Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Yeah me Naonaga ni vya ajab
Kwanini usionekane yani,Usipoonekana then what next ?? Au blue tick hazisomi [emoji2][emoji2]hap unakut mtu anaenjoy eti hujaona kama amesoma au laa [emoji38][emoji38]
.
Hahahahh I never blocked Anyone ila me nimewah pigwa block(demu) [emoji38]
U are grown up ass. Wengine wanatakiwa waige mfano wako
Hahahahh Absolutely ,tell them home boi [emoji2936][emoji95][emoji2935]
 
Wana utoto na ujana mwingi

Walikua wataacha
 
Iphone hakuna ivo vitu[emoji23],

Android mtelezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm inakufanya uwe mpuuzi
Ila sio vibaya pia Kama BAVICHA unalifahamu ili unisaidie,unajua tuko busy na corona nyie mna jamba tuuh amjui ata nchi inaendaje

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Bado mnapendana nyie
 
Ila sio vibaya pia Kama BAVICHA unalifahamu ili unisaidie,unajua tuko busy na corona nyie mna jamba tuuh amjui ata nchi inaendaje

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
BAVICHA ni mdudu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…