Je, hivi huwa wanawaza kama ambavyo sisi wengine tunawaza juu yao?

Hata hakuna cha kukufanya mkuu.Haya si mazungumzo tu?

Kwahiyo unasema malaya anaingiza pesa za kutosha!?

Naweza kubali, lakin malaya hao sio hawa..Kwel wako malaya classic lakin ni wachache sana
Sawa vizuri kwa kuamua kukubaliana na mimi
 
Sahihi chief.Lakin ndio hivyo sasa ukwel unabaki pale pale, hawa maisha yao wanayachukuliaje?
Naona wengi wanapenda na wanaona kama fashion! Bora hao ambao wanashiriki direct kwenye video maana wanapata hela, Kuna wale ambao hawafaidiki moja kwa moja maana wanashiriki zile challenges kitu pekee wanapata ni kua reposted
 
Kama ni maamuzi yao why not?
 
Money and popularity don't give the legitimacy of evil bro!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Eti unawaonea huruma video vixen unashidwa kuionea huruma familia yako, hao wadada wana michongo ya pesa kuliko wewe, na wana ndoto kibao kama hujawahi kukaa nao utaropoka hovyo hovyo, hao wana malengo makubwa kuliko mke wako huyo mwalimu, pole sana pia wanaingiza pesa kuliko mshahara wako na wa mke wako mkijulisha kwa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…