Mkuu Uturuki na Iran hawajawahi kuwa maadui bali ni washindani tu wa siasa za kikanda.Wanataka kuwa imara eneo lako halitaki ukae kizembe. Wapo na Iran pembeni huwa hawapendani, wapo na Greece maadui wa kihistoria na wana strait inayopitisha meli kwenda Russia na Pacific na kurudi Ulaya.
Mnamuweza kwa kuvunja matofali kichwani? 🤣Mi nataka sana nione hizo nchi zikipigana tuone mbabe nani, maana Urusi tushajua hana uwezo, hata Tz twamuweza
MuongoHakuna nchi dunia ya leo wanaeza kumpiga mchina ukiona nchi Hadi biological weapons anaoagopeka ni hatari Sana China anaeza pukutisha L.A yote kwa amplified moja ya korona version...
Ina kipi kipya na cha mno mwanangu au ni upofu wa mapenzi na ushabiki kibubusa. Yakitajwa mataifa tishio uturuki yako haipo hata kwenye ishirini. Ni ujuzi mdogo na upofu na upogo wa kupenda kupita kiasiTCG Anatolia, melivita mpya ya Mturuki yenye uwezo wa kubeba helicopter nk imezinduliwa na mbabe wa kivita Erdogan na ameahidi inakwenda kuwapa ufalme wa Black Sea muda si mrefu.
Kwa wenye uelewa zaidi wa hii melivita mpya njooni huku.
Mi nataka sana nione hizo nchi zikipigana tuone mbabe nani, maana Urusi tushajua hana uwezo, hata Tz twamuweza
Ottoman empire na Persians wamepigana vita nyingi tu Ottoman–Persian Wars - WikipediaMkuu Uturuki na Iran hawajawahi kuwa maadui bali ni washindani tu wa siasa za kikanda.
Mm naongelea hizi Uturuki na Iran za kisasa hazina uadui sema uhusiano wao uliingia mshikeli mwaka 2011 baada ya Turkey kuwaunga mkono waasi nchini Syria.Ottoman empire na Persians wamepigana vita nyingi tu Ottoman–Persian Wars - Wikipedia
Kabla ya hapo, Safavid empire ilipigana na Ottomans pia. Safavid iliizaa Persian empire nayo ikaizaa modern Iran. Ottomans ndio walivunjwa baada ya kuingzwa mkenge na Ujerumani kwenye WW1, Ujerumani ikapigwa wazungu wengine kwenye mkataba wakaivunja Ottoman. Kemal Ataturk akaitangaza Turkey kama Federation
Yule tunampiga eneo tambarare kashindwa ndo aje huku kwenye milima?Mnamuweza kwa kuvunja matofali kichwani? [emoji1787]
Hahahah mtapigwa kama ngoma na ndege zenu 5 za mig-23🤣🤣🤣Yule tunampiga eneo tambarare kashindwa ndo aje huku kwenye milima?
Hakatizi hata kibaha
Hakutakuwepo hiyo vita trust me. China wanapambana wale chama cha zaman waingie madarakan ambao kimsingi hawana shida na china moja shida yao ilikuwa ni capitalism na cominisim.Leo MoD wa Taiwan kaulizwa swali, je wakivamiwa wanaweza jilinda akasema wameshanunua silaha nyingi sana, na kuna nyingine ziko njiani zinakuja.
Akasema kuwa na silaha tu haiwezi kusaidia kama huna watu wanaoitetea nchi yao, akasema wananchi wake wako tayari kwa lolote kutetea nchi na uhuru wao....
Inachapwa kibomu kimoja tu cha torpedoMelikebu tu hiyo haina issue
Uturuki na Iran hizi unazoona leo hazipendani. Na ndicho nilichoandika tangu mwanzo. Kutopendana sio kumaanisha kuna uadui, wala usijejidanganya ukadhani Iran inafurahia Turkey kupiga hatua kijeshi, vilevile Turkey haifurahii Iran kupiga hatua.Mm naongelea hizi Uturuki na Iran za kisasa hazina uadui sema uhusiano wao uliingia mshikeli mwaka 2011 baada ya Turkey kuwaunga mkono waasi nchini Syria.
