Je, hizi ni ARV's? Vimekutwa kwa begi la mwanamke

Mkuu kwenye guideline ya treatment kwa Tanzania kua sehemu latilin 75 mg inatumika kama ant depression au ushawahi kuona popote ivyo vidonge au unafata Google tuu?
 
What are LA 75 tablets for?

Lamivudine oral tablet is used to treat HIV infection and hepatitis B (HBV) infection.
 
Tumia busara na hekima katika kutoa majibu,punguza makali ya maneno umwambiapo.........huenda ukasababisha idadi ya vifo visivyotegemewa nchini
 
Hiyo namba mbili ni uongo PEP full dose ni siku 30
Kuna PrEP ya kujikinga na maambukizi nayo unatumia mda wako wote uwapo mazingira hatarishi ya kupata maambukizi ya ukimwi nafuu yake unaweza kuacha kunywa pale utakapoona umeondoka kwenye mazingira ya kukuwezesha kupata ukimwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…