Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakufa tena hapo hapo kwa mara ya pili kwa kuwa wale aliowakandamiza ndiyo wenye sauti na uwezo.Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
[emoji122][emoji122][emoji122]Inategemea itatokea kafufukaje maana anaweza kufufuka kama Msukule, ikawa badala ya yeye kuwashangaa wao, CCM wakamshangaa yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anyways usiwaze sana, kufufuka sio rahisi alishafungiwa yupo motoni saizi wanachoma mahindi na ibilisi
Alipofika tu day 1 alikutana na faili la Ben Sanane limekamilika upelelezi fasta tu akanyoa Nyundo za kutosha japo bado anahudhuria mahakamani daily kwa sababua mafaili mengine bado yanatajwa upelelezi haujakamilika
Ndiyo maana hata madhila yaliyosababishwa Hitler yanafundishwa duniani kote, dictator aliyetawala kikatili huwa hasahauliki kirahisi kwani hata wanufaika wa u-dictator huwa wanachanganyikiwa mambo yanapokuwa yamebadilika.Kwa jinsi zinavyoibuka mada mfululizo kumhusu jiwe, ni dhahiri jamaa HAJAFA [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Kwanza kabisa tutamwambia wewe sio rais tena nahautokuwa tena rais pia wavuvi tutamdai malizetu alizokwapua namwisho tutamwambia mama aliisha APA kuwa raisi baada yamungu amueshimu mama kwamoyo wote wakati woteNimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Afufuke aende wapi wacha ateketee zake hukoNimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
Labda akafufukie kwao BurundiKabisa, na baada ya kutolewa cheti Cha kifo, maana yake uraia wake ulikoma kuanzia tarehe hiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asije akajaribu kufanya hivyo. Ataondolewa kinga ya kutoshtakiwa na kupelekwa Kisutu. Kama una mawasiliano yake mwambie abaki hukohuko.. huku bado watu wana hasira nae... asubiri kupoe poe kwanza ndo afufuke.
Ni Kweli anapendwa sana Hadi Leo na tabaka la chini,Ndiyo maana hata madhila yaliyosababishwa Hitler yanafundishwa duniani kote, dictator aliyetawala kikatili huwa hasahauliki kirahisi kwani hata wanufaika wa u-dictator huwa wanachanganyikiwa mambo yanapokuwa yamebadilika.
So brainwashed, aliwatia ujinga mkaona kuwa tabaka la chini ni sifa wakati kwake ilikuwa ni mbinu kuwafanya watu wajione wanyonge na wanamtegemea yeye yaani kwa kifupi alijifanya ni mungu mtu.Ni Kweli anapendwa sana Hadi Leo na tabaka la chini,
Walig'oa geti la Airport kumuaga shujaa wao,
Matajiri na Wala RUSHWA ndo hawataki ht kumsikia.
Tutamkumbuka daima jembe.
Naheshimu mawazo Yako,So brainwashed, aliwatia ujinga mkaona kuwa tabaka la chini ni sifa wakati kwake ilikuwa ni mbinu kuwafanya watu wajione wanyonge na wanamtegemea yeye yaani kwa kifupi alijifanya ni mungu mtu.
Si matajiri tu ndiyo walimchukia bali ni wenye akili timamu, wanaojielewa na kujua haki zao, wenye mawazo huru na wanaojua kutafuta maisha kwa jitihada zao ambao alifanya kila namna kuwadhulumu, kuwaibia na kuwakandamiza ili a-control kila kitu peke yake ndiyo hawakumpend.
Wacha wewe !.Aliyeondoka hata mwezi mmoja katika dunia ya sasa ya mwendo kasi akifufuka anakuwa mgeni sana na mshamba,Mwenyewe tu ataduwaa na kuomba arudi kaburini haraka.Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
atafikiri bado yeye ni Rais, so ataangalia angalia wapambe wake wote hawaoni.Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.
Wale wote aliowakataa ndani ya Chama/Serikali ndio walamba asali kwa sasa.
Yaani ikitokea tu paap Jiwe huyu hapa, yeye mwenyewe akiyaona yanaoendelea hivi sasa itakuaje/atafanyaje? Au hawa walamba asali kwa sasa wakimuona watafanyaje??
kweli akifufuka lazima ashangaeNimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa Taifa/Mama" ni aibu.