Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,608
- 1,286
MshambaHalafu wenye Akili Kubwa tukisema kuwa Tanzania ya sasa huenda ikawa na Viongozi Wehu zaidi mnaanza Kuchukia.
Mwl Nyerere ndiyo alianzisha utaliiHalafu wenye Akili Kubwa tukisema kuwa Tanzania ya sasa huenda ikawa na Viongozi Wehu zaidi mnaanza Kuchukia.
Hivi land Rover inadaiije uhuru mkuu ?Landrover ilitumika kudai uhuru.
Mwalimu Nyerere alitumia landrover.
Kuna wengi wanapambana ku-undermine hili tamasha lakini wamefeli big time...
Landrover ni iconic car, si tu uhuru wa tanzania, nchi nyingi sana imetumika, from military, NGOs, to private . Work horseLandrover ilitumika kudai uhuru.
Mwalimu Nyerere alitumia landrover.
Kuna wengi wanapambana ku-undermine hili tamasha lakini wamefeli big time...
Anayekukaza Kutwa.Mshamba
Unategemea kabisa huyo Mpumbavu akujibu hizi Hoja zako nzito Mkuu?Hivi land Rover inadaiije uhuru mkuu ?
Hivi kati ya harakati zote za Nyerere land Rover ndo ipewe kipaumbele
Ina maana bila land Rover tusingepata uhuru ?
mshamba tu wewe mamayako anakusubili ukamkaze hukoAnayekukaza Kutwa.
Nilijua tu kuwa Sindano yangu ikikuingia utawewesuka nayo kama ulivyojibu hapa.mshamba tu wewe mamayako anakusubili ukamkaze huko
Jamaa unafanana sana na BashiteHuyo jamaa anajiitaga akili kubwa anajionaga genius ila ukipitia threads na posts zake ni mweupe tu kichwani. Na anaamini yeye ndo yupo sahihi tu. Siku zote wanaojionaga wajanja sana ukiwafatilia ndo washamba wenyewe.
Masikitiko kwa kweli.Halafu wenye Akili Kubwa tukisema kuwa Tanzania ya sasa huenda ikawa na Viongozi Wehu zaidi mnaanza Kuchukia.
Upo sahihi kwa mtazamo wako. Na haki yako ya kikatiba kuwa na mtazamo huo.Jamaa unafanana sana na Bashite
Samahani sana mkuu kama kukufananisha na Bashite nimekukoseaUpo sahihi kwa mtazamo wako. Na haki yako ya kikatiba kuwa na mtazamo huo.sama
Upo sahihi kwa mtazamo wako. Na haki yako ya kikatiba kuwa na mtazamo huo.
Usijali mkuu.. wala sijakasirika. Ni mambo ya mitandao ya kijamii. Tupo humu kuondoa stress kama sio kuzipunguza.Samahani sana mkuu kama kukufananisha na Bashite nimekukosea
mshambaNilijua tu kuwa Sindano yangu ikikuingia utawewesuka nayo kama ulivyojibu hapa.
Kwani Nyerere yeye ndo nani!?Halafu wenye Akili Kubwa tukisema kuwa Tanzania ya sasa huenda ikawa na Viongozi Wehu zaidi mnaanza Kuchukia.
Mi simpendi tu Bashite. Lkn kwa hili yaani basi natamani kama isiwe ni ubunifu wakeLandrover ilitumika kudai uhuru.
Mwalimu Nyerere alitumia landrover.
Kuna wengi wanapambana ku-undermine hili tamasha lakini wamefeli big time...