupenda jambo na asilifanye.
Na anaweza kufanya jambo ambalo halipendi.

Kupenda kwa Mungu hajakufungamanisha na kufanya,kwamba akipenda jambo lazima afanye.

Na kufanya kwa Mungu hajafungamanisha na kupenda kwamba akifanya jambo basi lazima iwe amelipenda.

Kwa hiyo unaposema kapenda kufanya hivyo sio sahihi sema kataka kufanya hivyo.

Kama ambavyo mtu huamka mapema na kwenda kupigwa na jua shambani sio kwamba anapenda jua limpige bali kataka kufanya hivyo ili atimize malengo yake.

Kwa hiyo sio sahihi kufungamanisha baina ya kufanya na kupenda.
Sio kila lifanywalo na wahusika basi linapendwa hapanaa.
basi maanake Mungu mapenzi yake ni kumfanya binadamu awe kiumbe asiyekamilika.
Kama tulivyoelezana kuwa usiseme mapenzi,sema ametaka.

Kwa hiyo Mungu ametaka kumuumba binadamu ambaye hajakamilika kwa maana ya kuwa nafsi yake ina uhuru wakuacha zuri na kufanya baya,kufanya hiki na kuacha kile.

Huku kuwa na uwezo wa kufanya hili na kuacha lile basi ndio uhuru wenyewe huu.

Na huu uhuru wa nafsi maana yake ndio watu wanautumia kufanya mabaya,na mazuri pia.

Na ndio maanaukamilifu wa kufanya mema tu,kutokukosea akawapa malaika kwa sababu wao sasa hawapo katika miitihani ya dunia,hawapo katika kujaribiwa kabisa.
 
Back
Top Bottom