Leo MoD wa Taiwan kaulizwa swali, je wakivamiwa wanaweza jilinda akasema wameshanunua silaha nyingi sana, na kuna nyingine ziko njiani zinakuja.
Akasema kuwa na silaha tu haiwezi kusaidia kama huna watu wanaoitetea nchi yao, akasema wananchi wake wako tayari kwa lolote kutetea nchi na uhuru wao....