Niwataje mara ngapi mzee ?Haya sasa, wataje binadamu wa kawaida, au manabii, au mitume waliofikia ukamilifu kwa kutumia hizo ala, walau hata 10 tu
Isome comment yangu.Ndio au hapana?
Exactly my point, kitendo cha wewe kuhoji na kutaka uonyeshwe mahali kinyesi kilipo ndivyo vivyo hivyo na sisi tunavyohoji juu ya uhalisia wa hizo hadithi. Sasa sisi tunapokuhoji utupe udhibitisho wa hizo hadithi kama ni za kweli , wewe badala ya kutupa udhibitisho unataka sisi ndio tukupe udhibitisho kwamba ni za uongo. Sasa kama hapa unapohoji nikuoyeshe mahali kinyesi kilipo, nami nakwambia dhibitsha kwanza kwamba hakipo.., utajisikaje? Yaani umenihoji mahali ninyesi kilipo, halafu badala ya mimi kukuonyesha kilipo kinyesi kama ulivyohoji, mimi najitoa akili halafu nakwambia, kabla sijakuonyesha, dhibitisha kwanza kwamba hakipo, hivi utajisikiaje nikafanya hivyo?!Hili tatizo naona unakimbia jukumu la swali. Mimi ukiniambia kaulo hii sikanushi zaidi ya kukuhoji na unipe ithibati. Sasa unaposema ndiyo hivyo hivyo kama katika suala la hadithi, wewe ndiyo ulikanusha sasa inabidi ututhibitishie ya kuwa Hadithi zimetungwa, na mimi nilikuhoji na mimi sija kanusha. Sasa usibishe kwenye hakuna sababu umekanusha.
Kwahiyo mitume wote ni wakamilifu? Hata yule aliyemsaliti Yesu kwa vipande vya fedha? Au huo ukamilifu waliufikia wakiwa wameshakufa?Niwataje mara ngapi mzee ?
Mitume wote wamefikia huo ukamilifu sababu mwisho ni pepo na moto. Na wapo wasio kuwa mitume ba wapo wa elfu 70.
Sasa idadi uliyo itoa ni ndogo sana mzee, na nimekupa hiyo na ziada.
Ningekuwa sijaisoma ningekujibu? Au unataka ujibiwe vile ulivyotegemwa wewe?Isome comment yangu.
Siwezi kujibu kwa ufupi wakati jibu refu lipo.
Nionyese wapi ulipo hoji au wapi mlipo hoji juu ya hadithi zaidi ya kukanusha. Inaonekana hujui maana ya kuhoji na kukanusha.Exactly my point, kitendo cha wewe kuhoji na kutaka uonyeshwe mahali kinyesi kilipo ndivyo vivyo hivyo na sisi tunavyohoji juu ya uhalisia wa hizo hadithi.
Hamjawahi kuhoji hilo, landa muhoji sada, bali huwa mnakanusha na mnapo kanusha sasa sisi ndiyo tuna wahoji na kutaka mtuthibitishie, lakini hili mnalikwepa sababu mnajua ya kuwa hamuwezi kuthibitisha hilo. Ili nikuonyeshe hata sasa hili hamliwezi, wewe nithibitishie ya kuwa hizi hadithi ni za kutungwa, ukiweza mimi kauli yangu ni ile ile, nitaomba hii ID ifungiwe na wewe utakuwa shahidi. Hasa tujikite katika masimulizi ya Uislamu.Sasa sisi tunapokuhoji utupe udhibitisho wa hizo hadithi kama ni za kweli , wewe badala ya kutupa udhibitisho unataka sisi ndio tukupe udhibitisho kwamba ni za uongo. Sasa kama hapa unapohoji nikuoyeshe mahali kinyesi kilipo, nami nakwambia dhibitsha kwanza kwamba hakipo.., utajisikaje? Yaani umenihoji mahali ninyesi kilipo, halafu badala ya mimi kukuonyesha kilipo kinyesi kama ulivyohoji, mimi najitoa akili halafu nakwambia, kabla sijakuonyesha, dhibitisha kwanza kwamba hakipo, hivi utajisikiaje nikafanya hivyo?!
Tuliza akili na usome nilichokiandika na usihoji kile ambacho hakipo hata nikikwambia unionyeshe huwezi.Kwahiyo mitume wote ni wakamilifu? Hata yule aliyemsaliti Yesu kwa vipande vya fedha? Au huo ukamilifu waliufikia wakiwa wameshakufa?
Na mwisho kuwa pepo na moto kunawafanya vipi mitume kufikia ukamilifu? Na hao elfu 70 wasio mitume ni akina nani, sisi tumehitaji majina 10 tu unaowafahamu
Kwahiyo tunapohoji juu ya mambo mengi lukuki juu ya hizo hadithi wewe huwa unaona huko si kuhoji? Nikupe Mfano mmoja katika mingi : Hadithi inasema kwamba binadamu wa Kwanza Adam, alipata mke wake tokea ubavuni kwake halafu wakazaa watoto, hao watoto wakaenda nchi za mbali kuoa na kuolewa, sasa kwa akili za kawaida tu, hao watoto walienda kumuoa nani au kuolewa na nani huko nchi za mbali?Nionyese wapi ulipo hoji au wapi mlipo hoji juu ya hadithi zaidi ya kukanusha. Inaonekana hujui maana ya kuhoji na kukanusha.
