Je, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere angependa tuwe na Tamasha na Land Rover Arusha au tupambane zaidi na Maadui wakuu wa nchi aliowataja?

Je, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere angependa tuwe na Tamasha na Land Rover Arusha au tupambane zaidi na Maadui wakuu wa nchi aliowataja?

Landrover ilitumika kudai uhuru.
Mwalimu Nyerere alitumia landrover.
Kuna wengi wanapambana ku-undermine hili tamasha lakini wamefeli big time...
Hivi land Rover inadaiije uhuru mkuu ?
Hivi kati ya harakati zote za Nyerere land Rover ndo ipewe kipaumbele
Ina maana bila land Rover tusingepata uhuru ?
 
Landrover ilitumika kudai uhuru.
Mwalimu Nyerere alitumia landrover.
Kuna wengi wanapambana ku-undermine hili tamasha lakini wamefeli big time...
Landrover ni iconic car, si tu uhuru wa tanzania, nchi nyingi sana imetumika, from military, NGOs, to private . Work horse

But it doesnt mean tuabudu hilo gari
 
Lengo kuu litakuwa ni kuimarisha umoja, na si kuangalia hayo magari
 
Hivi land Rover inadaiije uhuru mkuu ?
Hivi kati ya harakati zote za Nyerere land Rover ndo ipewe kipaumbele
Ina maana bila land Rover tusingepata uhuru ?
Unategemea kabisa huyo Mpumbavu akujibu hizi Hoja zako nzito Mkuu?
 
Halafu wenye Akili Kubwa tukisema kuwa Tanzania ya sasa huenda ikawa na Viongozi Wehu zaidi mnaanza Kuchukia.
Kwani Nyerere yeye ndo nani!?
Zaidi ya kuwa binadamu mwenye mapungufu yake kama wengine tu!
 
Usikute na yeye angekuwa Arusha na Land Rover lake

1000012929.jpg
 
Landrover ilitumika kudai uhuru.
Mwalimu Nyerere alitumia landrover.
Kuna wengi wanapambana ku-undermine hili tamasha lakini wamefeli big time...
Mi simpendi tu Bashite. Lkn kwa hili yaani basi natamani kama isiwe ni ubunifu wake
 
Ye mwenyewe alishindwa kupambana na Hao maadui iliiacha maskin Maradhi na Ujinga wa kupitiliza
 
Back
Top Bottom