ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Kngeza mtoto wake mmoja ni pung yupo kwa charles zamani malkia, lisu yeye alishafunga ndo na jinaume, kengeza ndoa ilishayumba ni punga ndiyo maana anaitwa mzee wa cheni hahaha, yaani CCM ndiyo chama la kidumeMabwabwa ya ccm mmechanganyikiwa na bado kufikia 2025 lazima wote mpate mimba na ndio mwisho wenu wa kupokea buku saba.
Makubaliano hata Mw Nyerere alifanya na wakoloni ila sio kwamba alitoka kwenye mstari wa kile anakipigania hadi pale alipoikamilisha safari,Amedai kana kwamba hakuna makubaliano yoyote waliyoyafikia na mheshimiwa rais, huko ni kukosa busara.
Umenena ukweli ndiyo maana sisi chawa wa mama wenye akili nyingi hii tunaiita ni hadaa kubwa san kwa mama. Yaani vitu anavyovifanya mama tangu aapishwe havina mashiko baadhi yake. Kwa mfano watanzania bado wapo msibani yeye mara eti siku 100 za Samia, mara miaka miwili ya Samia kwani yeye ndiye aliyepigiwa kura za urais 2020???? Kwa nini asingejikita kimya kimya kufanya kazi akielewa taifa lipo msibani mpaka 2025 ili aibuke sasa???? Kuna haja gani ya kusherehekea?????? Rais Samia kadanganywa sana na wanaomzunguka ili kumharibia ikifika 2024 tutashuhudia mambo mengi na atageukwa na kila anayemsifia sasa na kauli zake za kumbeza/kebehi Dkt Magufuli kama mtangulizi wake zinazidi kuwa na ushahidi kiasi kwamba wapinzani wataitumia kama kete ya kumfanya asikubalike kwa wapiga kura na huo ushahidi upo mfano wa machinga kufukizwa/kupigwa, bei kupanda bei etc. Kwa ufupi Rais Dkt Samia alipaswa kuelewa wale aliowafia Dkt Magufuli mikononi mwao ndiyo hao hao waliomshawishi agombee na ndiyo hao hao bado wanaomboleza ila wanahitaji kujua uhusika ili kuepuka kujirudia makosa basi ni wapole wala hawapigi kelele maana wengine hata access ya JF hawana. Mungu amfugue Rais Dkt Samia aweze kuelewa kuwa kundi analotembea nalo ni la wanafiki.Makubaliano hata Mw Nyerere alifanya na wakoloni ila sio kwamba alitoka kwenye mstari wa kile anakipigania hadi pale alipoikamilisha safari,
Shindwa na ulegee , sitaki ona tena au sikia chawa anacomment andiko langu ,badala ya kuwa chawa wa Mungu unakuwa chawa wa binadam mwenzako pumbavuUmenena ukweli ndiyo maana sisi chawa wa mama wenye akili nyingi hii tunaiita ni hadaa kubwa san kwa mama. Yaani vitu anavyovifanya mama tangu aapishwe havina mashiko baadhi yake. Kwa mfano watanzania bado wapo msibani yeye mara eti siku 100 za Samia, mara miaka miwili ya Samia kwani yeye ndiye aliyepigiwa kura za urais 2020???? Kwa nini asingejikita kimya kimya kufanya kazi akielewa taifa lipo msibani mpaka 2025 ili aibuke sasa???? Kuna haja gani ya kusherehekea?????? Rais Samia kadanganywa sana na wanaomzunguka ili kumharibia ikifika 2024 tutashuhudia mambo mengi na atageukwa na kila anayemsifia sasa na kauli zake za kumbeza/kebehi Dkt Magufuli kama mtangulizi wake zinazidi kuwa na ushahidi kiasi kwamba wapinzani wataitumia kama kete ya kumfanya asikubalike kwa wapiga kura na huo ushahidi upo mfano wa machinga kufukizwa/kupigwa, bei kupanda bei etc. Kwa ufupi Rais Dkt Samia alipaswa kuelewa wale aliowafia Dkt Magufuli mikononi mwao ndiyo hao hao waliomshawishi agombee na ndiyo hao hao bado wanaomboleza ila wanahitaji kujua uhusika ili kuepuka kujirudia makosa basi ni wapole wala hawapigi kelele maana wengine hata access ya JF hawana. Mungu amfugue Rais Dkt Samia aweze kuelewa kuwa kundi analotembea nalo ni la wanafiki.