Hili ni tatizo la kuvamia hoja kichwa mchunga. Nilikosea sana hapo awali kujadiliana na nyinyi kabla ya kuwafundisha. Naona sasa somo limeingia na umelielewa, sasa ikitokea umehoji nistue nikuthibitishie, ila kabla ya hapo thibitisha uongo wa hizo hadithi na utuonyeshe ya kuwa ni hadithi za kutungwa.
Ahsante.
Just incase hukuona watu wakihoji, basi nimekupa moja ya wanayoyahoji hapo juu, na hiyo ni moja wapo katika maelfu ya inconsistency wanazohoji watu. Mfano, imekuwaje hiyo hadithi haisemi chochote kuhusu maisha ya yesu kuanzia miaka 18 - 30, kipindi ambacho tulitegema Yesu angekuwa akitongoza wasichana na kuwapa mimba kama vile vijana wenzake wa umri huo huwa wanafanya, ni kwanini hiyo section ya umri wake iko blank? Au hizi si hoja ambazo watu wanahoji kila siku? Unataka wahoji nini ndio uone wana hoji?!Hamjawahi kuhoji hilo, landa muhoji sada, bali huwa mnakanusha na mnapo kanusha sasa sisi ndiyo tuna wahoji na kutaka mtuthibitishie, lakini hili mnalikwepa sababu mnajua ya kuwa hamuwezi kuthibitisha hilo. Ili nikuonyeshe hata sasa hili hamliwezi, wewe nithibitishie ya kuwa hizi hadithi ni za kutungwa, ukiweza mimi kauli yangu ni ile ile, nitaomba hii ID ifungiwe na wewe utakuwa shahidi. Hasa tujikite katika masimulizi ya Uislamu.
Kujitutumua kote hata tofauti ya kuhoji na kukanusha huijui, halafu mnakuja kusumbua watu. Hatulei ujinga.
Ahsante.
Katika hao uliowataja mi nimebahatika kumjua mmoja tu, nae ni Muhammad, huyo aliemiliki watumwa? Huyo alieenda vitani kupigania dini na kuua baba na waume za watu kisha kuchukua wake na watoto kama watumwa? Ukamilifu gani huo unazungumzia wewe?Tuliza akili na usome nilichokiandika na usihoji kile ambacho hakipo hata nikikwambia unionyeshe huwezi.
Ama kuhusu mitume na manabii hili nijambo sahali sana kwangu.
Ibrahiim, Is'haaq, Ismaeli, Nuhu, Dawood, Saleh, Musa, Issa, Muhammad, Yunus, Idrisa, Suleymaan, Yaqoub, Huu, Luut.
Kijana naona bado unakosea. Nukuu hadithi kama ilivyo, maana hata hadithi zina nidhamu zake za kunukuu.Kwahiyo tunapohoji juu ya mambo mengi lukuki juu ya hizo hadithi wewe huwa unaona huko si kuhoji? Nikupe Mfano mmoja katika mingi : Hadithi inasema kwamba binadamu wa Kwanza Adam, alipata mke wake tokea ubavuni kwake halafu wakazaa watoto, hao watoto wakaenda nchi za mbali kuoa na kuolewa, sasa kwa akili za kawaida tu, hao watoto walienda kumuoa nani au kuolewa na nani huko nchi za mbali?
Kuna namna nyingi za kufikishabtaarifa, unaweza ukasema exactly kilichosemwa kama hivyo, au unaweza ukasummarize hadithi ya page nzima kwa sentesi moja ili kurahisisha majadiliano, si kila ktu ana mida wa kusima aya nzima hapa. Ila hoja wanazohoji ni hizo nimekupa, labda useme kwa hivyo vipande vya hadithi havipo kwenye hivyo vitabu vya hadith, hapo sasa litakuwa ni jambo simple tu la kwenda kutafuta aya na mstari gani vilipo. Sasa jibu hizo hoja, au kama unabisha, basi sema wazi kwamba si kweli mfano: maisha ya yesu kutoka miaka 18 - 30 hayajaandikwa kitabu cha hiyo hadithi, then tokea hapo tutaenda kwenye hicho kitabu kuona kama maisha yake yameandika au laa, na katika hali kama hiyo sijui ulitaka niquote kitu gani kwa mtindo huo ulioeleza.Kijana naona bado unakosea. Nukuu hadithi kama ilivyo, maana hata hadithi zina nidhamu zake za kunukuu.
Ngoja nikupe mfano wa Hadithi na namna inavyo nukuliwa.
Amesimulia Swahaba Abdullah ibn Mas'ud (Allah amridhie) "Amesema mtume wa Allah (Amani ya Allah iwe juu yake) yeyote akifa hali ana muabudu aisyekuwa Mola, basi huyo ni motoni" [Hadithi ameipokea Imaam al Bukhariy]
Hivi ndivyo Hadithi inavyonukuliwa. Hapo nimekuonyesha nani amesimulia toka kwa nani na hiyo Hadithi imepokelewa na nani na ipo katika kitabu gani.
