Je, hii kauli ya Lissu ni kukosa hekima, kutokujali au ndio changa la macho kwa wananchi baada ya tuhuma za kulamba asali?

Jiandae 2025 sukuma gang wataungana na samia kuwapelekea moto machadema

Waungane tu kwani shida Nini? Mbona mmejazana bungeni na ufisadi unaendelea na Mikopo Kama yote?
 
Kngeza mtoto wake mmoja ni pung yupo kwa charles zamani malkia, lisu yeye alishafunga ndo na jinaume, kengeza ndoa ilishayumba ni punga ndiyo maana anaitwa mzee wa cheni hahaha, yaani CCM ndiyo chama la kidume

Angalia unayoyaongea. Ni ushauri tu.
 

Kimtokacho mtu ndio alivyo. Ukiona mtu anajadili ushoga 24 hours Basi ujue huyo Ni shoga. Pole Sana.
 
Lissu ana 'vichwa viwili!' Hiki alichoandika kimetoka ktk kile kichwa original cha kutojua nini cha kusema, wakati gani, mazingira gani, dhidi ya nani na nini matokeo ya kauli. Asaidiwe hekima na busara. 🙏🙏🙏

Mnataka kila mtu awe chawa?
 
Hivi mkimuangalia vizuri huyu anatofauti gani na Yule mzee wanaye mlaumu kila siku?

Yaani ni nafuu Sana Mzee alikuwa anawabeba wanyonge lkn huyu atatutesa Sana Kwanza ni much know anajua kila kitu!

Sio shida yako inaonekana umezoea kuteswa, kiasi kwamba unawaza kuteswa kila wakati. .unahitaji ushauri wa kisaikolojia haraka.
 
Mmeshindwa kukamata waliompiga risasi ndio mumtibu akiwa huku?. Nyie ni wauaji Hakuna wa kuwaamini, na mtaondoka hivyo hivyo kimya kimya.
Kwa akili yako unadhani bila jitihada kubwa za wale madaktari wetu wa pale Dodoma Government Hospital, angeweza kufika Nairobi Hospital? Si angeishia hapo hapo Dodoma. Kama madaktari wetu waliweza kuokoa maisha yake pale Dodoma, kwa akili yako hao madakari wetu ndiyo wangalishindwa kuweka hiyo misumari, plates na screws kwenye hiyo mfupa yake ya mguu mmoja?
 
Dkt Magufuli na Rais Dkt Samia ni kitu kimoja. Mimi ni chawa wa CCM, chawa wa mwenyekiti wa CCM, chawa wa Rais Dkt Samia. Sema nikujibu hoja yako.
Hoja sina. Hapa nilipo wapenzi wa Magufuli wana hasira sana na mama jinsi anavyopindua legacy. Bila shaka una karama ya pekee kuwaona Magufuli na Samia kitu kimoja. I agree with you, plausibly 🤔.
 
Liberatus Mwangombe sio mtanzania alishachukua uraia wa Marekani. Wanamchora tu na hiyo michezo yake ya kitoto siku akijaa atajua hajui 🤣
Raia wa Marekani umzingue kwa ubavu upi ?
 
Hoja ya Lissu ina nguvu , naiunga mkono , wanafiki wanaomdanganya Hangaya ndio wanatumia picha hizi kupotosha jamii , hatutakubali
Hata hayo malumbano yawezekana pia yamo kwenye maridhiano !!
 


Huyu amekuwa mbinafsi tangu mwanzo. Hayo maridhiano anahisi yanamuweka kando. Hivyo atakuwa akiyapinga siku zote.
 
Liberatus Mwangombe sio mtanzania alishachukua uraia wa Marekani. Wanamchora tu na hiyo michezo yake ya kitoto siku akijaa atajua hajui 🤣

Kwa hiyo huyu jamaa ni mbeberu!?
 
Lissu yuko sahihi kabisa. CCM ikiongozwa na Samia inawapoteza boya Watanzania, Samia anataka uchaguzi ujao uwe mteremko kwake, hivyo anawadanganya kina Mbowe kuhusu maridhiano.

Honest and genuine maridhiano ingeanza na mchakato wa Katiba mpya. Kinyume cha hapo ni uwongo. Wanfanya kumanage opposition ili waweze kufanya mambo yao bila bugdha.

And CCM is very happy.

Let people like Lissu speak out. On this, I strongly support him.
 
..kama Samia ameridhia bango hilo basi atakuwa amekosa busara.


..vilevile atakuwa ni laghai, na mpenda sifa na umaarufu.
Mama hajui misingi ya kuwa na kuitwa Rais,nafasi hii kwakweli tumepigwa,mama hana tofauti na Hamornise kwenye Mabango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…