China winNatamani sana kuona vita ya Taiwan na China
Au Marekani na Iran
Ndio maana nimekuambia ni washindani wa siasa za kikanda lakini sio maadui.Uturuki na Iran hizi unazoona leo hazipendani. Na ndicho nilichoandika tangu mwanzo. Kutopendana sio kumaanisha kuna uadui, wala usijejidanganya ukadhani Iran inafurahia Turkey kupiga hatua kijeshi, vilevile Turkey haifurahii Iran kupiga hatua.
Nakupa mifano. Kwenye mapigano ya Nagorno-Kabarakh mwaka 2020 Uturuki iliipa misaada Azerbaijan, Iran ikaipa msaada Armenia. Uturuki inauza silaha kwa Ukraine, Iran inauza kwa Urusi. Syria kwenye civil war Uturuki ilikuwa inapigana na jeshi la Syria ndani ya Syria kule Kaskazini mwa nchi ambako kuna Wakirudi, Iran ilikuwa inasaidia jeshi la Syria kupigana na waasi na ISIS. Mwanzoni vita inapamba moto Uturuki ilikuwa inanunua mafuta ya ISIS baadae Urusi wakalipua miundombinu ile ya mafuta.
Hakuna sehemu nimesema hao ni maadui, nimesema hawapendani. Wewe umesema "hawajawahi kuwa maadui" hapaNdio maana nimekuambia ni washindani wa siasa za kikanda lakini sio maadui.
Marekani na Ulaya ni marafiki wa kufa na kupona lakini sidhani kama Marekani inapenda kuiona Ulaya ikijitegemea hasa katika suala la ulinzi.
Urusi na Belarus ni marafiki wakubwa lakini Urusi haiwezi kufurahia kiona Belarus ikiendelea kijeshi.
China na N.korea ni washirika wakubwa lakini sidhani kama china inafurahia mafanikio ya kijeshi anayo onesha N.korea.
Alafu nikurekebishe kidogo ni kuwa Iran haikujihusisha kabisa na vita vya Azebaijan na Armenia.
Ndio nikakueleza kama ni uadui basi waliwahi kuwa. Huwezi sema Uturuki na Iran za zamani sio za sasa hivyo wanaishi tofauti wakati mipaka waliyowekeana tangu empires zao ndio hiyo hiyo inatumika.Mkuu Uturuki na Iran hawajawahi kuwa maadui bali ni washindani tu wa siasa za kikanda.
Urusi atayatema tu hayo maeneo, ni suala la muda.Ametupelekesha akina nani kwani mm ni Mrusi au?
kwani Urusi amesha shindwa vita mpaka useme anapelekeshwa?
Urusi tutajua ameshindwa vita mpaka pale atakapo kimbia kwa aibu kama Marekani alivyo kimbia Vietnam, Afghanistan na Somalia baada ya kipigo cha mbwa koko.
Au tutajua Urusi amepelekeshwa na kushindwa iwapo ataya tema maeneo aliyo yateka kutoka Ukraine kama Israel ilivyo itema rasi ya Sinai mwaka 1972 baada ya kupokea kipigo kutoka Misri au kama alivyo itema ardhi ya Rebanon baada ya kipigo cha aibu kutoka kwa Hizibullah mwaka 2006
Au ukitaka kujua kuwa vita sio lele mama iulize Israel nn kilicho ikuta baada ya kujaribu kuivamia Gaza mwaka 2014 kwa lengo la kuiangamiza Hamas.
Au ukitaka kujua vita sio lele mama iulize Saudia na vibaraka wake kimewakuta nn baada ya kiwaparamia waasi wa kihuthi.
Ukitaka kujua vita sio lele mama iulize Urusi ilitumia miaka mingapi mpaka kuwashinda waasi wa kichechinia na ililipa gharama kiasi gani.
Meri za kivita hasa hizo za kubeba Ndege ni kwa ajili ya kudili na wanamgambo ila sio kwenye vita kubwa, Marekani alisha wahi sema Iitokea Vita kubwa cha kwansa watakacho ulizana ni je Meli zao za Kubeba Ndege ziko wapi?TCG Anatolia, melivita mpya ya Mturuki yenye uwezo wa kubeba helicopter nk imezinduliwa na mbabe wa kivita Erdogan na ameahidi inakwenda kuwapa ufalme wa Black Sea muda si mrefu.
Kwa wenye uelewa zaidi wa hii melivita mpya njooni huku.
Naona umeshindwa kuvumilia kutotaja kazi yakoKichaa ni aliyekuzaa shoga