Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Hivi Mkuu huwezi kutoa maoni yako bila kuhusisha kabila fulani? Mimi siyo Sukuma Gang wala sijawahi kuwa mfuasi wa hilo kundi wala Jiwe Mwenyewe.Haya ni mawazo kwa sukuma gang wote kwamba akili zenu bado zinafikiria "kulamba asali" kama unavyosema mwenyewe kwa sababu Nchi ilibaki ni ya WasuK tu , hali inayopelekea kutokuamini BABA yenu ndio kweli hawezi kurudi ?, Ili ujiridhishe we waulize wazee wenu mtu akishakufa huwa yu arudi?,labda kama yupo na jamaa zake WASIOJULIKANA, Ila kukuridhisha kama unaota atarudi basi akionekana tu anakwenda lockup kesha mahakamani akajibu matuhuma yake.
Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafa
Akifufuka nyerere atapigwa maweKwa nini usiseme Nyerere akifufuka?!
Jiwe ninani kwani nchi hii mwenye alikuwa Julius Kambarage Nyerere sio huyo mpuuzi wako !!! Bora ungesema Nyerere by the way mama anafanya vema kwenye serikali hayo ya uchawa ni Yao wenyewe ccmNimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Kesho anafufuka pale airport ya kijijini kwake ngoja tuone itakuwaje, usikose kufika mapema tushuhudie mkuu wa malaika akiibukaNimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Inategemea itatokea kafufukaje maana anaweza kufufuka kama Msukule, ikawa badala ya yeye kuwashangaa wao, CCM wakamshangaa yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Kesha ondoka unataka atawale hata akiwa kaburiniNimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
1.Samia na kikwete watakimbilia uarabuni kutafuta hifadhi..Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Hawezi kufufukaNimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Bora vipaumbele vya Taifa kuwa UCHAWA kuliko vipaumbele vya Taifa kuwa ni KUUA WATU WENYE MITAZAMO TOFAUTI NA YA KWAKE.Shirikisha basi ubongo wako japo kidogo ili uweze kung'amua lengo la Uzi wenyewe. Yaani wewe unaona ni sahihi vipaumbele vya Taifa kuwa ni UCHAWA?
Nchi yetu inahitaji mabadiliko makubwa kwa sasa kisiasa kiuchumi na kifikra. Na wenye kuyaleta mabadiliko hayo ni Mimi na Wewe. Tusiwaachie hawa wenye kuleta vipaumbele vyao vya UCHAWA.
[emoji3064][emoji3064]aiseeHappy kuishi dunia isiyokuwa na Magufuli
To be honest kwa sasa napambana na tatizo la unene baada ya huyu Zimwi magu kujifia
[emoji23][emoji23]Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
AmenAendelee kupumzika salama mwamba
Kazi alifanya na kazi alimaliza