Sasa nukuj Hadithi kwa mtindo huu, hizi si habari za vijiweni.
Ahsante.
Sipingi jibu lako kwa uonavyo wewe.Jibu la hilo swali la Necta ni NDIO, Necta hutunga mitihani migumu ili wanafunzi wafeli kwa sababu Serikali haina pesa za kutosha za kutoa mikopo ya chuo kikuu, pia kuna vyuo vichache sana hivyo wakifaulu wengi kutakuwa na mrundikano na msongamano vyuoni. Labda uniambie kwamba huko mbinguni kuna uhaba wa bajeti ya kuhudumia watu watakaofanikiwa kuingia mbinguni, hivyo wanaweka mchujo mkali na masharti magumu
Sio ugomvi mkuu usipaniki.Ningekuwa sijaisoma ningekujibu? Au unataka ujibiwe vile ulivyotegemwa wewe?
Safi kabisa, kwanza naona umekiri na kukubali ya kuwa kuna kuhoji na kukanusha (Hapa badi unatafuta huruma na kukimbia jukumu lako).Just incase hukuona watu wakihoji, basi nimekupa moja ya wanayoyahoji hapo juu, na hiyo ni moja wapo katika maelfu ya inconsistency wanazohoji watu. Mfano, imekuwaje hiyo hadithi haisemi chochote kuhusu maisha ya yesu kuanzia miaka 18 - 30, kipindi ambacho tulitegema Yesu angekuwa akitongoza wasichana na kuwapa mimba kama vile vijana wenzake wa umri huo huwa wanafanya, ni kwanini hiyo section ya umri wake iko blank? Au hizi si hoja ambazo watu wanahoji kila siku? Unataka wahoji nini ndio uone wana hoji?!
Huu ni upuuzi mwingine, kwanza nikuulize swali unao ushahidi wa kuwa mabaki hayo kweli yana umri wa mamilioni ya miaka au wewe baada ya kupewa hiyo habari ukatosheka na kumeza kama sponchi linaponyonya maji ? Je ulihoji kwa namna gani habari hizo za mabaki ni za kweli ?Mfano, mabaki ya binadamu yamepatikana na kukutwa kuwa na umri wa mamilioni ya miaka, lakini hizo hadithi umri wake ni miaka isiyozidi hata elfu 10, ina maana kabla ya adam na hawa kulikwa na dunia nyingine tofauti na hayo madai ya hadithi kwa ndio binadamu wa kwanza? Unataka wahoji nini ndio uone kwamba wanahoji?
Sababu ulikosea tangu mwanzo basi usitarajie kupatia baada ya kukosea hili, ungekuwa na busara na umakino wa kukidhi haja, ungerekehisha ufahamu wako juu ya yale niliyo yawasilisha huko nyuma.Katika hao uliowataja mi nimebahatika kumjua mmoja tu, nae ni Muhammad, huyo aliemiliki watumwa? Huyo alieenda vitani kupigania dini na kuua baba na waume za watu kisha kuchukua wake na watoto kama watumwa? Ukamilifu gani huo unazungumzia wewe?
Safi kabisa hili ni kwa habari na si kwa hadithi, tatizo ulilivagaa tamko Hadithi bila kujua mipaka yake, na lazima ukosee kama unavyo kosea sasa.Kuna namna nyingi za kufikishabtaarifa, unaweza ukasema exactly kilichosemwa kama hivyo, au unaweza ukasummarize hadithi ya page nzima kwa sentesi moja ili kurahisisha majadiliano,
Ndoyo maana nilikwambia hapo awali ya kuwa habari uliyo itolea mfano inanipa maswali mengi, na ndiyo maana huwa tunawaambia habari hizi mtuambie mmezitoa wapi, lakini mwisho wa siku mnatokomea sababu katika vitabu vyetu habari hizi hatuzioni.Ila hoja wanazohoji ni hizo nimekupa, labda useme kwa hivyo vipande vya hadithi havipo kwenye hivyo vitabu vya hadith, hapo sasa litakuwa ni jambo simple tu la kwenda kutafuta aya na mstari gani vilipo.
Safi kabisa ili nizijibi hoja hizi lazima kwanza uniambie habari hizi mmezipata wapi usiniambie tu watu wanahoji lazima tujue ukweli wa hoja zao maana katika vitabu vyetu hasa vya uislamu sijaona habari hizi.All in All, hoja mojawapo kati ya hoja nyingi wazohoji watu juu ya hizi hadith ni hizo, zijibu sasa, hasa hiyo ya kwenda nchi za mbali na kuoa na kuolewa, walenda kumuoa na kuolewa na nani?
Ndio au hapana?Sipingi jibu lako kwa uonavyo wewe.
Ka
Sio ugomvi mkuu usipaniki.
Kuhusu suala lako kasome comment yangu nimejibu kwa urefu tu.