Je, hizi ni ARV's? Vimekutwa kwa begi la mwanamke

Duuh! Ikiwa ndo vyenyewe hatorudia tena huo mchezo wa kupekua pekua.
 
Mkuu hiyo ishu imekukuta wewe,
Usijifiche wala kuona aibu. Hizo mbaazi wengi tunakula.
Hahaha hakuna bana yupo jamaa angu mi ningeenda direct kupima,alafu sinaga kawaida ya kusearch mikoba ya wanawake
 
Yes, hizo ni Lamuvidine kwaajili ya waathirika wa HIV, lakini muhimu ni KUTOKUWA na wasiwasi kwasababu kama kweli huyo anayetumia anafuata dose kadri inavyotakiwa uwezekano wa kuambukiza ni mdogo sana.

Maana ukitumia dose inavyotakiwa, virus wankuwa dormanta na hawazaliani na hivyo ni ngumu sana kuambukiza.
 
Hujui matumizi ya Google

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…