Je, hii kauli ya Lissu ni kukosa hekima, kutokujali au ndio changa la macho kwa wananchi baada ya tuhuma za kulamba asali?

Hiyo yajulikana uzuri tu.

Lakini ni sawa kwa CCM kufanya hivyo maana ni kwamba mpango wa CCM ni kuelekea mchakato wa 2025 bila bughudha.

Ila suali ni kwamba kwanini Tundu Lissu amerejea Ubelgiji na huenda pengine asirudi hivi karibuni?

2025 ni mbali Sana anything can happen. Umesahau ya 2021 March nani alijua.
 
Yanapokea ruzuku waliodai ni haramu alafu yanabweka!

Wamebariki uchaguzi waliokataa 2020 na bado wanajitekenya tu


Malabu*u

Matusi yako peleka kwenu. Ruzuku wamepokea baada ya maridhiano na kukubaliana. Sasa wewe unawatukana kwa lipi?. Mbona una hasira kwa CHADEMA kuchukua Ruzuku lakini CCM wanaokopa kila siku na wamejaa bungeni unawatetemekea.
 
Mmelamba asali wenyewe mkamtosa Lissu. Lissu alijua mbowe ana masihara na njuruku?

Hiyo asali alisema Makamba ila mmeibeba kipropaganda na kuileta CHADEMA, kisa tu CHADEMA kukubali kuongea na mama.
 
Tukimpa uraisi hazina yetu ataikausha kwa kuipeleka kwenye akaunti yake huko Uswizi.

Una uhakika au unaropoka?. Leo Lissu kwenda kwa matibabu Ubelgiji ndio ana akaunti uswisi?.
 

Nyumbu mwenyewe. Huyo Hangaya kammaliza Nani?. Kwa hivyo kawamaliza CHADEMA kwa kuleta mchakato wa katiba mpya?.
 

Mje mumuue?. Mumpige risasi nyie halafu mumtibu nyie. Hilo halipo.
 

Wameshindwa kukamata wahusika ndio huwaamini wakutibu kwenye hospitality yao Tena MOI. Be serious.
 
Mimi nilishawaambia zamani tu kuwa lisu #dishlimetilt - upstairs kuna walakini, sijui ni kwa nini hamuelewi?
Naona mnasubiri mpaka aanze kuokota makopo ndiyo muuelewe huo ukweli. Basi endeleeni!

Kipi kibaya alichoongea. Kuna mtu alijitangaza yeye ni mwehu na kweli ikagundulika alikuwa ana file milembe.
 

Hivi kweli utasema chaguzi za 2019 na 2020 zilikuwa na maana?. Tuache uongo na unafiki. Ndio maana wengine walikufa kwa aibu kwa sababu ya dhuruma.
 
Mnajisumbua akili bure.
Tume ya ukweli na haki ya kazi gani? Tume huru ya uchaguzi mnafikiri ndo itakuwa na watu gani ili iwe huru?
Katiba pendekezwa ipo so ili tuendelee tutaanzia pale tulopoishia kwa mujibu wa sheria.

Wewe Kama huamini kwenye haki kaa pembeni. Mchakato wa katiba unaanza upya na sheria mpya itatungwa.
 

Ni Mbowe tu ndio anaiamini ccm, sio CHADEMA.
 

Mmeshindwa kukamata waliompiga risasi ndio mumtibu akiwa huku?. Nyie ni wauaji Hakuna wa kuwaamini, na mtaondoka hivyo hivyo kimya kimya.
 
Basi kengeza atakuwa kaumia sana maana anajua hela waliyochukua ilipaswa lisu aka punga anyamaze kimya jamani jamani mhh

Sio shida yako unajiita chawa utaongea lolote ili bosi wako akusifie.
 
Nakubaliana na wewe mkuu.

Wanasema uchaguzi haukuwa wa haki lakini wapo pamoja na aliyetokana na huo uchaguzi wanasema sio wa huru na haki.

Sikiliza CHADEMA hawakushiriki kwenye mkutano wa vyama vya siasa ndipo Rais akaomba kuonana nao, ndipo maridhiano yalipoanza. Na juzi Waziri kasema wanaanda sheria za uchaguzi na mchakatako wa katiba mpya. Hivyo wamepewa walichotaka ingawa bado maridhiano yanaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…