FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #41
Kama ndoa ilikuwa mahari, nani alipokea mahari ya Adam?Hata Kipindi cha Jacob kulikuwa hakuna biashara za kufunga ndoa. Mahari ikishakubaliwa na mzee basi unachukua goma unasepa.
Mambo ya ndoa plus harusi yaliletwa na Wazungu tu. Ndoa inaishia pale mzee anapopokea mahari tu full stop.
Sema swali ni je Adam alimpa nani mahari[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
Asante kwa kunitag mkuu
Aliyemleta adam na hawa kwa kadri ya rangi yao ilovyokuwa basi ndiye aliyemleta mchina kwa kadri ya rangi yake ilovyokuwa.Adam na Hawa Walikuwa warabu,wazungu,wahindi,wachina,waafrika ? Kama walikuwa wazungu wachina walitoka wapi? Waafrika walitoka wapi?
Mkuu kwa mujibu wa swali hili unapenda upewe majibu yanayotoka kwenye chanzo gani ?Adam na Hawa Walikuwa warabu,wazungu,wahindi,wachina,waafrika ? Kama walikuwa wazungu wachina walitoka wapi? Waafrika walitoka wapi?
Mkuu unadhani tunapeana mahari kwa utashi wetu tu ama wengi ni kutokana na mafundisho ya dini tunazoamini kuwa zimetoka kwa Mungu ?Kama ndoa ilikuwa mahari, nani alipokea mahari ya Adam?
Aliyemleta adam na hawa kwa kadri ya rangi yao ilovyokuwa basi ndiye aliyemleta mchina kwa kadri ya rangi yake ilovyokuwa.Adam na Hawa Walikuwa warabu,wazungu,wahindi,wachina,waafrika ? Kama walikuwa wazungu wachina walitoka wapi? Waafrika walitoka wapi?
Mkuu unaamini kuwa adam na hawa walikuwa ni binadamu wa kwanza ?Je, walifungia ndoa kanisani au msikitini?
Nani alipokea mahari ya adam?Mkuu unadhani tunapeana mahari kwa utashi wetu tu ama wengi ni kutokana na mafundisho ya dini tunazoamini kuwa zimetoka kwa Mungu ?
Walifungia ndoa kanisani au msikitini?Aliyemleta adam na hawa kwa kadri ya rangi yao ilovyokuwa basi ndiye aliyemleta mchina kwa kadri ya rangi yake ilovyokuwa.
Aliyemleta adam na hawa ndiye aliyemleta mzungu huyo huyo.
Hiyo ni kuonesha kuwa Mungu anauwezo wa kuumna watu tofauti tofauti kabisa,kama ambavyo Mungu kaumba kuku,bata,njiwa, hawa wote ni ndege lakini jamii tofauti kabisa.
Lakini kwa mtazamo wangu binafsi naona kama adam alikuwa mtu mweusi hivi japo kuwa hakuna faida yeyote ya kujua rangi ya adam.
Mkuu unaamini kuwa adam na hawa walikuwa ni binadamu wa kwanza ?
Mungu ndiye aliyewafungisha na Mungu alipo ndipo madhabahu yake ilipo aliwafungisha kwenye madhabahu yake na akawapa ruksa baada ya kuwafungisha kuwa Sasa wanaruhusiwa kulalana na kuzaliana waijaze dunia.Aliwaoza kwanza ndipo akawapa ruksa ya kuzaaWalifungia ndoa kanisani au msikitini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Na watoto wa huo uzinzi walifunga ndoa wapi na lini, na walifunga ndoa na nani wakati hapakuwa na watu duniani? Incest? Na aliwapa ruhusa ya kufanya incest?
Kwani simu ya kwanza ilikuwa Samsung, iphone,itel,tecno,oppo, au siemens...kama ilikuwa philips hizi nokia zimetoka wapi..Adam na Hawa Walikuwa warabu,wazungu,wahindi,wachina,waafrika ? Kama walikuwa wazungu wachina walitoka wapi? Waafrika walitoka wapi?
Hiyo ndoa umeisoma kwenye kitabu kipi, au wewe ni time traveller?Mungu ndiye aliyewafungisha na Mungu alipo ndipo madhabahu yake ilipo aliwafungisha kwenye madhabahu yake na akawapa ruksa baada ya kuwafungisha kuwa Sasa wanaruhusiwa kulalana na kuzaliana waijaze dunia.Aliwaoza kwanza ndipo akawapa ruksa ya kuzaa
Ndoa ilifungwa na Mungu mwenyewe kwenye madhabahu yake takatifu
Biblia ndio inatamka hivyo kuwa Mungu ndie aluwafungisha ndoa na akawapa ruksa ya kunamihiana palepale na kulibariki tenda lao la ndoa kwa kuwatamkia wazee wakaonfezeke wakaijaze duniaHiyo ndoa umeisoma kwenye kitabu kipi, au wewe ni time traveller?
Zimeundwa na watu.Hujajibu wametoka wapi? Hujajibu adamu alikuwa kundi gani kati ya hao?Kwani simu ya kwanza ilikuwa Samsung, iphone,itel,tecno,oppo, au siemens...kama ilikuwa philips hizi nokia zimetoka wapi..
Kauli ya ‘wazae wakaongezeke wakaijaze dunia’ iliwalenga Adam na Eva tu au iliwahusu binadamu wote hadi leo hii?Biblia ndio inatamka hivyo kuwa Mungu ndie aluwafungisha ndoa na akawapa ruksa ya kunamihiana palepale na kulibariki tenda lao la ndoa kwa kuwatamkia wazee wakaonfezeke wakaijaze dunia
Wameundwa na Mungu...ktk uumbaji wa adamu Mungu alichukua sample ya udongo wa aina tofautitofauti...na lengo la hvyo ili tupate kutambuana na kufahamiana makabila na mataifa mbalimbali...Zimeundwa na watu.Hujajibu wametoka wapi? Hujajibu adamu alikuwa kundi gani kati ya hao?
We we unajifananisha na simu.Mbona sasa haubadiriki kuwa mtu mwingine kama simu zako hizo za Nokia ambazo zinabarika kola kukicha .
Tena binadamu wazamani walikua wanaishi Miaka mingi Sana. Na walikua na nguvu Sana..nuhu alilingania Miaka 900 naaa... Sasa hayo yote Ni Mapenzi ya Mungu anampa amtakae na anamyima amtakae.. IWameundwa na Mungu...ktk uumbaji wa adamu Mungu alichukua sample ya udongo wa aina tofautitofauti...na lengo la hvyo ili tupate kutambuana na kufahamiana makabila na mataifa mbalimbali...
Tunabadilika mkuu...kwani mkuu binadamu wa karne hii ni sawa na karne za mitume wa zamani..
Hawakufunga kanisani wala msikitini.Walifungia ndoa kanisani au msikitini?
Kwa hiyo unaamini kwamba hawa alikuwa na baba yake na mama uake na nyumba yao ambayo Adam angepeleka mahari hapo nyumbani kwa hawa baada ya kumaliza taratibu za kuposa na kutuma washenga ?Nani alipokea mahari ya adam?
Elewa ilikuwa unatoa mahari unachukua goma. Sio kwenda Church au msikitini kufunga ndoa. Kama ni ng'ombe unatoa uliambiwa unachukua mzigo unasepa.eti ililetwa na wazungu nonsense unataka kutuambia kuwa kabla ya wazungu kuja Africa kulikuwa hamna ndoa?