Mimi ni Chawa Wa Mama, ni uhuru wangu na nina amini Rais Dkt Samia anahitaji wa kumtetea/kumsemea kila pahala. Karibu tujiunge kuwa chawa wa mamaShindwa na ulegee , sitaki ona tena au sikia chawa anacomment andiko langu ,badala ya kuwa chawa wa Mungu unakuwa chawa wa binadam mwenzako pumbavu
Shindwa chawaMimi ni Chawa Wa Mama, ni uhuru wangu na nina amini Rais Dkt Samia anahitaji wa kumtetea/kumsemea kila pahala. Karibu tujiunge kuwa chawa wa mama
Proudly Chawa wa Mama, tupo tumejaa teleShindwa chawa
Nakweli kama iyo profile ni yako ,Kiroho we ni chawa mzoefu , na mama anatakiwa kuwa makini na aina ya chawa wake, mfano kwa profile yako unaweza muuza mtu anajiona ,janja janja sana ,sio mkweli , hakuna kitu unaamini kirahisi ,bisha kama iyo picha ni yakoMimi ni Chawa Wa Mama, ni uhuru wangu na nina amini Rais Dkt Samia anahitaji wa kumtetea/kumsemea kila pahala. Karibu tujiunge kuwa chawa wa mama
Machawa wa Mama tupo tumejaa tele tele, sema hoja yako tukujibu.Nakweli kama iyo profile ni yako ,Kiroho we ni chawa mzoefu , na mama anatakiwa kuwa makini na aina ya chawa wake, mfano kwa profile yako unaweza muuza mtu anajiona ,janja janja sana ,sio mkweli , hakuna kitu unaamini kirahisi ,bisha kama iyo picha ni yako
Mungu akinipa Kibali nitafanya mfungo wa chawaProudly Chawa wa Mama, tupo tumejaa tele
Jibu nilichokuuliza kabla ya kuuliza swali,Machawa wa Mama tupo tumejaa tele tele, sema hoja yako tukujibu.
Rudia swaliJibu nilichokuuliza kabla ya kuuliza swali,
Ana maana kuwa ujumbe ni tofauti na hali halisi, bado kuna watu wananung'unika, so, kasoro zote zomalizweHoja ya Lissu ina nguvu , naiunga mkono , wanafiki wanaomdanganya Hangaya ndio wanatumia picha hizi kupotosha jamii , hatutakubali
Heshima kitu cha bure, usitukane watu bure na kuwaita malaya, unless unaushahidi usiotia shaka uliwashuhudia wakigawa ama wakiuza ....Mayala maana yake njaa.
Huna hoja wewe labda kuhadaa watu eti lissu anahitaji kusaidiwa wewe unachoweza ni wakati ukiwatetea wale malaya halima mdee na wenzake,apart from that nothing you can give substantive
Inafaa pia kujiuliza, hizi kampeni hasa ni za nini wakati huu?
Ni nini lengo lake hasa!
Hamtaki kusikia ukweli, mnapenda kila mtu amsifie hata kama sifa nyingine hanaAkiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni.
View attachment 2564267
Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini?
Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa shirikishi? tena ameyasema hayo baada ya maridhiano na chama cha Lissu!
Kwamba Lissu hana uvumilivu au hakubaliani na msimamo wa chama chake ama ni kukosa tu hekima na busara?
Alafu hili la kudai hela zake kila mara hili ni nini hasa? Kwamba ndio sera yake endelevu? Si alisema amelipwa huyu? 🤣🤣🤣
Na hiyo viza ya Ubelgiji inachukuwa miezi mingapi kuihuisha?? Au ndio yaleyale ya akina Liberatus Mwang'ombe ya kurudi wakati wa uchaguzi alafu wakiangukia pua haooo wanakimbilia zao 'makwao' kwa mabeberu?
Hii sijui ni kweli?!Hamtaki kusikia ukweli, mnapenda kila mtu amsifie hata kama sifa nyingine hana