Je, ikitokea Hayati Magufuli kafufuka nini kitatokea?

Atakufa tena hapo hapo kwa mara ya pili kwa kuwa wale aliowakandamiza ndiyo wenye sauti na uwezo.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kwa jinsi zinavyoibuka mada mfululizo kumhusu jiwe, ni dhahiri jamaa HAJAFA [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ndiyo maana hata madhila yaliyosababishwa Hitler yanafundishwa duniani kote, dictator aliyetawala kikatili huwa hasahauliki kirahisi kwani hata wanufaika wa u-dictator huwa wanachanganyikiwa mambo yanapokuwa yamebadilika.
 
Asije akajaribu kufanya hivyo. Ataondolewa kinga ya kutoshtakiwa na kupelekwa Kisutu. Kama una mawasiliano yake mwambie abaki hukohuko.. huku bado watu wana hasira nae... asubiri kupoe poe kwanza ndo afufuke.
 
Kwanza kabisa tutamwambia wewe sio rais tena nahautokuwa tena rais pia wavuvi tutamdai malizetu alizokwapua namwisho tutamwambia mama aliisha APA kuwa raisi baada yamungu amueshimu mama kwamoyo wote wakati wote
 
Afufuke aende wapi wacha ateketee zake huko
 
Asije akajaribu kufanya hivyo. Ataondolewa kinga ya kutoshtakiwa na kupelekwa Kisutu. Kama una mawasiliano yake mwambie abaki hukohuko.. huku bado watu wana hasira nae... asubiri kupoe poe kwanza ndo afufuke.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kama nawaona watakavyokimbia 😃 imagine wakisikia tu hata jina lake wanaogopa bado wakati hayupo.

watanzania wanafiki sana.
 
Ndiyo maana hata madhila yaliyosababishwa Hitler yanafundishwa duniani kote, dictator aliyetawala kikatili huwa hasahauliki kirahisi kwani hata wanufaika wa u-dictator huwa wanachanganyikiwa mambo yanapokuwa yamebadilika.
Ni Kweli anapendwa sana Hadi Leo na tabaka la chini,

Walig'oa geti la Airport kumuaga shujaa wao,

Matajiri na Wala RUSHWA ndo hawataki ht kumsikia.

Tutamkumbuka daima jembe.
 
Ni Kweli anapendwa sana Hadi Leo na tabaka la chini,

Walig'oa geti la Airport kumuaga shujaa wao,

Matajiri na Wala RUSHWA ndo hawataki ht kumsikia.

Tutamkumbuka daima jembe.
So brainwashed, aliwatia ujinga mkaona kuwa tabaka la chini ni sifa wakati kwake ilikuwa ni mbinu kuwafanya watu wajione wanyonge na wanamtegemea yeye yaani kwa kifupi alijifanya ni mungu mtu.
Si matajiri tu ndiyo walimchukia bali ni wenye akili timamu, wanaojielewa na kujua haki zao, wenye mawazo huru na wanaojua kutafuta maisha kwa jitihada zao ambao alifanya kila namna kuwadhulumu, kuwaibia na kuwakandamiza ili a-control kila kitu peke yake ndiyo hawakumpenda.
 
Naheshimu mawazo Yako,

Umefanya utafiti Kwa unayoyasema?

Heche na Mnyika wamefanya mikutano na kuongea na wananchi,

Hawathubutu kumkejeli Magu mbele ya umma, amefanya mengi MAZURI Kwa Nchi.

Magu ndo TURUFU ya Chaguzi zijazo, amini usiamini.
 
Usikubali maandiko yako yakutukanishe mbele ya watu.
 
Wacha wewe !.Aliyeondoka hata mwezi mmoja katika dunia ya sasa ya mwendo kasi akifufuka anakuwa mgeni sana na mshamba,Mwenyewe tu ataduwaa na kuomba arudi kaburini haraka.
Akipitishwa njia ya uwanja wa ndege akaona yale madaraja anayoyajenga mama na SGR atajiona kama yuko wapi sijui.Hatotamani kuishi nasi tena,
Kama utampitisha njia ya Mbagala ndio kabisa atajjionea aibu.
 
atafikiri bado yeye ni Rais, so ataangalia angalia wapambe wake wote hawaoni.
 
kweli akifufuka lazima ashangae

1 kaacha watu niwoga kuisema serikali sasa serikali kila kona inasemwa nahakuna anae kamatwa

2 kaacha kikundi cha watu wasio eleweka watekaji wauaji sasa hakipo

3 alisema bila mimi miladi nilio anzisha hakuna wa kuimalizia sasa reli hiyo mpaka kigoma mwanza

3 daraja la busisi hilo shule hizo kila kijiji

4 bwawa na nyerere hilo mama kaisha lijaza maji

5 alikuwa anakopa kwa siri sasa mama anakopa wazi sio siri tena

6 aliacha wapinzani wako adui wa serikali saa serikali inakaa nao na wamerusiwa kufanya mikutano ya hadhara aliokuwa kaipiga marufuku

kweli ikitokea akafufuka lazima ashangae tu

mama samia hataki ujinga

nadanganya ndugu zangu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…