Je, hizi ni ARV's? Vimekutwa kwa begi la mwanamke

Pep ni post-exposure prophylaxis, ni dawa anayopewa mtu anayehisi kuambukizwa virusi vya ukimwi, vinapaswa vitumike kabla ya masaa 72 kupita ndipo vinafanya kazi.
Upo sahihi kabisa, sasa ni dawa gan izo?
 
Astaghafillullah
 
Genye mbaya sana.

Hapa lazma itakuwa mwamba alifakamia mitungi usiku mwingi akazoa kimwana sasa anaamka asbh anakuta kaachiwa tembe.

Hapa lazma akili zikae sawa na lawama zooooote ni kwa kichwa kidogo🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…