Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Ulichoongea ni cha kweli.....ila mimi haijawahi kunitokea tangu nianze kutumia whatsapp plus
Hata wewe nakushauri jaribu hii Whatsapp plus uone kama itakuletea zengwe hilo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huangalii za watu isipokuwa huyo mmoja inamaana yeye ni ng'ombemimi situmii status za whatsapp na siangalii za watu ila isipokuwa ya mtu mmoja tu
Kuna matoleo-vision yanakubali Mimi kama Jana nime download YOwatsapp kupitia GoogleSiku hizi Gb na Yo
WhatsApp naona hata Google ukidownload hazikubali wakati wa kujisajili
si yeye!
sawa karibu, natamani nikufahamu zaidi!! haha
[emoji23][emoji16][emoji3][emoji23]Inawezekana . kuna mtu ananilazmishaga nimuweke status ko nawapiga privacy wote illi ajione yeye tu lakin naona 3views lakin namwona mmoja alie niambia niweke lakin hawa wa2 mpaka kesho sijuagi ni wakina nan
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante, wewe unaishi wapi?Mimi..hua naangalia status zooote wanazopost ila hutanikuta nacomment hata Siku Moja...namimi hua sipoat status kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]Mwaka wa nne huu natumia haijawahi nitokea hiyo.....sijui wewe huwa unakwama wapi
Mimi natumia WhatsApp Plus lakini ambayo ukiingia playstore na kutaka kudownload whatsapp official inaonekana tayari ipo installed kwenye simu yako
Hizi apk zote zimegoma kusajiliKuna matoleo-vision yanakubali Mimi kama Jana nime download YOwatsapp kupitia Google
Sent using Jamii Forums mobile app
We inabidi utumiwe linkHizi apk zote zimegoma kusajiliView attachment 1417867
Nisaidie mkuu
hapana,nae ni mtu,mkuu kwani hujawahi kuona mtu ameandika hivi ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huangalii za watu isipokuwa huyo mmoja inamaana yeye ni ng'ombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Mkuu mimi nilifeli kiswahili lakini wewe umezidi...inamaana hujui tofauti ya mtu na watu...hujui umoja na wingi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huangalii za watu isipokuwa huyo mmoja inamaana yeye ni ng'ombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu....
PoaShukrani mkuu....
Kabisa hayo mambo utoto tuHayo Mambo Sijui
-ukiview usionekana
-unatoa blue tick
-Mara unatoa last seen
Na Nyingine kama hizo
Me Naonaga Bonge la utoto Aisee
.
Yaani Nikiview Naonekana na ikichekesha Sivungi Nacheka kama kawa na sipendi kumuweka mtu blue tick bila kujibu endap itakua swali Hata Kama ni Siku 2 imepita ntajibu
Hakuna Niliem'mute kama mtu kaweka utopolo Napita Shwaaaa Shwaaaa
Unakuta status ya mtu iko na alama ya "block" ina inavyoenekana hapo huyo mtu anakuwa amekublock au?View attachment 1418652
Sent using Jamii Forums mobile app