residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Hii "mindset" ya kukopa kama taifa ni kwa wenye ufinyu wa mawazo na akili za kimasikini pamoja na wale wavivu wa kujishughulisha kijumla.Kukopa ni akili ya kimasikini sana.
Unakopaje sasa wakati raslimali tele.
Wale wa kule tulioungana nao tunajua kabisa kuwa vichwani ndio hivyo tena na kujishughulisha ndio kabisaa sio sehemu ya maisha yao. Wao ni wapenda mteremko tu.
Rasilimali zote hizi bado twakopakopa tuu as if hiyo mikopo imewahi saidia nchi yoyote ya ulimwengu wa tatu kuendelea.