Je, hii kauli ya Lissu ni kukosa hekima, kutokujali au ndio changa la macho kwa wananchi baada ya tuhuma za kulamba asali?

Haya mabango yanakera sana ysmezagaa sana hapa mjini
 
Bado ana huisha visa nadhani itatoka 2025 ndio tutamuona anarudi tena
 
Huku mamayenu anaenda kukopa kwa hao LGBT na pia anaenda kupokea makamu wa rais anayeunga hao LGBT, ni mpumbavu pekee anaweza kuwaamin ccm na wafuas wao.
Tanzania haifungamani na nchi yo yote au kikundi cho chote kile duniani. Hili ni kwa mjibu wa katiba yetu pendwa. We are a non aligned country. Hivyo tunakopa kwa ye yote aliye na fedha. U left au u right wake au u LGBTQQIP2 wake hautuhusu.

Jamaa yenu yeye kanogewa kuishi na ma LGBTQQIP2. Kaja hapa, baada ya wiki mbili tu ka wamiss ile mbaya hao ma LGBTQQIP2 wake, ikabidi arudi kimya kimya kwenda kujumuika nao. Tukimpa uraisi atakuwa anaishi huko akiongoza nchi kwa njia ya mtandao. Ni hatari bin hatari. Mungu atuepushe watanzania.
 
Ni kama uko punguani kiasi kwamba vitu obvious huvielewi. Ni majaliwa yako nayo pia.
 
Lissu ana 'vichwa viwili!' Hiki alichoandika kimetoka ktk kile kichwa original cha kutojua nini cha kusema, wakati gani, mazingira gani, dhidi ya nani na nini matokeo ya kauli. Asaidiwe hekima na busara. 🙏🙏🙏
 
Hivi mkimuangalia vizuri huyu anatofauti gani na Yule mzee wanaye mlaumu kila siku?

Yaani ni nafuu Sana Mzee alikuwa anawabeba wanyonge lkn huyu atatutesa Sana Kwanza ni much know anajua kila kitu!
 

Kweli kabisa walahi
Wake wawili si mchezo [emoji13]
 
Kweli kamkosea adabu mama, mbona mama ni msikivu mama yetu hana makuu na mtu Muislamu safi huyu.
Lisu si alishasema alishapewa stahili zake au?
Hayo yaliyopita ni historia tuishi nayo tu
 
You sound rather like chawa wa Magufuli, sio? Au kwa vile kesha-dead na lake halipo!
Dkt Magufuli na Rais Dkt Samia ni kitu kimoja. Mimi ni chawa wa CCM, chawa wa mwenyekiti wa CCM, chawa wa Rais Dkt Samia. Sema nikujibu hoja yako.
 

Safi Sana Lissu nakuaminia.
 

Ruzuku sio hisani Ni suala la kisheria. Acha upotoshaji.
 
Huyu mama ana maarifa makubwa ya uongozi. Kwa Tanzania hii ni wazanzibari pekee waliojaaliwa hekima ya kumeza machungu na kuweza kuja pamoja. Siasa na ustaarabu wa umoja wa kitaifa kwa bara ni jambo gumu. Uwezo na umahiri wa kisiasa walionao wazanzibari ni somo ambalo wanasisa wa bara wanapaswa wajifunze. Viongozi wa chadema wanaamini Tanzania ni chadema na chadema ni Tanzania. Wanasahau kuwa ni juzi tu walishindwa hata kukohoa hadharani....ni juzi waliiona Tanzania kama jahannam na wakaona bora wawe exiled...ni juzi walishakata tamaa ya kuona mwangaza wa jua tena kwa kuwa magereza yalipangwa kuwa makazi yao ya kudumu. Kwa kuwa mama ni kiongozi alieshiba malezi na aliefunzwa utu na aliefunzwa kuwahurumia wengine...kwa kuwa mama aliekuzwa kwenye mazingira ambamo maisha ya mtu yana thamani na heshima ya mtu ni haki ya mtu...kwa kuwa mama alikuzwa kwenye mazingira ambapo utu wa mtu hauna thamani ya mbadala wake...na kwa kuwa mama kakuzwa kwenye mazingira hayo kusaidiana kwenye dhiki na kusameheana penye migongano ni utamaduni ni nguzo ya mfumo wa maisha akaamua kutafuta yaliyopita na kufungua ukurasa mpya na leo wale waliokuwa wahanga wa siku ya jana wameanzq kufurahia maisha na Watoto wao na Jamaa zao na familia zao. Furaha na matumaini ambayo hawakutegemea kuyapata tena yamerejea. Walioondoka nchini under cover and heavy escorts leo wanakuja na kuondoka wakosubiri ndege kwenye viti vya abiria wakisoma magazeti wakiwa na vikombe vya kahawa pembeni huku wakiangalia saa kujua muda wa kuruka ndege wanazosubiri kuwarejesha ughaibuni. ASIE MSHUKURU BINADAMU ANAEMTENDEA WEMA HATAWEZA KUMSHUKU HATA MUNGU ALIEMUUMBA. Utu wa Mamaetu ni wa mfano na ni wenye macho yasiyoona tu ma ni wenye maziko yasiyosikia tu na ni wenye mioyo yenye husda na uadui tu ndio hawataweza kukiri uti wa mama. MAMA SAMIA AMEKUJA KUWAKOMBOA...Anaetaka aamini asietaka namshauri aitathmini jana yake ilivyokuwa. BWANA ASIFIWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…