econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mwambie Kaka Yako hapo Machame ndio anakula buyu kimya kimya
Yaan Mtaambia nini watanzania wanafiki nyie
Watanzania wanaongozwa na CCM , ndio Ina Cha kuwaambia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie Kaka Yako hapo Machame ndio anakula buyu kimya kimya
Yaan Mtaambia nini watanzania wanafiki nyie
Ni sababu zipi zimemfanya Tundu Lissu akatishe harakati zake za siasa Tanzania na arejee uhamishoni Ubelgiji?
Wewe na lissu wote hamna akili.
Hiyo yajulikana uzuri tu.
Lakini ni sawa kwa CCM kufanya hivyo maana ni kwamba mpango wa CCM ni kuelekea mchakato wa 2025 bila bughudha.
Ila suali ni kwamba kwanini Tundu Lissu amerejea Ubelgiji na huenda pengine asirudi hivi karibuni?
Lissu analilia buyu la asali.
Yanapokea ruzuku waliodai ni haramu alafu yanabweka!
Wamebariki uchaguzi waliokataa 2020 na bado wanajitekenya tu
Malabu*u
Mmelamba asali wenyewe mkamtosa Lissu. Lissu alijua mbowe ana masihara na njuruku?
Tukimpa uraisi hazina yetu ataikausha kwa kuipeleka kwenye akaunti yake huko Uswizi.
Hawa jamaa ni nyumbu ila Kuna baadhi ya raia apa wanaweka Imani zao kwao kama chama Chao kimemukubali mwenyekiti wa CCM wengine mnangoja nn chama hamna pale wanesalim amri kwa kisingizio Cha Maridhiano Hangaya ni shujaa kawamaliza kwa macho tu nyumbu wote imooo
Hivyo vi plates, screws na nails vilivyowekwa kwenye long bones za mguu wake wa kulia, mbona mabingwa wetu wabobezi waliopo pale MOI wana utalaamu huo huo sawa na hao wabeligiji na mama kawapatia vifaa tiba vyote na vya kisasa sawa na hivyo walivyo navyo wabeligiji. Huyu tukimpa uraisi akiumwa hata mafua tu yeye au mke au watoto wake watakuwa wanaenda kutibiwa Ubeligiji. Hawaamini watalaamu wetu na hataboresha vitendea kazi vyao ili viwe sawa na hivyo vya kwao ubeligiji.
Upasuaji wake huo wa kuweka plates and nails in in his lower limb bones ni upasuaji wa kawaida tu ambao MOI wanafanya kila siku. Hata kwenye hospitali zetu za kanda na mikoa unafanyika kwa ufanisi mkubwa. History ya ugonjwa na upasuaji wake uko well documented. Siyo lazima check up ifanywe na daktari huyo huyo mmoja. Ina maana akiwa hayupo kwa sababu ye yote hususani kwa ugonjwa, kustaafu, kufariki dunia etc daktari mwingine atashindwa kufanya proper check up? Hizo plates, nails na screws zitakaa milele kwenye hiyo mifupa yake na haihitaji any check up. They are permanent parts of his body. No complications is expected from them
Mimi nilishawaambia zamani tu kuwa lisu #dishlimetilt - upstairs kuna walakini, sijui ni kwa nini hamuelewi?
Naona mnasubiri mpaka aanze kuokota makopo ndiyo muuelewe huo ukweli. Basi endeleeni!
Kwani maridhiano kulikuwa na mgogoro upi? Hawa watu wanabembelezwa sana na hawana utu. Eti mikutano ya hadhara, utoto mtupu! Kama walikataa uchaguzi baada ya kugaragazwa vibaya 2020, wakumbuke kwamba hatujafanya uchaguzi mpya, rais huyu pia alitokana na uchaguzi ule. Walimkataa jpm lkn wsnamkubali huyu, halafu wote wanatokana na ccm ile ile ambayo wanadai iliiba kura.
Mnajisumbua akili bure.
Tume ya ukweli na haki ya kazi gani? Tume huru ya uchaguzi mnafikiri ndo itakuwa na watu gani ili iwe huru?
Katiba pendekezwa ipo so ili tuendelee tutaanzia pale tulopoishia kwa mujibu wa sheria.
Huu ndio ukweli Watz wengi wepesi Sana vichwani,
Mimi nilishasema toka siku ile ya BAVICHA kumwalika Mwenyekiti wa Ccm Taifa,
Kwanza hamna maridhiano bali ulaghai tu ccm Ni magwiji wa siasa chafu na itabaki hivyo.
Pili,inachofanya Ni kuwasalitisha au kuwatenganisha Mbowe na Lisu,na hii ni strategically mmoja anapewa Asali nyingi mwingine kidogo ,huku wakivuta muda wasuchaguzi..
Tatu,Ccm inachelewesha haya mambo ya Tume Huru na Katiba Mpya kwa kuwazubaisha viongozi wa Upinzani,ukiona imefika 2024 ccm haiwezi kufanya Katiba Mpya Kama hoja yake(yaani inajipanga na uchaguzi tu kwisha)..Lisu akipiga Sana kelele atamaliziwa buyu lake na hapo muda utakuwa ushaenda..
Narudia hayo mnayoita Maridhiano Ni usanii Mtupu..
Na Ni ulambaji wa Asali kwa tuliowaamini na atayepata Asali kidogo hatoyaunga mkono..
Hakuna mwanasiasa wa kuonja kura yangu Wala ya mwanafamilia Yangu..
Mifumo ya tehama tuliyonayo inawezesha mawasiliano ya kuonana live (video conference or zoom) na madaktari wake wa Ubeligiji) wakati wa hiyo check up yake. Inawezesha madaktari wake wa Ubeligiji kumfanyia hiyo check up akiwa hapa hapa Tanzania (telemedical consultation & treatment).
Kuhusu gharama ya matibabu yake hapa Tanzania, chama chake kingamlipia bila wasi wasi wo wote tena kwa viwango vya VIP patient. Gharamq ya matibabu yake huko Ubeligiji analipiwa na Akina Robertson ambao tutakapompa uraisi watakuja kubeba maliasili zetu zote free of charge na kutufanyia u LGBTQQIP2.
Basi kengeza atakuwa kaumia sana maana anajua hela waliyochukua ilipaswa lisu aka punga anyamaze kimya jamani jamani mhh
walisema wenyewe siasa za uadui zimeisha.
sasa kelele za nini tena kwenye gesture hii ya urafiki?
Nakubaliana na wewe mkuu.
Wanasema uchaguzi haukuwa wa haki lakini wapo pamoja na aliyetokana na huo uchaguzi wanasema sio wa huru na haki.