residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Hii "mindset" ya kukopa kama taifa ni kwa wenye ufinyu wa mawazo na akili za kimasikini pamoja na wale wavivu wa kujishughulisha kijumla.Kukopa ni akili ya kimasikini sana.
Unakopaje sasa wakati raslimali tele.
Kutengeneza "longterm plan na leadership ambayo haitategemea aina ya rais" inataka kuwekwa kwenye katiba. Ndio maana tunasema katiba mpya ni muhimu sana sana kama kweli tunataka tutoke kwenye taifa masikini ombaomba la hovyo.Mama anatakiwa atengeneze long term plan na leadership ambayo haitategemea aina ya rais. Yaani aangalie ni namna gani rasilimali tulizonazo zinaweza ku finance maendeleo yetu. Yeye badala yake anaendq kukopa mikopo ya ujenzi wa madarasa???? Yaani unaenda kukopa hela za kuwekea rehani resources zetu??? Nadhani ile timu ya wachumi angeitumiq ila kwa sasa anapuyanga tu Mama. Mungu atusaidie maana huko mbeleni watoto wetu watatushangaa sana maana watakuta kila rasilimali ya nchi tumekikopea
Maji yanayopotea baada ya mvua kunyesha mikoani,kama yangevunwa na kuhifadhiwa na kutumika kwenye kilimo cha umwagiliaji,hakika kusingekuwa na uhaba wa ajira.Yaani mi mpaka machozi yananitokaga nikifikiria. Sasa hivi nasikia kuna mradi vyuo vikuu eti world bank imeikopesha serikali kujenga miundombinu ya kuongeza idadi ya enrollments vyuoni ili kuongeza idadi ya wanaofika na kumaliza vyuo vikuu Tanzania. Sasa unajiuliza sasa hivi tu graduate waliopo mitaani bila kazi ni wengi, unaenda kukopa tena ili kuongeza idadi ya graduate wasiokuwa na kazi unategemea nini?????? Maana yake hao hao wazungu watakuja tena na mpango wa kukukopesha ili utatue tatizo la migogoro ya vijana wasiokuwa na ajira kuandamana na wakiandamana serikali ikiwapiga itasema ohh demokrasia haki za binaadamu kiasi kwamba nchi inakuwa dependents na nini wanataka wazungu
Good questionPumbavu zako, wakati wa kikwete alisafili sana sasa nini kilitokea cha aajabu hapa tanzania?
Sema hata kimoja?
Kama ni kuonana na wafanya biashara alionana nao saana wote wa ulimwenguni lakini nchi bado ni masikini.
Sasa huyu ataonana na yupi ambae kikwete hakuonana nae?
Jiwe alifanya nn zaidi kuigawa nchi vipande vipande na kupandikiza ukabila?Pumbavu zako, wakati wa kikwete alisafili sana sasa nini kilitokea cha aajabu hapa tanzania?
Sema hata kimoja?
Kama ni kuonana na wafanya biashara alionana nao saana wote wa ulimwenguni lakini nchi bado ni masikini.
Sasa huyu ataonana na yupi ambae kikwete hakuonana nae?
Kweli una wazimuYule jiwe a.k a mzimu wa sukuma gang ndiyo amesababisha yote haya. Aliua biashara zote kubwa na ndogo kwa kupora fedha za watu. Vyanzo vyote vya Kodi vikafa. Akawa anakopa hovyo tena kwa siri kubwa mikopo ya kibiashara ambayo riba zake ni kubwa.
Mama hana namna lazima asafiri ili apate mikopo, maana nchi imeachiwa matatizo na madeni makubwa na jiwe.
Asante mama endelea kuinusuru nchi.
Pia imeenda matumboni mwa wale wala urefu wa kamba zaoFedha iliyokopwa haijajenga madarasa tu imeenda pia kwenye miradi ya maji, ujenzi wa vyuo hasa veta, kuimarisha miundombinu kwenye hifadhi zetu, kuimarisha utoaji huduma wa afya kwa ujenzi wa ICU, EMD kununua mitambo
.
Na fedha hii ilikua muhimu kwani iliingizwa kwenye uchumi ili kupunguza maumivu yaliyotokana na janga la uviko-19
Jiwe aliharibu nchiKweli una wazimu
Uamsho walipokuwa na kesi kama hiyo mbona hatukuona kuwa ni kikwazo kwa wawekezaji?Wafute kwanza hiyo kasi yao ya ugaidi wa michongo ili wawekezaji waje kuwekeza wakiwa na amani ya moyo,na uhakika wa usalama wa uwekezaji wao.
Unataka aishi kama mnyama? Kama alivyokua dikteta uchwaraAwamu ya nne tulishudia Jakaya kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama.
Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa ulaya. Leo yupo Uarabuni.
Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi?
View attachment 2131649View attachment 2131650
Sio kila event rais awakilishe taifa.Unataka aishi kama mnyama? Kama alivyokua dikteta uchwara
Una akili hata kidogo?Kwani kuna shida gani Rais akisafiri?
Yuko wapi sasa hivi?Kukukopesha ni kukufanya uzidi kuwa masikini.Ndugai yupo sahihi kukopakopa tutauzwa.