Je, hii silaha mpya ya Uturuki inakwenda kubadili sheria za mchezo?

Je, hii silaha mpya ya Uturuki inakwenda kubadili sheria za mchezo?

Mi nataka sana nione hizo nchi zikipigana tuone mbabe nani, maana Urusi tushajua hana uwezo, hata Tz twamuweza
Dogo

Dogo

Dogo

Tema mate chini

Ni mwiko kuiongelea tz mambo ya mkosi km hayo

JamiiForums790734876.jpg
 
Leo MoD wa Taiwan kaulizwa swali, je wakivamiwa wanaweza jilinda akasema wameshanunua silaha nyingi sana, na kuna nyingine ziko njiani zinakuja.
Akasema kuwa na silaha tu haiwezi kusaidia kama huna watu wanaoitetea nchi yao, akasema wananchi wake wako tayari kwa lolote kutetea nchi na uhuru wao....
Wakati uo anasema hivo juu ya wananchi wake, Rais mstaafu kaenda ziara China, karudi anasema wao Taiwan na China ni kitu kimoja!

Wanasiasa hawa!
 
Back
Top Bottom