econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Jiandae 2025 sukuma gang wataungana na samia kuwapelekea moto machadema
Waungane tu kwani shida Nini? Mbona mmejazana bungeni na ufisadi unaendelea na Mikopo Kama yote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiandae 2025 sukuma gang wataungana na samia kuwapelekea moto machadema
Kngeza mtoto wake mmoja ni pung yupo kwa charles zamani malkia, lisu yeye alishafunga ndo na jinaume, kengeza ndoa ilishayumba ni punga ndiyo maana anaitwa mzee wa cheni hahaha, yaani CCM ndiyo chama la kidume
Tanzania haifungamani na nchi yo yote au kikundi cho chote kile duniani. Hili ni kwa mjibu wa katiba yetu pendwa. We are a non aligned country. Hivyo tunakopa kwa ye yote aliye na fedha. U left au u right wake au u LGBTQQIP2 wake hautuhusu.
Jamaa yenu yeye kanogewa kuishi na ma LGBTQQIP2. Kaja hapa, baada ya wiki mbili tu ka wamiss ile mbaya hao ma LGBTQQIP2 wake, ikabidi arudi kimya kimya kwenda kujumuika nao. Tukimpa uraisi atakuwa anaishi huko akiongoza nchi kwa njia ya mtandao. Ni hatari bin hatari. Mungu atuepushe watanzania.
Lissu atakapousema Tu ukweli chama chake kitamtenga na kutukanwa mitandaoni hataamini
Lissu ana 'vichwa viwili!' Hiki alichoandika kimetoka ktk kile kichwa original cha kutojua nini cha kusema, wakati gani, mazingira gani, dhidi ya nani na nini matokeo ya kauli. Asaidiwe hekima na busara. 🙏🙏🙏
Hivi mkimuangalia vizuri huyu anatofauti gani na Yule mzee wanaye mlaumu kila siku?
Yaani ni nafuu Sana Mzee alikuwa anawabeba wanyonge lkn huyu atatutesa Sana Kwanza ni much know anajua kila kitu!
Mama nae ana shobo sana kwa ma mtu yasiyo na malezi acha apewe za uso
Kwa akili yako unadhani bila jitihada kubwa za wale madaktari wetu wa pale Dodoma Government Hospital, angeweza kufika Nairobi Hospital? Si angeishia hapo hapo Dodoma. Kama madaktari wetu waliweza kuokoa maisha yake pale Dodoma, kwa akili yako hao madakari wetu ndiyo wangalishindwa kuweka hiyo misumari, plates na screws kwenye hiyo mfupa yake ya mguu mmoja?Mmeshindwa kukamata waliompiga risasi ndio mumtibu akiwa huku?. Nyie ni wauaji Hakuna wa kuwaamini, na mtaondoka hivyo hivyo kimya kimya.
Hoja sina. Hapa nilipo wapenzi wa Magufuli wana hasira sana na mama jinsi anavyopindua legacy. Bila shaka una karama ya pekee kuwaona Magufuli na Samia kitu kimoja. I agree with you, plausibly 🤔.Dkt Magufuli na Rais Dkt Samia ni kitu kimoja. Mimi ni chawa wa CCM, chawa wa mwenyekiti wa CCM, chawa wa Rais Dkt Samia. Sema nikujibu hoja yako.
Raia wa Marekani umzingue kwa ubavu upi ?Liberatus Mwangombe sio mtanzania alishachukua uraia wa Marekani. Wanamchora tu na hiyo michezo yake ya kitoto siku akijaa atajua hajui 🤣
Hata hayo malumbano yawezekana pia yamo kwenye maridhiano !!Hoja ya Lissu ina nguvu , naiunga mkono , wanafiki wanaomdanganya Hangaya ndio wanatumia picha hizi kupotosha jamii , hatutakubali
Lisu nae ni Beberu🐐🐐,..ubeberu huwa unaanza kama mbuzi ivo ivo!😉😉Lissu ni debe tupu
Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni.
Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini?
Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa shirikishi? tena ameyasema hayo baada ya maridhiano na chama cha Lissu!
Kwamba Lissu hana uvumilivu au hakubaliani na msimamo wa chama chake ama ni kukosa tu hekima na busara?
Alafu hili la kudai hela zake kila mara hili ni nini hasa? Kwamba ndio sera yake endelevu? Si alisema amelipwa huyu? 🤣🤣🤣
Na hiyo viza ya Ubelgiji inachukuwa miezi mingapi kuihuisha?? Au ndio yaleyale ya akina Liberatus Mwang'ombe ya kurudi wakati wa uchaguzi alafu wakiangukia pua haooo wanakimbilia zao 'makwao' kwa mabeberu?
======
Kupamba mji kwa mabango hakuleti umoja wala kuondoa uhasama. Katiba Mpya, Mfumo Huru wa Uchaguzi, Tume ya Ukweli, Haki & Upatanishi ndio jibu. Ondoa ukimya juu ya waliotaka kuniua & walioua, kupoteza & kutesa Watanzania wengine. Lipa haki zangu & za wengine ndio utuwekee mabango!
Liberatus Mwangombe sio mtanzania alishachukua uraia wa Marekani. Wanamchora tu na hiyo michezo yake ya kitoto siku akijaa atajua hajui 🤣
Mama hajui misingi ya kuwa na kuitwa Rais,nafasi hii kwakweli tumepigwa,mama hana tofauti na Hamornise kwenye Mabango...kama Samia ameridhia bango hilo basi atakuwa amekosa busara.
..vilevile atakuwa ni laghai, na mpenda sifa na umaarufu.