green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Kazi ya makamu hujaielewa hadi sasa au unamatatizo ya ufahamuJPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere
Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
Zama za maweMkweli mzee Asaad wengine fyekelea mbali
Yaani alikuja kuleta Hasara mara mbili huku akishangiliwaKama madini yanatoroshwa kama zamani sasa unafaida gani
Msianze kimsakama yule mama, yule mwendazake alikua hashauriki kwani mwenyewe alikua haoni kama abakosea na kuuwa kila kitu jwa wananchi wakeJPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere
Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
Ninachokiona mimi mama samia anatengeneza njia ya kugombea Urais 2025Au maza kashalishwa kaseti na yule mzee mwenye tabasamu muda wote,
au maza nae alimchukia hayati kama walivyofanya mabeberu?
Au maza kafurahi paka ametoka?
Au maza anajua yaliyomkuta mzee?
Au maza, au au au
Inawezekana ww ndo unamatatizo ya ufahamu, moja ya majukumu ambayo makamu anakula kiapo kabisa kwa mujibu wa katiba ni kumshauri Rais tena kwa hekima, je alifanya kazi yake? kama alifanya kazi yake bhasi yote tunayoyaona na ambayo anayatoa au kuyabatilisha yeye pia ameshiriki.Kazi ya makamu hujaielewa hadi sasa au unamatatizo ya ufahamu
haya mazingira aliyatengeneza mwenyewe. na hakuna mchawi hapa ila yeye.Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Mara kadhaa alikuwa anarudia phrase kuwa ' yeye hashauriki'Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Mwendazake alikua mkoloni mweusiJPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere
Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
Magu ni mtu ambae alikuwa hashauriki.JPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere
Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
Kajamaa kalikuwa abnormal kale, trust me.Marehemu aliwahi kunukuliwa akipayuka "Mimi sipangiwi. Tena ukinishauri ndo unaharibu kabisa"
Hakudanganywa aliaambiwa alichotaka kusikia.rudisha kumbukumbu nyumaaaa.kijana aliyeibua ubovu wa hostel za Magufuli udsm alikanatwa badala ya kukamatwa mjengaji.taasisi zote hawakutakiwa kuogelea mapungufu katika serikali.ukikosoa mtendajiu au utendaji ni tatizo.wapendwa wake kama akina kakonko untouched kwa namna yeyote.Mfugale aliwahi kutunushia nauli PM alitoa amri meneja wa tanroad morogoro aondolewe arudishe makao makuu.mwendazake alipenda asikike yeye tu anaibua na kutumbua.ukiwa na maoni tofauti haumfai.wengi tuna njaa ikawa tumikia kafiri upate mradi wako.Mimi binafsi hainingii akilini aliyekuwa msaidizi wako mkuu kama makamu wa rais afanye mabaliko makubwa kama haya kwa muda mfupi.
Kwamba malalamiko ya ukusanyaji kodi hayati JPM hakuyasikia? Malalamiko juu ya wawekezaji kusumbuliwa? Masuala ya ajira na mshahara unaotakiwa?
Je, hawaaminiki tena?
Wapi nimesema 50? Nimesema ELFU 50 huwa wanaacha shule annually sababu ya mimba-related/ndoa za udogoni.Hii takwimu ya kuwa enrollment ni 98% alafu 50% wanaacha shule kwa ujauzito uliipata wapi?
Hilo la kumaliza shule huku hawajui kusoma utakuwa upo sawa.
Kiongozi wa bora wa kizazi hiki alikuwa hashauriki, sijui hiyo sifa ya ubora inatoka wapi!!JPM atabaki kuwa kiongozi bora wa kizazi hiki cha sasa ukitoa Nyerere
Najiuliza hv kazi ya makamu wa Raisi ni nini kwa hali inavyooneka tunawalipa watu mishahara na kuwatunza wasiotekeleza majukumu yao aiwezekani makamu wa Rais ambae umezunguka nchi nzima kwenye kampeni tena ukala kiapo cha kumshauri Raisi kwa hekima leo tunashangaa na ww unashangaa mambo yaliofanyika na kuyabadili kana kwamba hukushiriki ktk kuanzishwa kwake.
Nilikosea kuangalia bandiko. Kwa kuwa elfu 50 wanaacha masomo ndio mnataka kuanzisha vuguvugu la kutaka warudishwe mashuleni wanapomaliza kujifungua?Wapi nimesema 50? Nimesema ELFU 50 huwa wanaacha shule annually sababu ya mimba-related/ndoa za udogoni.
Utafiti ulifanyika kwamba waliomaliza darasa la saba (Public) wengi hawawezi kusoma sentensi ya kiingereza na hyu mnategemea akasome mpka chuo kwa lugha asiyoiweza.
Matatizo ya content quality ni mengi kuzidi 98% enrollment-political ploys.
Issue sio warudishwe au lah.... Kila mtoto ana haki ya kupata elimu. Hauwezi uka risk kuzalisha mambumbumbu elfu 50 kila mwaka hvi unategemea taifa litakuaje baadae?Nilikosea kuangalia bandiko. Kwa kuwa elfu 50 wanaacha masomo ndio mnataka kuanzisha vuguvugu la kutaka warudishwe mashuleni wanapomaliza kujifungua?
Hilo la kuzalisha wanafunzi wasioweza kusoma kiingereza baada ya kuhitimu la saba ni suala ambalo linatatuliwa kwa kuboresha ubora wa elimu.